Wafuasi wa Uamsho waiamsha Zanzibar.........endelea kuona picha hizo

Wewe MZIZIMKAVU tuambie kwanza kuhusu picha ya unayedai ni askari FFU wakati anaonekana wazi ana RASTA au siku hizi FFU wanasuka RASTA??????
Hatujatangaziwa kuwa kuna askari wa FFU kajeruhiwa tunayejua ni CPL SAID ambaye alifariki,sasa unatakiwa uwe mkweli maana habari hizi wengi wanazifatilia ili kupata ukweli.,
 
522814_539120762769630_912683104_n.jpg
 

NA TAASIS ZA KIISLAMU ZANZIBAR (JUMUIKI)

IMESEMA KUWA WAO NWAMESHINDWA KUMTAFUTA NAKUJUA ALIPO SHEIKH FARIDI NA JESHI LA POLISI PIA LIMESHINDWA KUMTAFUTA NA KUJUA ALIPO KWA HIO BASI LINAWAACHIA WANANCHI JUKUMU LA KUMTAFUTA KIONGOZI WAO.
 
425832_456233037760541_202798687_n.jpg


BREKING NEWS

Waumini mbali mbali wa uamsho wanaendelea kukushanyika kwa wingi sana katika msikiti wa mbuyuni wakisubiri tamko kutoka kwa viongozi wao
 
Wewe MZIZIMKAVU tuambie kwanza kuhusu picha ya unayedai ni askari FFU wakati anaonekana wazi ana RASTA au siku hizi FFU wanasuka RASTA??????
Hatujatangaziwa kuwa kuna askari wa FFU kajeruhiwa tunayejua ni CPL SAID ambaye alifariki,sasa unatakiwa uwe mkweli maana habari hizi wengi wanazifatilia ili kupata ukweli.,
Mkuu.@Echolima Waulize wenyewe Watu Wa Uamsho mimi nime Kopi na Ku Paste kazi yangu sizidishi kitu wala sipunguzi kitu nina kopi na kuweka hivyo hivyo nilivyokuta mkuu . Mambo ya Ngoswe Muachie mwenyewe Ngoswe.
 
AMIRI MKUU WA JUMUIA YA UAMSHO ZANZIBAR SHEIKH MSELEM BIN ALLY AMESEMA KUWA WAO KAMA JUMUIA WAMESHINDWA KABISA KUMTAFUTA WALA KUJUA ALIPO SHEIKH FARIDI PIA AMESEMA KUA KUWA HATA JESHI LAPOLISI LINMESHINDWA KUMTAFUTA NA KUJUA ALIPO HIVO BASI AMEWATAKA WANANCHI KUMTAFUTA KIONGOZI WAO
546930_456273564423155_326077475_n.jpg


 
C.P Mussa akiongea na wandishi wahabari kuhusu kuuliwa kwa police wake.
Vile vile kuzungumzia kutoweka Amir Farid anasema yeye hajui alipo atakuwa amejificha mwenyewe.

61167_298015813631848_1084136175_n.jpg
 
kuna taarifa zisizo rasmin kutoka kwa raia wema wanaoishi katika maeneo ya nje kidogo wa mji wa zbr chukwani kuwa majira ya saa 6.00 usiku walisikia mlio wa helicopta ikiruka na ndio inasemekana amir farid aliondolewa wakati huo na usalama wa taifa
 
Back
Top Bottom