Wagombea wa Urais 2015...

Wagombea wa Urais 2015...

Ndugu zanguni,

Nimeangalia safu za vyama vyote nchini na kuona kwa haraka haraka CCM wana majina kama kumi ambayo ukiwakabidhi nchi wataingia kazini mara moja na kukubalika, wakati Chadema wana jina moja tu amabalo linalazimisha tu kugombea urahisi wakati wote pamoja na yeye mwenyewe wanajua hana hizo sifa na hafai, pia wana majina mengine mawili matatu ambayo hata wenyewe hujicheka.

Majina ambayo mimi binafsi nawaona wanaweza kwa CCM ni

Mheshimiwa MIZENGO PINDA
Mheshimiwa BENARD MEMBE
Mheshimiwa EDWARD LOWASA
Mheshimiwa SAMWEL SITTA
Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA
Mheshimiwa JANUARY MAKAMBA
Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI
Mheshimiwa WILLIAM NGELEJA
Mheshimiwa LAZARO NYALANDU
Mheshimiwa SOSPETER MUHONGO
Mheshimiwa MARK MWANDOSYA
Mheshimiwa MWAKYEMBE na wengine wangi tu

Majina kwa upande wa Chadomo ni

Dr WILBROAD SLAA
Dr GOBLBLESS LEMA
Dr SUGU
Dr MBOWE

Hapa sidhani kama kuna upinzani, baaado sana..
Mbona hujamueka Mh.Tundu LISSU?huoni kuwa kawazidi kiuwezo hao wote wa ccm uliowataja hapo juu?ccm ni ya familia za mwinyi karume kawawa makamba nyerere malima kikwete nnauye nyie wengine wafuta vumbi tuu la waheshimiwa
 
Fangasi wakipanda kichwani lazima uandike utumbo kama huu..
 
Namba 1 na 2 weka x kubwa,
namba 3 sawa huyo tumezoea. Pia naomba kuongezea, ADC-ZITTO ZUBERI
KABWE(V)

Namba 1 na 2 weka x kubwa,
namba 3 sawa huyo tumezoea. Pia naomba kuongezea, ADC-ZITTO ZUBERI
KABWE(V)

Umekosea mkuu ADC anasimama muheshimiwa sana mbunge wa Wawi Pemba almaarufu kama HAMAD RASHID MOHAMED na Zitto a.k.a rais wa Kigoma yeye anagombea kupitia ACT
 
Kuna kasumba imezuka ya miongoni mwa Watanzania wengi wakidharau watu wanaotaka kugombea urais mwakani. Wengi wamekua wakifikiri kuwa mtu hawezi kuwa rais bila kuwa waziri kwanza.

Mimi naona hiyo sio sawa kwani kuna record nyingi sana hapa duniani ambazo zinaonyesha watu walioshika madaraka ya urais bila kuwa mawaziri wa serikali zao.

Na kasumba hii inaenezwa ili kuwafanya vijana wasipate nafasi ya kuwa viongozi wakuu wa nchi hii. Unaweza kuwa waziri hata kwa miaka 30 ila bado taasisi ya urais ikakushinda kuongoza na unaweza pia usiwe waziri hata kwa mwaka mmoja lakini ukawa vizuri kwenye kuongoza nchi.

Vijana sasa ni wakati wenu kuonyesha uwezo wenu kuitawala nchi hii bila kuangakia vyama mnavyotoka.
 
Kwa hakika ndani ya CCM kuna watu wengi wanaotamani urais. Kama kigezo kitakuwa ni uchapakazi na ujasiri kusimamia anachokiamini basi hakuna kama Lowasa.

Zaidi ya Lowasa CCM haina mtu anayefaa. Wengi wa wanaochapa kazi hawawezi kufanya maamuzi magumu na kuyasimamia. Mfano Mzee Pombe Magufuli ni bendera fuata upepo. Kila analofanya ni kumfurahisha bosi wake. Hicho tu kinamnyima nafasi ya kupambana na Mzee wa Monduli.

Wengine woooooooooooooote, wanataka kwenda ikulu kufanya biashara zao na shemeji zao na akina mjomba na wataoto wa binam. Hawatufai hata kidogo

cc wataka urais wote
 
Samahani nimepita bahati mbaya yani umefirisika kimawazo nenda kalale.

Wewe ndo umefirisika, bahati mbaya nchi yetu sasa hivi ina watu wavivu kufikiri kama alivyopata kusema Raisi mstaafu Ben Mkapa, na wewe inaonekana ni mmojawapo.
 
Heshima kwenu,
Jinamizi la nani atatufaa urais mwakani limenipitia nami pia.
Hili ni jinamizi maana kwa sasa sio jambo la msingi sana kuliko katiba mpya! Hata hivyo,hatuwezi kulipuuza moja kwa moja,cha msingi tusisahau kilicho mbele yetu,yaani katiba mpya!
Baada ya kusikia maoni mbalimbali,na kuwatafakari watarajiwa,nami nimeona wafuatao wanastahili kupewa jukumu la kuingoza Tz,kuanzia mwakani
Kwa JMT,
1:dr.W.P Slaa
2.J.P Magufuli
3.E.N Lowassa
4.F:A Mbowe
Pamoja na madhaifu yao,lakini bado hawa jamaa wamejitanabaisha kuwa ni wa chapa kazi na wanaweza kufanya maamuzi magumu kwa vitendo na sio manenomaneo
Kwa upande wa Tanganyika(naamini) itazaliwa upya maana ni matakwa ya walio wengi nje ya BMK.
1:T.A.M Lissu
2:H.Mwakyembe
na Zanzibar yafaa kuwa chini ya
1.M.S Sharif
2.I.Jussa
3.Abood
4.Ally M.Shain
kama yeyote atashinda,hususani kwa ataweza kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo
yaani mf.Dr slaa/Dr Maguful,Dr mwakyembe /Tundu Lissu/Maalimu S:Sharif/Jussa lazima nchi zichangamke na maendeleo hayatakawia!
Mods,huu uzi usiunganishwe kwa sababu haujaegemea chama chochote cha siasa pekee ili watu wajadili kama watarajiwa wanaweza kupikika chungu kimoja!
 
