mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,188
- 6,012
Hio mbwa ya pili kwrnye picha zimeamia shambani hapa hm zipo 3 tunampango wa kuziua kama muhusika hatatoea maana mpk yanaogopesha yalivyo makubwa
Ngoja niwape kisa kilimtokea family friend mmoja mwaka 2015 msimu wa xmass na mwaka mpya.
Jamaa alikuwa na GS wako nane. Kawaida huwapa msosi kila siku usiku mida ya saa 4 baada ya watu wote kuingia ndani maana ni wakali mno. Na zoezi la chakula kuna shamba boy huwa ndie anawahudumia mbwa.
Sasa shamba boy xmass alienda kwao kula sikukuu. Na family friend yeye ni mtu wa tungi sana huwa anakesha baa na wajomba zangu.
Siku shamba boy alipoondoka jamaa akawa amelewa zake akarudi home akapitiwa akalala (mbwa hawakupewa chakula kama kawaida).
Akaamka asubuhi akaandaa msosi vizuri akafungulia banda la kwanza. (Amewagawa katika mabanda mawili wanne wanne).
Baada ya kufungua banda la kwanza mbwa mmoja akaanza kumkoromea kwa hasira sana kisha akamrudia, wale wengine watatu nao wakamrukia wakaanza kumrarua kwa hasira, wale wengine ndani nao wakapandwa na wazimu mpaka wakavunja banda wakaungana na wenzao.
Mke wa jamaa ni mayowe tu kwa dirishani anashuhudia mumuwe anavyotafunwa bila kuwa na lakufanya. Watoto vilio mpaka majirani wakasogea karibu.
Bahati nzuri kuna mtoto wa jirani ni rafiki wa shamba boy na mara nyingi wakiwa wanalisha mbwa wanakuwa wote hivyo wale mbwa wamemzoea sana.
Basi dogo ndio kuingia pale akawatuliza mbwa na jamaa kukimbizwa hospital ambapo alilazwa miezi mitatu akiwa hana fahamu.
Kusema ukweli yule jamaa kama angekuwa kapuku wala asingepona kwa shambulio lile. Pesa ilimuokoa.
Baada ya kurudi uraiani alikuwa amefungwa POP miguuni wala kutembea bila magongo hawezi. Aliwatandika risasi mbwa wote na mpaka sasa sijui kama anafuga tena.
Mbwa ni Loyal Friend kuliko hata binadamu lakini ni hatari sana pia.
Wafugaji tuzingatie Terms and Conditions
Wapi huko chief mnapata mbwa wazuri namna hiyo wanahamia tu.Hii ilimkuta maza mwaka jana kuna GS alihamia Hm mwenyewe akawa kashatozoea fanilia usiku wa kuamkia x mas ya mwaka 2019 maza katoka nunua vitu kafika hm mbu akamjerui kwa kumng'ata asubui ilipofika nae tulimpeleka mbinguni sasa sahivi wameamia wa3 hapa home hao now ni plan za kuwaua tu maana hatutaki matatizo maana inaonekana hawa ndo pure kabisa si watatumaliza
Mkuu umeanza kufuga?Wapi huko chief mnapata mbwa wazuri namna hiyo wanahamia tu.
Hapana mkuu mambo yameingiliana hapa kati
Sio mbwa koko mkuu?Wapo huku kaskazini mkuu
Mkuu ninaoHapana mkuu mambo yameingiliana hapa kati
Mkuu huyu naona ni Belgian Malinois BM????Nimpe nini zaidi kumboresha , very humble with kids ila kwa mbwa asiowajua au watu asiowajua hataki kabisa mazoea , ni mkali kwao sema bado hajui kung'ata anabweka tu View attachment 1430579View attachment 1430580View attachment 1430582
Few years from now you may wish you should have started today...
Mkuu huyu ni Golden shepherd, parents wake ni GSD sema madume yalikua mawili mmoja Golden GSD kama huyu na mwingine ni GSD mwenye black and brown coat .Mkuu huyu naona ni Belgian Malinois BM????
Hawa mbwa huwa wazuri sana kwa ulinzi, jspo ni wsksli mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuMkuu huyu ni Golden shepherd, parents wake ni GSD sema madume yalikua mawili mmoja Golden GSD kama huyu na mwingine ni GSD mwenye black and brown coat .
View attachment 1461328View attachment 1461331
Few years from now you may wish you should have started today...
Hiki sikijui mkuuHiki ni chuma gani wakuu?View attachment 1497448
Iyo ni cross ya pitbullHiki sikijui mkuu
😁😂😂 mrudishe demu wake.Mbwa wangu amegoma kula leo ya tatu baada ya kumwondoa demu wake....Si Atakufa huyu!
Mzuri sanaMkuu huyu ni Golden shepherd, parents wake ni GSD sema madume yalikua mawili mmoja Golden GSD kama huyu na mwingine ni GSD mwenye black and brown coat .
View attachment 1461328View attachment 1461331
Few years from now you may wish you should have started today...