gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
kuna mtu mmoja nimemsahahu jina lake alisema kwamba ccm ni kama kambale kila mmoja ana sharubu sasa unashindwa kuelewa ni nani kiongozi au mkubwa wa ukooNimejiuliza sana hii spidi na utitiri wa watangaza nia ya urais kila kukicha list inaongezeka kwa kasi ya ajabu, je ni kweli wote wana nia ya kugombea ama kuna mbinu wanaitumia ili kumpata mmoja katika makundi yao mbalimbali? Watangaza nia hao ambao ni makada wa CCM ambao baadhi yao walipewa karipio kali na adhabu ya kutojihusisha na kampeni kabla ya wakati nao wameendelea na harakati hizo.
Spidi hiyo imewaibua hadi akina Kigwangwala nao wamo kwenye list ya utitiri huo!
Hizi ni mbwembwe tu au wamedhamiria kugombea?