My partinerz...my friendz...my followerz..PIPOOZ !! Love y'all.
Personally...pasona personally..
CC: King'asti.
Mi nimekuzimia kitambo kweli mpaka kumeanza kuchakaa
Ukali wa chui anazalishwa vile vile,ushampata wa kukupa masaji?Afu unaniudhi siku hzi.
We jishaue.
e he he he, ushazoea 'rara nikurenge?'
Moja ya udhaifu wako mkubwa kabisa ni WIVU, ndio maana kila siku unaishia KUNAWA
Note ; Hapa sijapaelewa-elewa !
Wanaotakiwa ku'share huu Uzi ni wale tu maalumu waliotajwa hapo juu tu , au?
Coz nikiangalia mtiririko tokea juu sijaona Member aliye'share tofauti na waliomesheniwa! Probably Mtoamada ungetusaidia dodoso ndani ya hadidu .