Wafuasi wa Uamsho waiamsha Zanzibar.........endelea kuona picha hizo

548789_4008683699401_700507559_n.jpg

222481_538656006149439_338414492_n.jpg

73962_538656046149435_275746402_n.jpg
 
wacha hayo maneno makali hivo ndugu, uamsho ni kwa ajili ya zanzibar au udini? unawaaaaka eti M4C MOVEMENNT FOR CHURCH LAANATULAAH CHADEMA NA MAKAFIRI WOTE, what is dat for? chadema na ukristo wametoka wapi tena kama huwafeel wateme tu sio kuanza eneza maneno siyo mkubwa, you've to preach love peace and equality sio hizi hatred words zinazobomoa, pakinuka hapo usidhani wewe wanao mkeo mamayo na babayo mtakuwa safe. Let us change fellas hizi dini zimeletwa na wageni zote hizi,zisitugombanishe hadi kuuwana wanatucheka tu pembeni, afu umoja ni nguvu hayo matatizo yalokuwapo kwa union ni ya kuyapigia kelele kwa njia za amani mbona kila kitu kitakuwa sawa, dini mbili mataifa mawili kuishi kwa amani ni raha yakhe, ni hayo tu mkuu, PEACE
 
haya mambo tubishane humu kwenye keyboard lakini yakizidi kuchacha hakuna atakaekuwa salama,mkumbuke tuna wadogo zetu,wazee wetu,wagonjwa na walemavu je watakuwa na uwezo na mbio tulizonazo sisi wazima?yote kwa yote ikitakiwa kutokea basi itatokea tu ila asije mtu akafikiri haya mambo hayatamgusa kwa namna moja ama nyingine.nchi haipo salama hii ina maana kikwete anazidiwa ujasiri hata na mwinyi?
 
Huyu bwana mkubwa aliyalea kama mayai sasa yamekomaa yanaanza kuenguliwa anashtuka, sijui hata anashtuka nini wakati hata kauli yake ya juzi kati baada ya kuchomwa moto makanisa kule mbagala ilinishtua sana, kwamba walikuwa na haki ya kukasirika.

Anafundisha wengine kwamba ni haki kukasirika na kufanyakile hasira inachokwambia. Namkumbuka sana Rais wangu mstaafu Benjamin W. Mkapa na kamanda Mahita hawakuachia upuuzi kama huu utokee.
 
mkuu kuko na tatizo katika akili za raisi wetu hayuko sawa sawa kabisa naungana na wote wasemao hakujua anakwenda kufanya nini ikulu na alikuwa anajaribu tu na sasa nchi inamuelemea,na bahati mbaya hata wakuu wa majeshi aliowachagua nao ni lelemama warembua macho.mungu usiinusuru tanzania maana tunaiharibu kwa upumbavu wetu.
 
Baba wa Taifa mwl. Nyerere aliwahi kumkataa huyu muuza sura lakini watanzania tutavuna tulichokipanda kwa kumpa uongozi mtu aliyekataliwa na muasisi wa Taifa hili tukadhani tuna upeo mkubwa sana kuliko muasisi wa Taifa hili.

Poor Uongozi wa Tanzania.... umejaa wauza sura tupu.
 
hao siasa kali wasituharibie nchi, ikipidi JESHI la Wananchi JWTZ liwadhibiti au hiyo Zanzibar itawaliwe Kijeshi
 
Tutole udini GEBWE Mkubwa wewe Nyerere na MAKWAPA Ndio waliopanda hizi mbegu za Uduni ikifika kwa waislam mnawahurumia Polisi kama sio nyie mliokuwa mnawatukana nakuwalaani kwa kumtoa roho Mawangosi, Haya mambo mnayataka wapeni watu UHURU Wao wamechoshwa na MFUMOKAFIRI Mpaka muambiweje mtaelewa nyie kafa mwangosi polisi wabaya kafa askari waislam wabaya polisi wazuri kwa kuwa mwagosi alikuwa mtumishi wa M4C MOVEMENNT FOR CHURCH LAANATULAAH CHADEMA NA MAKAFIRI WOTE
kafiri mwenyewe.........................
 
Mkuu mbona hii picha inaonesha ilipigwa mwaka 2009 tarehe 14 mwezi wa kwanza. Hebu tuambie ukweli kuhusu hizi picha zako maana wengi tunafuatilia kwa karibu.
Mkuu grafani11 nimekopi mimi kwenye Facebook zipo mpya na zipo za zamani Mkuu yote hayo matukio ya Zanzibar kumechafuka huko mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Amir ameonekanwa ndani ya shimo wakimpa maji ya chooni.
ameonekanwa maeneo ya bubwini.
Hakula kwa muda wa siku 3
Maswali aliyokuwa akiulizwa yafika 300.

208144_298347866931976_467880593_n.jpg

156486_4013604582420_1347498395_n.jpg

155104_416260538427682_627932180_n.jpg
 
Amir Azzan na Dereva wa Sheikh Farid (ambae ni mtu wa mwisho kuwa na Amir Farid) wakihojiwa na Reuters, Mwananchi, Channel10 na Cable

leo mchana.

Amir Azzan Alisema:

Tafakari kuna nini hapa.?

Kuachishwa Mansour, Kukamatwa Sheikh Farid , Sheikh Ponda, kuchomwa Kisonge.!

Msiwe wajinga wapumbavu mkaitia nchi ktk hilaki halafu mkatusingizia sisi.!

Polisi mfateni mwaklishi wa Koani aseme Farid yuko wapi.? Maana alisema Barazani kwamba atamdhibiti Farid.!

Tushirikiane kwa amani na utulivu kumtafuta Farid...Farid kakamatwa saa3, Ponda saa4, Sio bure kuna namna hapa.!

Hii yote ni mipango maalum ili kuweza kuleta Vurugu na ikiwezekana kuharibu Serikali ya Umoja wa Kitaifa, Kuwagawa watu na ili turudi

tulikotoka na kuwatoa watu ktk ajenda yao ya Kudai Z'bar yenye Mamlaka Kamili.!

Tunaomba Wazanzibari msikubali kugawika tena na msitolewe ktk Kudai Z'bar Huru.!

Polisi tunawaomba kuweni waadilifu.!

Ikifika kesho laasiri hajapatikana, tutaambizana nini tufanye, nafikiri itakuwa mwisho wetu wa kusubiri.!!!

Tumuombeeni dua kwa wingi Amiri wetu Mola amjaalie salama huko aliko...Amin.

Na dereva alisema:

Tulikwenda kununua umeme Mbweni, nami akanambia nimuache anataka kuongea na watu, mimi nikamwacha na kurudi bila kuwasiliana nae tena

na asubuhi ndo nasikia habari hizi, ila sikujua ni watu gani aliokuwa na ahadi nao.

Back
Top Bottom