Very simple ku-deal na hii issue,
Funga university za umma peleka watoto wote university za kanisa st..augustine wakasome mapambio
Mwaka huu Kikwete hadi atangaze mwenyewe kuachia kazi. Wewe mpambe wake kama unafikiri Watanzania bado wamelala, basi kalaga baho. Mtasiliba sana tu mwaka huu ila mwisho wa siku Mafuta na maji yatajitenga. Kama mnafikiri bado tutaendelea kucheza mnavyotupigia ngoma, basi lazima mfahamu sasa tunaanza kungangamara.
Pamoja na Uzembe wa huyo jamaa yako, kuweka sahihi kwa Mbwembwe sheria ya UCHAGUZI, kumbe sheria wenyewe wajanja (inawezekana ni wewe) walimchomekea. Kama si msomi aliyesomea KANISANI (Dr. Slaa) basi hadi leo ingelikuwa inadunda. Ona sasa mmemponza jamaa yako. Yaani kaonekana anachezewa kuanzia na akina Ruge, Kusaga, Makamba, hadi na watendaji wake wa karibu wanamshauri vibaya.
Lazima NIKIRI kuwa KIKWETE kwa UTAWALA wake, ATAIBADILI Tanzania milele. Ndugu Rais Kikwete, kwa hili nasema ASANTE sana. Baada yako Tanzania haitakuwa ile ile. Utawala wako umetufanya Watanzania tuwe WATU WAZIMA. Nani alitegemea kuwa kuna siku Watanzania wataanza kudai haki zao kwa nguvu namna hii? Ona hata sheria ya MADINI, watu wameiweka kiti moto sheria ya zamani hadi KIMEELEWEKA. Najua mlilazimishwa ila angelikuwa Rais Mbabe, basi yangelibadilishwa machache.
Malizieni kwa kuweka sheria kuwa kila uwezekezaji Tanzania, lazima asilimia Minimum kadhaa ziwe kwa ajili ya Wazawa. Hata zile ambazo tayari zimeshawekezwa. Hii itasaidia sana Watanzania kuwa OWNER wa nchi yao hatimaye. Na mwisho kutimiza ahadi yako ya MAISHA mazuri kwa Watanzania wote (milele hawatakuwa wote, ila walau wengi).
Wishingful thinking..kelele nyingi lakini sisi tunaende mbele tunanyoosha upupu uliofanywa na jitu lenu kutoka kanisani NKAPA...mikataba mibovu, sheria chafu, ubabe. etc....wananchi ndio waamuzi come october ..usikimbie ukaishia kulialia ...subirini baada ya 2010...(painfull lakini huna jinsi)
Huyo church agency wenu (slaa) atashirikiana wewe na pengo et al. (waraka movement and so on) lakini kelele za wale waliozoea "kupendelewa".lakini taifa hili linahitaji wanaume kurekebisha mambo si makondoo wanaotoka kanisani...kwa faida ya yenu pia...
Ndoto zako na Slaa oh magufuli (RC movement) tumeshaishtukia..endeleeni kulialia ..keep on crying..
Acha uzushi...- mishahara minono
- marupurupu
- taxi relief kwenye pato
- maisha bora kwa ujumla
-
Hilo haswa ndio dai lao kuu.Umesahau merekebisho ya kiinua mgongo (pension).
Waache uzembe mgomo hauiumizi serikali wala nini,waache unafiki kwanza ni wazito sana,wao ndo walitakiwa kuwa chachu ya mabadiliko,acha wapate wanachostahili kwa kutokufikiria mbali!
Mambo ya migomo ni enzi za chama kimoja,sasa hivi kama hamridhiki mnachotakiwa kufanya ni mabadiliko kwenye sanduku la kura,acheni upuuzi!
I doubt if you know the details of this issue....ni bora ungeuliza kwanza upewe issue nzima...ilivyoanza,hatua zilizochuliwa nk nk..kuliko kuropoka hivi...phew!
Haya tusubiri na tuone.
