Wagombea wa Urais 2015...

Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Mbona umetaja wa UKAWA tu, au huna maono kwa upande wa ccm?
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

We huna mawazo. ebu pitia uzi huu na uchunge mdomo wako. Sina maana ya kumtetea Lowasa au Nchimnmbi hapa. Nataka kukuonesha kuwa,sheikh Yahaya Alikuachia shanga tupu. Majini akizikwa nayo.

****:******%%%%'%%%********::***
Wakati vuguvugu la wagombea urais ndani ya ccm likiendelea hivi majuzi kimefanyika kikao cha ndani kati ya Lowassa na wapambe wake pamoja na aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi na mbunge wa songea mjini bw Nchimbi wamekubaliana Rasmi sasa kutokana na hali inavyoendelea sasa pamoja na hali ya kiafya

Pia ya bw Lowassa ikiendelea kuwa tete kila kukicha sasa wameamua kumsimamisha Nchimbi Kama mbadala... wakiamini Nchimbi ambaye ni bingwa wa propaganda na wote tunakumbuka kwamba alifanya kazi kubwa sana kuhakikisha jakaya anapita 2005 basi sasa iwe Wakati wake ikizingatiwa Vijana wengi walio wabunge, madc na hata baadhi ya mawaziri na wakuu wa mikoa wametoka mikononi mwake

Wakati akiwa Mwenyekiti wa Uvccm taifa, inaaminika ndie mtu pekee anaesemekana kwamba atakua mtiifu kwa Lowassa na kulinda maslahi yake pindi atakapoupata urais huo.. Nchimbi sasa ndie mbadala wa Lowassa Rasmi katika kundi Hilo la fisadi mkuu nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom