Sitta kwanza atuhakikishie kuwa ile sumu aliyodai kapewa Mwakyembe imekwisha mwilini ndiyo tuanze kufikiri.membe akiwa rais nahamia Somalia.
acha maneno yenye harufu ya papa nguru, kwani Lipumba anamke mbona anagombea! je Kikwato (no, namaanisha mzee wa safari) mbona anavimada kipao na ni..............kama huna la kusema si usome thread tu, si lazima uchangie pumba zako. ninacho kijua rais wa tanzania ni Kikwete na Dr Slaa ndo Rais wa Watanzania.Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
ndugu zanguni,
nimeangalia safu za vyama vyote nchini na kuona kwa haraka haraka ccm wana majina kama kumi ambayo ukiwakabidhi nchi wataingia kazini mara moja na kukubalika, wakati chadema wana jina moja tu amabalo linalazimisha tu kugombea urahisi wakati wote pamoja na yeye mwenyewe wanajua hana hizo sifa na hafai, pia wana majina mengine mawili matatu ambayo hata wenyewe hujicheka.
Majina ambayo mimi binafsi nawaona wanaweza kwa ccm ni
mheshimiwa mizengo pinda
mheshimiwa benard membe
mheshimiwa edward lowasa
mheshimiwa samwel sitta
mheshimiwa mwigulu nchemba
mheshimiwa january makamba
mheshimiwa john pombe magufuli
mheshimiwa william ngeleja
mheshimiwa lazaro nyalandu
mheshimiwa sospeter muhongo
mheshimiwa mark mwandosya
mheshimiwa mwakyembe na wengine wangi tu
majina kwa upande wa chadomo ni
dr wilbroad slaa
dr goblbless lema
dr sugu
dr mbowe
hapa sidhani kama kuna upinzani, baaado sana..