Wafu hawana madhara, ogopa walio hai

Wafu hawana madhara, ogopa walio hai

Najuta kuifungua hii thread.......leo nitaziota hizo picha na hivi nalala mwenyewe sijipatii picha
 
Achatuu.

mshana jr hizii picha hazina uhusiano kimkataba kwa yoyote atakae angalia kwelii?

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] Zinaogofya na mikataba pasipo makubaliano nayo ni changamoto.
mikataba pasipo makubaliano ni changamoto [emoji144] [emoji144] [emoji144]
0ca5af5002366b2f16a457ca215d9964.jpg
 
J0sJOHj_d.jpg
unanibana milundi halafu utegemee mimi nigende? Kwani hukusoma MAGAZIJUTO? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wafu hawana madhara lakini wengine hugeuka kuwa mapepo na kurudi mmalizane
e0bf3af259a2026c09927fb478878d9a.jpg
 
Daa! Kilichonifanya nifungue uzi wa mshana ndio kitanibembeleza nilale. [emoji35] [emoji35]
 
Mshana Jr bhana unaufanya usiku uwe mrefu kwangu asee
 
Back
Top Bottom