Kuna kasumba imezuka ya miongoni mwa Watanzania wengi wakidharau watu wanaotaka kugombea urais mwakani. Wengi wamekua wakifikiri kuwa mtu hawezi kuwa rais bila kuwa waziri kwanza. Mimi naona hiyo sio sawa kwani kuna record nyingi sana hapa duniani ambazo zinaonyesha watu walioshika madaraka ya urais bila kuwa mawaziri wa serikali zao. Na kasumba hii inaenezwa ili kuwafanya vijana wasipate nafasi ya kuwa viongozi wakuu wa nchi hii. Unaweza kuwa waziri hata kwa miaka 30 ila bado taasisi ya urais ikakushinda kuongoza na unaweza pia usiwe waziri hata kwa mwaka mmoja lakini ukawa vizuri kwenye kuongoza nchi. Vijana sasa ni wakati wenu kuonyesha uwezo wenu kuitawala nchi hii bila kuangakia vyama mnavyotoka.


mkuu hii ni mada ya kufikikirisha, inawezekana tukapata mtu kutoka nje ya mawaziri tatizo mfumo wetu hautoi platform kwa watu kuonekana. Barack Obama ameweza kuwa raisi baada ya muda mfupi kuwa senator. Tofauti yao na sisi ni kwamba mfumo wao wa demokrasia umekomaa kwa hiyo platform ipo. Through debate Barack Obama alitoa argument ambazo zilimgusa kila mtu.

Hapa nyumbani CCM wenyewe wanaogopa debate, Tido Mhando aliandaa kipindi kizuri sana cha mchakato majimboni kilichotuwezesha kuona uwezo wa watu kupitia midaharo, matokeo yake alifukuzwa kazi.

Kujibu swali lako si lazima upitie uwaziri ili uwe raisi mzuri
 
Heshima kwenu,
Jinamizi la nani atatufaa urais mwakani limenipitia nami pia.
Hili ni jinamizi maana kwa sasa sio jambo la msingi sana kuliko katiba mpya! Hata hivyo,hatuwezi kulipuuza moja kwa moja,cha msingi tusisahau kilicho mbele yetu,yaani katiba mpya!
Baada ya kusikia maoni mbalimbali,na kuwatafakari watarajiwa,nami nimeona wafuatao wanastahili kupewa jukumu la kuingoza Tz,kuanzia mwakani
Kwa JMT,
1:dr.W.P Slaa
2.J.P Magufuli
3.E.N Lowassa
4.F:A Mbowe
Pamoja na madhaifu yao,lakini bado hawa jamaa wamejitanabaisha kuwa ni wa chapa kazi na wanaweza kufanya maamuzi magumu kwa vitendo na sio manenomaneo
Kwa upande wa Tanganyika(naamini) itazaliwa upya maana ni matakwa ya walio wengi nje ya BMK.
1:T.A.M Lissu
2:H.Mwakyembe
na Zanzibar yafaa kuwa chini ya
1.M.S Sharif
2.I.Jussa
3.Abood
4.Ally M.Shain
kama yeyote atashinda,hususani kwa ataweza kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo
yaani mf.Dr slaa/Dr Maguful,Dr mwakyembe /Tundu Lissu/Maalimu S:Sharif/Jussa lazima nchi zichangamke na maendeleo hayatakawia!
Mods,huu uzi usiunganishwe kwa sababu haujaegemea chama chochote cha siasa pekee ili watu wajadili kama watarajiwa wanaweza kupikika chungu kimoja!

sasa mbona DJ zero aka mbowe hana vigezo endapo rasmu ya jaji Warioba ikipita maana elimu ni tatizo au hujielewi?
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
Amin amin nakuambia kama tumeweza kuongozwa kwa miaka kumi na malaya wa kiume mkubwa kuliko wote TZ mwenye watoto hata wa mitaani na alionao wengine hawawajui mama zao basi Dr Slaa ni malaika wa 2015 kwa huyu mzinzi mkuu anayevunja hadi nyumba za wakuu wa wilaya na mawaziri!!
 
Nimejiuliza sana hii spidi na utitiri wa watangaza nia ya urais kila kukicha list inaongezeka kwa kasi ya ajabu, je ni kweli wote wana nia ya kugombea ama kuna mbinu wanaitumia ili kumpata mmoja katika makundi yao mbalimbali? Watangaza nia hao ambao ni makada wa CCM ambao baadhi yao walipewa karipio kali na adhabu ya kutojihusisha na kampeni kabla ya wakati nao wameendelea na harakati hizo.

Spidi hiyo imewaibua hadi akina Kigwangwala nao wamo kwenye list ya utitiri huo!
Hizi ni mbwembwe tu au wamedhamiria kugombea?
 
Wameathiliwa na uchu wa madaraka kila siku wanaota kuwatawala watoto wenzao utafikili wao hawawezi kutawaliwa.
 
Urais umefanywa kuwa rahisi sana. Bado Diamond na wema kutangaza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom