Wafuatao.................

Wafuatao.................

Changamka mapema, ikifika October tunaanza kudai kwa Pound. Kuanzia 01 Jan 2014 tunaanza kutoza Kuwaiti Dinar.

Tatizo wasukuma siku hizi mnadai mahari kwa dola,ngoja nimwambie mbeba mabox Nyani Ngabu akishuka toka majuu aniletee,he owes me a favour.
 
Umeanza kuichakachua eti eeh,
rudisha yale yale maneno ulomwekea Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaahaa wantia uongo tuu hapa nipate mbichwa huoo
Hahahaha, wala hata sikutii uongo ni ukweli mtupu. Ila wakati mbichwa wako unakuwa mkubwa angalia uwe karibu na kiegemeo halafu uwe umekaa sawa
 
Back
Top Bottom