Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

Wafaransa wawili wauawa Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Punguza munkari mkuu! Mwenzako ameandika mengi ya busara, na wala nia yake si kushindana na wewe kwenye masuala ya nadharia ya upolisi. Tumia busara: Soma kwanza mchangiaji alichoandika, halafu ndiyo unajibu. It's so basic and simple. Sawa bro?

Hamna mashindano wala ila tunaongelea watu kuuwawa na kuwekwa kisimani,kumbuka kuna matukio mengi hapo yamepita hapo nyuma ya uvunjifu wa amani!!!!!

Zanzibar utalii ni muhimu sasa matukio kama haya yana cost nchi kama nchi hususan visiwani sasa tunapojadili haya si sawa ku compare na bara!!!

Bara kuna madudu yake nako mara drugs then poarching hujakaa sawa ujambazi na vitu kama hivyo na kama hayo lakini haya justify anaything upande wa pili!!!!

Dualism is good and relevant ila ikitumiwa bila uangalifu huwa ina neutralize hoja za muhimu sana sasa umakini ni muhimu sana katika kufanya haya,sio kila kitu jibu lowe mbona huku au kule walifanya!!!!! So????!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom