Wafuasi wa Uamsho waiamsha Zanzibar.........endelea kuona picha hizo

485844_415528888500847_1387062114_n.jpg
 
Dhaifu nchi imemshinda...ingekuwa mkapa au NYERERE hapa ungeona N NEW MOVIE,,,,,,,,,,,,

Tutole udini GEBWE Mkubwa wewe Nyerere na MAKWAPA Ndio waliopanda hizi mbegu za Uduni ikifika kwa waislam mnawahurumia Polisi kama sio nyie mliokuwa mnawatukana nakuwalaani kwa kumtoa roho Mawangosi, Haya mambo mnayataka wapeni watu UHURU Wao wamechoshwa na MFUMOKAFIRI Mpaka muambiweje mtaelewa nyie kafa mwangosi polisi wabaya kafa askari waislam wabaya polisi wazuri kwa kuwa mwagosi alikuwa mtumishi wa M4C MOVEMENNT FOR CHURCH LAANATULAAH CHADEMA NA MAKAFIRI WOTE
 
Dhaifu nchi imemshinda...ingekuwa mkapa au NYERERE hapa ungeona N NEW MOVIE,,,,,,,,,,,,
mkuu asigwa Kiongozi Sio Dhaifu kiongozi ni mpole ndio maana Watu wanamchezea ingelikuwa enzi ya Marehemu Karume watu wasingeweza kufanya hivi wanavyofanya sasa......................................
 
Last edited by a moderator:
News Update

Habari nilizopata sasa hivi kutoka kwa Mwanangu anayeishi Zanzibar Eneo la Bububuu kuwa Polisi wanaingia nyumba mpaka nyumba usiku huu kumtafuta yule mtu aliye muuwa Askari mwenziwao hiyo ndio habari niliyopata sasa hivi na kutembea mjini Zanzibar mwisho ni saa 4 usiku.
 
Jamani wewe uwe unaweka warning basi! Hii picha kama sikosei sio ya zbar, imetembea sana mtandaoni kuwa ni ya mwanamke aliekuwa abused na mumewe. Plz recheck your source.
548540_433627526699815_1206807789_n.jpg

ASKARI POLICE KITENGO CHA FFU AMBAE ALIPIGWA MAPANGA NA WANAOSADIKIA VIJANA WENYE HASIRA KUTOKANA NA KUTOWEKA KIONGOZI MKUU WA UAMSHO AMIR FARID ZANZIBAR....HII SASA NI HATARI NDUGU ZANGU SIO SUALA JEPESI VIONGOZI MUANGALIE HILI NCHI TUNAITIA KWENYE BALAA.
 
Upole, udhaifu na ujinga ni vitu tofauti kabisaaa! na havishahibiani hata kidogo.
mkuu asigwa Kiongozi Sio Dhaifu kiongozi ni mpole ndio maana Watu wanamchezea ingelikuwa enzi ya Marehemu Karume watu wasingeweza kufanya hivi wanavyofanya sasa......................................
 
Last edited by a moderator:
Jamani wewe uwe unaweka warning basi! Hii picha kama sikosei sio ya zbar, imetembea sana mtandaoni kuwa ni ya mwanamke aliekuwa abused na mumewe. Plz recheck your source.
bibie King'asti Samahani mimi nimekopi hiyo Picha kwenye Facebook pamoja na maelezo yake sijajuwa kuwa ndio hivyo nisamehe. Na muwekaji wa Picha huyu hapa bonyeza hapa https://www.facebook.com/Mr.Nuramo
 
Back
Top Bottom