Hivi ni kweli haya matukio huko yanashindikana kukomeshwa!!!!!?????
Zanzibar ni salama kwa wageni waislam tu.
Nao wamezidi kiherehere,kilichowatoa kwao ni nini?.
Anyway anaweza mtu akaharibu kwao na kukimbilia kujificha africa lakini kuna watu kama mafia,CIA,MOSSAD wanaweza kukutrack down na kukumaliza.
Maana hata mauaji menyewe yanaonekana ni kisasi.

Watanganyika muna chuki na Zanzibar pamoja na Wazanzibari kwa nini ? Au biblia zenu ndivyo zinavyowasomesha ?.
Wazungu michezo yao mumeisahau?
Inawezaka waliingia kisimani kwenda kufanya mapenzi.