Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

Hao "nyumbu" unaowasema ni wepi hasa, sisi humu JF au "wanakijiji" wote wa kijiji cha Tanzania?

Kama ni hivyo, wewe utakuwa ni "ng'ombe" tu basi ila kasoro ni hii, kwamba huna mkia tu na unatembea kwa miguu miwili badala ya minne!!

mkuu ng'ombe mbona anaakili sana. Kama unataka kujua kuwa ng'ombe ana akili tembea naye karibu maeneo ya machinjio utaona reaction yake.
Lakn nyumbu hata akiona mwenzie anauwawa hapa yeye atazid kwenda tu ...
Yaan hapo ulipo ww mkuu hamna utofauti na nyumbu. Ww ni nyumbu kabisa hahahahaaa
 
Mzee Slaa na Myika wako wapi? Chadema kwisha habari yake kulikoni wanampendekeza mfisadi kuwa raisi wa nchi? Hivi Mbowe inawezekana kavuta kitu sio bure, Chadema kweli walimshuparia Lowasa na kesi ya Richmond hadi akapoteza Uwaziri mkuu leo kawa mtu clean kama sio unafiki ni nini. Grow up guys Chadema is finish big time na IKULU wataisikia
 
mkuu ng'ombe mbona anaakili sana. Kama unataka kujua kuwa ng'ombe ana akili tembea naye karibu maeneo ya machinjio utaona reaction yake.
Lakn nyumbu hata akiona mwenzie anauwawa hapa yeye atazid kwenda tu ...
Yaan hapo ulipo ww mkuu hamna utofauti na nyumbu. Ww ni nyumbu kabisa hahahahaaa

Hahaaaaa

Mkuu asante kwa kumpa elimu huyu nyumbu
 
Hahaaaaa

Mkuu asante kwa kumpa elimu huyu nyumbu

yaan hawa jamaa n nyumbu kabisa. Nyumbu akiona mgongo wa mamba anafikir n gogo anajirusha..

Na wao wanamuona lowasa n jambaz lakn alivyingia chadema wanafikir amekuwa malaika.

Yaan namshukuru sana mtoa maada kuwavumbua hawa nyumbu
 
Kweli sikujua kama ipo siku moja cdm yanaweza kumshangilia kweli malaya wa siasa ni wengi,

utaangaika Sana ila ndiyo hivyo hamna jinsi, shanga za dada yako ulivaa mwenyewe, so kupasuliwa mayai halali yako
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

tumechoka kuwa waafuasi WA chama cha majizi (CCM) nyie mnenepe siye tukonde, poleni! Mwaka huu mimba uliyopewa lazima uzae hamna jinsi
 
yaan hawa jamaa n nyumbu kabisa. Nyumbu akiona mgongo wa mamba anafikir n gogo anajirusha..

Na wao wanamuona lowasa n jambaz lakn alivyingia chadema wanafikir amekuwa malaika.

Yaan namshukuru sana mtoa maada kuwavumbua hawa nyumbu

majizi makubwa nyie nitakuwa marehemu kuipenda na kuchagua chama cha majambazi (CCM) mmeishiwa sera mnatapatapa, Ni nani mwenye akili timamu achague kuipa kura ya ndiyo ccm (chama cha majizi) ? Watanzania wengi Ni wa mbele na wala sio waliotokea nyuma kama wewe
 
Kaka ni kweli kabisa, wafuasi wa hili Fisadi ni kama Manyumbu tu ya Serengeti. Mtu mwenye akili timamu na uwezo wa kuhoji na kuchambua mambo huwezi kumshabiakia mtu kama Lowassa. Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hili fisadi Lowassa, ambayo majibu yake sio mazuri hata kidogo. Hili Fisadi lina malengo yake binafsi ya kutaka kuwa Rais na sio kuwaletea watu maendeleo. Huyu ni mtu ambaye kauli zake haziaminiki hata kidogo na zinatia shaka sana. Mzee anapokosa msimamo ni hatari sana kuliko kijana kukosa msimamo. Alisema kwa kauli yake mwenyewe kuwa kamwe hataondoka CCM. Leo imekuwaje, mbona ameondoka??? Hili fisadi sio la kuamini hata kidogo.

ningewashangaa Sana ccm kama mngemshabikia lowasa kuamia UKAWA! Najua upo kazini, ila watanzania tumeshahamka hatuitaki ccm tumewachoka majizi nyinyi, sumu yako kamwage baharini hapa hupati mtu! Upo we panyaroad??
 
Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo

Mwaka huu mmekalia panga lazima liwakate Mtanyooka tuu
 
Mkuu hawa nyumbu ni kama wafuasi wa kibwetere tu

Mbowe akisema wadumbukie kwenye volcano woote wakiongozwa na Lema watapiga mbizi

Mtasema sana lakini lazima tu wakate tuu
 
Mtahangaika sana Chama hakina sera mwaka huu maana ile sera ya ''ufisadi'' Mzee kasema kama huna ushahidi funga kinywa sera mliyobakiwa nayo ni matusi tu sasa.

Ndio maana tunasema hatupeleki genge la wahuni na waroho wa madaraka ikulu.

Ni kweli mkuu, hakuna sera tena
 
Mtahangaika sana Chama hakina sera mwaka huu maana ile sera ya ''ufisadi'' Mzee kasema kama huna ushahidi funga kinywa sera mliyobakiwa nayo ni matusi tu sasa.

Ndio maana tunasema hatupeleki genge la wahuni na waroho wa madaraka ikulu.

utanyooka tu kibaka we na chama chenu cha majizi (CCM)
 
Mkuu haya ni ma 4u ndo ajira zake za mitandaoni zimefufuka,
maana siamini manachadema wa kweli kama anaweza kukubali usaliti wa slaa,

Mwaka mnalo tulia iingie ikiuma sana sema
 
Back
Top Bottom