Sina hakika kama unazungumzia mabadiliko gani, lakini kama ya Kisiasa basi utakuwa unawaonea. Nchi yetu bado ina idadi ndogo sana ya Wahadhiri kuanza kufikiria suala la wao kuleta mabadiliko ya Kisiasa. Pengine tuwatake walete mabadiliko ya kimitazamo kwa wanaopitia vyuoni maana kufikiri kwamba wanaweza kuleta ushawishi kwa jamii nzima ni uongo. Fatilia kwa makini uwiano uliopo wa Mhadhiri na idadi ya Watanzania, bado hatujafikia nchi kama Marekani (don't overspeculate)jmushi1 said:wao ndo walitakiwa kuwa chachu ya mabadiliko
Unalosema ni kweli lakini msingi mkubwa kabisa wa mgomo ni suala la mafao mabovu wanayoyapata kupitia PPF. Mfuko huu hauna 'benefits' nyingi kwa wanachama wake kama ilivyo mifuko mingine. Tatizo kubwa ni kulazimishwa kujiunga na PPF hata pale maslahi yanapokuwa haba. Kuna mtu katoa mfano wa Mbunge kupata mafao makubwa kwa kazi ya miaka mitano (5) pekee, lakini mifano iko mingi zaidi ya huo. Mfano mfanyakazi wa 'government ministries, agencies or departments' anapata fao kubwa sana anapostaafu kulinganishwa na profesa wa chuo kikuuu. So, sidhani kama kupigania maslahi kama hayo kuna ubaya kwako.jmushi1 said:all i know is wanagoma kwasababu wanataka mafao zaidi
Kwenye siasa, Wahadhiri wana haki sawa kama mwananchi mwingine yeyote. Kura moja ya Mhadhiri ina uwiano sawa na kura ya mwananchi mwingine. Kila mhadhiri ana chama anakichopenda, na ni ukiukwaji wa sheria kuanza kuingilia uhuru huo. Ni busara kidogo sana inahitajika kujua kwamba hata kama wahadhiri wote watapiga kura kwa vyama vya upinzani bado haiwezi kusaidia vyama hivyo kushinda kwa mazingira ya siasa za wakati huu.jmushi1 said:kama wanaona serikali ya ccm haiwatendei vyema basi wasiichague kwasababu mali za uma ni za umma na si za ccm...... kwa hiyo wakichagua chama kipya watapata viongozi na serikali ya tofauti
Uwezo inawezekana wanao lakini nafasi ya kuwaelimisha wananchi inategemea zaidi na maslahi wanayopigania sasa. Kwa kuwaunga mkono tutakuwa tunasaidia ili wapate nafasi ambayo nawe pia unaiongelea.jmushi1 said:watumie uwezo na nafasi zao kuwaelimisha wananchi ili tujikwamue
'Better be realistic that your allegations are based on the fact that no Lecturer pay attension to Prof. Baregu's saga'. Lakini hili halikuwahusu wahadhiri kwa kuwa aliingia kwenye siasa 'out of professorial concern'. Kila siku tunalalamika kitendo cha maprofesa wetu wachache kuwa wabunge(wanasiasa) ilihali kuna upungufu mkubwa wa walimu. Kuwa mkweli 'if you are really patriot to your poor country'. Sina maana tuwahachie shughuli za kisiasa watu wasio na elimu ya kubwa, la hasha, lakini suala la kutoa elimu liwe la kwanza kabla ya kufikiria siasa. So, japokuwa sikupenda kusitishwa kwa ajira ya Prof. Baregu, lakini nilipenda 'motive behind' kitenda cha serikali ili liwe kalipio kwa wahadhiri wafanye kazi yao ya kutoa elimu kwa ufasaha pasipo kuingiza masuala mengine.jmushi1 said:lakini kina Baregu walikuwa wenyewe tu,wazalendo hakuna,ni wachache sana,zaidi zaidi ni matumbo yao tu!
Umesahau merekebisho ya kiinua mgongo (pension).
Sina hakika kama unazungumzia mabadiliko gani, lakini kama ya Kisiasa basi utakuwa unawaonea. Nchi yetu bado ina idadi ndogo sana ya Wahadhiri kuanza kufikiria suala la wao kuleta mabadiliko ya Kisiasa. Pengine tuwatake walete mabadiliko ya kimitazamo kwa wanaopitia vyuoni maana kufikiri kwamba wanaweza kuleta ushawishi kwa jamii nzima ni uongo. Fatilia kwa makini uwiano uliopo wa Mhadhiri na idadi ya Watanzania, bado hatujafikia nchi kama Marekani (don't overspeculate)
Unalosema ni kweli lakini msingi mkubwa kabisa wa mgomo ni suala la mafao mabovu wanayoyapata kupitia PPF. Mfuko huu hauna 'benefits' nyingi kwa wanachama wake kama ilivyo mifuko mingine. Tatizo kubwa ni kulazimishwa kujiunga na PPF hata pale maslahi yanapokuwa haba. Kuna mtu katoa mfano wa Mbunge kupata mafao makubwa kwa kazi ya miaka mitano (5) pekee, lakini mifano iko mingi zaidi ya huo. Mfano mfanyakazi wa 'government ministries, agencies or departments' anapata fao kubwa sana anapostaafu kulinganishwa na profesa wa chuo kikuuu. So, sidhani kama kupigania maslahi kama hayo kuna ubaya kwako.
Kwenye siasa, Wahadhiri wana haki sawa kama mwananchi mwingine yeyote. Kura moja ya Mhadhiri ina uwiano sawa na kura ya mwananchi mwingine. Kila mhadhiri ana chama anakichopenda, na ni ukiukwaji wa sheria kuanza kuingilia uhuru huo. Ni busara kidogo sana inahitajika kujua kwamba hata kama wahadhiri wote watapiga kura kwa vyama vya upinzani bado haiwezi kusaidia vyama hivyo kushinda kwa mazingira ya siasa za wakati huu.
Uwezo inawezekana wanao lakini nafasi ya kuwaelimisha wananchi inategemea zaidi na maslahi wanayopigania sasa. Kwa kuwaunga mkono tutakuwa tunasaidia ili wapate nafasi ambayo nawe pia unaiongelea.
'Better be realistic that your allegations are based on the fact that no Lecturer pay attension to Prof. Baregu's saga'. Lakini hili halikuwahusu wahadhiri kwa kuwa aliingia kwenye siasa 'out of professorial concern'. Kila siku tunalalamika kitendo cha maprofesa wetu wachache kuwa wabunge(wanasiasa) ilihali kuna upungufu mkubwa wa walimu. Kuwa mkweli 'if you are really patriot to your poor country'. Sina maana tuwahachie shughuli za kisiasa watu wasio na elimu ya kubwa, la hasha, lakini suala la kutoa elimu liwe la kwanza kabla ya kufikiria siasa. So, japokuwa sikupenda kusitishwa kwa ajira ya Prof. Baregu, lakini nilipenda 'motive behind' kitenda cha serikali ili liwe kalipio kwa wahadhiri wafanye kazi yao ya kutoa elimu kwa ufasaha pasipo kuingiza masuala mengine.