Kwani hakuna watu wengine nyumbani?Mh hizi picha usiku wa leo nalalaje Mungu wangu
njoo tulale hukuMh hizi picha usiku wa leo nalalaje Mungu wangu
Niliamua na kukimbia kabisa😉😉😉😉😉.......Naomba nije kuwa bawabu
Hata sikujua😉😉Bawabu maana yake mlinzi[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
PoleMh hizi picha usiku wa leo nalalaje Mungu wangu