Wafu hawana madhara, ogopa walio hai

Wafu hawana madhara, ogopa walio hai

huo ugonjwa ndo dhara lenyewe sasa.
maana hata hao wazima chuki,siraha ndo madhara yenyewe hayo,kama mtu hana chuki nawe yanini kukukimbiza..?
Nimekuelewa in deep kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna mmoja kashaanza kuleta nongwa tusiharibu Uzi wa watu bure kuna watu hawanipendi wakiona comment zangu wanafura wacha nikisepeshe mie, baaaaiiiii
Tafuta ghetto zuri halafu niite tuje tuendeleze stori zetu baby!
 
Mkuu ni kweli ila wafu hutisha ata kama hawana madhara
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna mmoja kashaanza kuleta nongwa tusiharibu Uzi wa watu bure kuna watu hawanipendi wakiona comment zangu wanafura wacha nikisepeshe mie, baaaaiiiii
nimeota ati ukweli haujawahi kumuacha mtu salama😀
 
Hawa naobebishana tupia picha za kutishatisha wale kona,nawivu mpk kwenye ukucha!!
4789_logo.jpg
 
Back
Top Bottom