Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Serbian husky
tapatalk_1586514101770.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah sema bei zake naona si rafiki.sijui sababu ni rasta anachukulia kila mtu mtalii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.
 
Pamoja na hayo mkuu ila jamaa bei zake mkasi mno kulinganisha na sources wengine wanaoimport breed.
Kwa mbwa mkubwa sawa kuuza bei sababu ya cost za msosi,matibabu nk ila unakua kipuppy kidogo mno ila bei atakayokwambia utashangaa na roho yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.
Mkuu tumia power pack inavirutubisho vyote vinavyohitajika

Hiyo power pack inauzwa bei gani mkuu na ujazo ni kiasi gani??

Pia naomba kujua ni ideal kwa mbwa wa umri gani?maana nataka nianze tena safari ya kufuga mbwa.

Pia naomba unisaidie kujua eti hv hz chanjo za mwanzo za mbwa kama Parvo na nyinginezo bei zake zikoje madukani huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2 ml bado hailipi ila kwasababu ya passion ya ufugaji wa Mbwa unakuta hatuachi. Mfano unamlisha Puppy mayai na maziwa na mikate na Jacky jr dray food mfuko wa kg 8 sh laki na nusu au Royal canin kg8 laki2 sasa Puppy wa miezi 3 utamuuza sh nagapi? Ufugaji na uzalishaji unagharama sana ndugu.
Mkuu nakuona ww ni mtaalam na mwenyeji ktk ufugaji wa mbwa,

Naomba kujua chanjo za awali za mbwa kuanzia kuzaliwa.

Halafu kuna jamaa yangu alikuwa na mbwa wake ambaye ni cross ya GS akapandwa na pure GS ss akazaa puppy 5 ila ss baada ya siku 5 mama akafa na kuacha watoto leo wana siku km 8 jamaa inabidi awape maziwa ya ng'ombe kwa bomba la sindano maana ht kuona hawajaanza.Je ubaweza kunshauri nn afanye???cc Steven Nguma

Wakati unasubiria ushauri wa jamaa...
Mwambie huyo mshikaji achemshe sana hayo maziwa huwa yana minyoo sana vinginevyo anaweza kuwapoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom