Wageni wa siku hizi bhana!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wageni wa siku hizi wazuri sana,si wasumbufu kama wazamani.
Wakifika kwako hawaulizi chai,juice,soda wala maji ya kunywa,
Kitu cha kwanza wakifika nyumbani kwako wanauliza 'UNA CHAJI YA PINI NDOGO?'
 
ha ha ha ha ha...hyo kweli aseee
tena mmoja katoka kwetu jana,ile kufka tu et anasema
jamani kuna chaj ya pini ndogo apo?
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom