This is a clear sign of totalitarianism, shameless totalitarianism at that.
I could write a whole piece shaming the gov on this. The gov should quit interfering with the varsity dons. That is a violation of separation of duties. The government should govern, teachers should teach.
Kujibu hoja ya Abdulhalim, kama serikali ina muajiriwa asiyefuata maadili ya ualimu, imchukulie hatua na kutoa ushahidi. Hizi habari za kupiga beat kiujumla jumla zinaonekana kama our own version of McCarthysm tu na kuwa keep watu in line wasiweze kutoa a genuine criticism of the government.
Wewe unategemea mie muhadhiri Chuo Kikuu naona uozo serikalini, halafu nafundisha something like "Development Studies" halafu nisiongelee matatizo yetu wenyewe? Sasa hao wanafunzi watakuwa wanajifunza nini? Viongozi wa kuweza kubadili mambo kesho tutawapata wapi?