Wagombea wa Urais 2015...

Wagombea wa Urais 2015...

Hao ndio mmoja wapo atakuwa raisi.watanzania tusichanganywe na makundi ya watu wanao tajwa tajwa hiyo kutuzubaisha watanzania ili tushindwe kuwafuatilia udhaifu wao .

x.Dr.Slaa kutokana na kuwa bado na mvuto kwa watanzania kwani tayari anao mtaji wa kura wa 2,272,634 ambazo alizipata mwaka 2010 .Tofauti na wenzake ambapo kura za kikwete zitabakia kuwa za kikwete na wala hazitakuwa za Membe wala Lowasa .Wao itabidi watumie busara kushawishi wapiga kura.

Changamoto ambazo Slaa atakuta nazo kama atapita itambidi kuteua waziri mkuu toka wabunge wa ccm kwani kutokana katiba ya 1977 na hii mpya inayojadiliwa kuwa na vipengere vinavyo tamka kwamba waziri mkuu atachaguliwa kutoka chama chenye wabunge wengi ,psrq

Watanzania tuanze kuwapima hao mapema kama wanatosha au hawatoshi kwa kuangalia vigezo vya uadilifu,uwajibikaji na kuvumiliana.

Karibuni .
Hao wote hakuna rais hapo. Rais ni prof. Anna tibaijuka tu. Watanzania tunataka kiongozi na si mtawala. Prof. Anna tibaijuka anafaa kuwa rais ni chaguo? La wanyonge watanzania vijana wasomi na anaguswa na homa za watanzania
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe haieleweki.

Inaonekana ulikimbia umande.
 
Hivi Lowasssa kafanya nini, kazi yake ya mwisho serikalini ilikuwaje? na je ana msimamo gani kwenye katiba.
 
hivi kweli kuna watu wanaamini kuwa silaa anaweza kuwa rais, mimi ninadhani msipoteze mda wenu, rais lazima atoke ccm, bisha usibishe ukweli ndio, time will tell
 
hivi kweli kuna watu wanaamini kuwa silaa anaweza kuwa rais, mimi ninadhani msipoteze mda wenu, rais lazima atoke ccm, bisha usibishe ukweli ndio, time will tell

Hizi siyo tena zama za zidumu fikira za mwenyekiti na chama ndugu! Endapo ccm mtaboronga kupitisha jina la mgombea tutampigia mtu makini atakaye pitishwa na UKAWA. Asalaam aleykum!!
 
Hao ndio mmoja wapo atakuwa raisi.watanzania tusichanganywe na makundi ya watu wanao tajwa tajwa hiyo kutuzubaisha watanzania ili tushindwe kuwafuatilia udhaifu wao .

x.Dr.Slaa kutokana na kuwa bado na mvuto kwa watanzania kwani tayari anao mtaji wa kura wa 2,272,634 ambazo alizipata mwaka 2010 .Tofauti na wenzake ambapo kura za kikwete zitabakia kuwa za kikwete na wala hazitakuwa za Membe wala Lowasa .Wao itabidi watumie busara kushawishi wapiga kura.

Changamoto ambazo Slaa atakuta nazo kama atapita itambidi kuteua waziri mkuu toka wabunge wa ccm kwani kutokana katiba ya 1977 na hii mpya inayojadiliwa kuwa na vipengere vinavyo tamka kwamba waziri mkuu atachaguliwa kutoka chama chenye wabunge wengi ,psrq

Watanzania tuanze kuwapima hao mapema kama wanatosha au hawatoshi kwa kuangalia vigezo vya uadilifu,uwajibikaji na kuvumiliana.

Karibuni .

kwa upande wa ccm hapo hapajakaa sawa maana wazanzibar wanasema zamu hii ni yao kutoa mgombea wa muungano
 
kuna mtu unamtaka ubaya wewe si bure, wenzako tumeinvest tangu miaka mingi halafu leo tupeleke uraisi znz
 
wewe itakuwa ulikimbia viroboto vya funza madarasa ya vumbi,taabu sana .
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...[/QUOTE
Hao wote hakuna hata mmoja. Watanzania kwa sasa wanamuhitaji rais makini mwenye uthubutu msomi zaidi na awe mwanamke kama Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka]
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

wewe ukawa mgombea ni mmoja hakuna cuf wala chadema wacha kupotosha.
 
Hao wote hakuna rais hapo. Rais ni prof. Anna tibaijuka tu. Watanzania tunataka kiongozi na si mtawala. Prof. Anna tibaijuka anafaa kuwa rais ni chaguo? La wanyonge watanzania vijana wasomi na anaguswa na homa za watanzania

jaman tujaribu kuwa serious ktk kuchangia hoja
 
Prof. Lipumba bila aibu kabisa anaweza kujitokeza tena kugombea? watu kama hawa ndio wanasababisha vyama vya upinzani viitwe ''vikoba'' au ''saccos'' za watu.
 
Wew uchambu wako umepnda sana.mie sina chama wala siluhusiwi kupiga kula kilingana na kaz yangu.nakwambia ukweli ccm tem hii nishada sana kaz wanayo.mi smsemaj sana npita2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom