LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,225
Hivi mshana Jr unafanya kazi gani kwan???
Mkuu umenifanya nichekeeeee!Mh hizi picha usiku wa leo nalalaje Mungu wangu
Sikurudi tena mpk saiv sitaki kuziangalia unajifunika blanket mpk juu lkn wapi nililala vby, sasa kuna member mmoja ameweka avatar ya zombi wale sijui wa sayari gani mama weeee nikiiona nasisimkwa mwili mzimaMkuu umenifanya nichekeeeee!
Uliweza kulala au ulisinzia usiku kucha ukiogopa picha hizi??! yaani umenichekesha acha kabisa! Luv JF
Pole sana!Sikurudi tena mpk saiv sitaki kuziangalia unajifunika blanket mpk juu lkn wapi nililala vby, sasa kuna member mmoja ameweka avatar ya zombi wale sijui wa sayari gani mama weeee nikiiona nasisimkwa mwili mzima
Kuna wakati nakuwa strong lkb tatizo huwa naota sana ndg zangu waliokufa kuna wakati ilifikia hata mchana km nimo ndani peke yangu nahisi kumuona mtu aliyekufa au kusikia sauti yake kabisa nakimbia kwa jirani ili walau nipunguze hofuPole sana!
Amini picha hizi hazina madhara yoyote kumbuka picha hazina uhai
Mizimu ipo lakini amini Mungu anakulinda na majinamizi
Nacheka sababu nilikuwa hivyo lakini baada ya kufiwa mara kadhaa nimekuwa jasiri isitoshe sijawahi kutokewa na ndugu zangu itakuwa mtu nisiyemjua! Uwe na amani hutadhurika kwa lolote.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Pole sana!
Amini picha hizi hazina madhara yoyote kumbuka picha hazina uhai
Mizimu ipo lakini amini Mungu anakulinda na majinamizi
Nacheka sababu nilikuwa hivyo lakini baada ya kufiwa mara kadhaa nimekuwa jasiri isitoshe sijawahi kutokewa na ndugu zangu itakuwa mtu nisiyemjua! Uwe na amani hutadhurika kwa lolote.
Kuna wakati nakuwa strong lkb tatizo huwa naota sana ndg zangu waliokufa kuna wakati ilifikia hata mchana km nimo ndani peke yangu nahisi kumuona mtu aliyekufa au kusikia sauti yake kabisa nakimbia kwa jirani ili walau nipunguze hofu