Watu wa znz wanaubinafsi sana ndio maana matukio kama haya yataendelea tu na wakimaliza wazungu na wa bara wataanza wenyewe kwa wenyewe
Ndo maana mie nilitoa maamuzi hata iweje sitakuja fika zanzibar,hawana akili,wajinga,na watapotea muda c mrefu ktk ramani ya aman na utulivu.Ubaguzi ubaguzi tu pumb..vu
Akili zako zimeishia hapo.
Hurumaaa....!
Madrasa zinapoteza ndugu zetu jamani.
Imefika wakati nazo zichunguzwe kwa makini!
Acha kashfa za kidini mshenzi mkubwa wewe kwani wale mapadri mashoga kanisa ndio limewafundisha ,usipende kukashifu imani za watu wengine kwasababu hilo halitakupeleka peponi kuku wewe
Wacheni ujinga na machuki ya kipuzi nyinyi, mnataka kusema Tanganyika hakuna mgeni aliyewahi kuuwawa.Tukiangalia haraka haraka tukio ni la kiuhalifu wa kawaida wamewauwa wamiliki wa nyumba ili wahodhi hiyo nyumba na mali nyengine za marehemu hao. Uislama utalii vina uhusianö gn na tukio hilo.? Badala kuwalaan wa husika mnawashambulia Wazanzibar wote plus na Iman yao!! Kwa chuki hz kunasiku mtawavamia kwa vifaru na ndege za kijeshi muwamalize wote.Au simuwambie kosa walio wafanyia km kuna uwezekano wawaombe RADHI.
Lakini km mauwaji ya wageni hakuna Watanzania waliouwa Uengereza Marekani Canada au hata Kenya ? Mbona hamkuzishambulia Nchi husika?
Utalii utakapokufa Zanzbar nyinyi mtafahaidika vipi. WACHENI UJINGA Kampen hizo angalau zingefanywa na KENYA tungewaelewa na si nyinyi kumbuken kwamba TRA na hapa wapo pia.
Mimi nadhani hapa hapahusiani na kumtetea allah-n mapigo.
Wala unaweza ikawa sio katika kutekeleza mafundisho ya dini ya haki yenye kuahidi wanawake sabini kama marupu rupu ukifa kazini.
Kwasababu wameua hadi kamboga ka ndugu zetu wahhehhe,hapa ni inaweza kuwa ni suala la mali tuu.
Zanziberi itakuwa salama kwa wageni wasilamu tuu kama mdau mmoja alivyosena hapo juu.
Na wale Wazanzibari waliouliwa Afrika Kusini ilikuwa ni kwa jina la Yesu?
si nimefikiri,we unadhani nimeandika nikiwa ndotoni?Use unafikiri kabla ya kuandika eti kiherere
Mmezidi mno nanyie acha mtukanwe....mbona hatusikii mwarabu kutoka arabuni kauawa; nyie mwaua wazungu na mapadri tu.....nyie ndo mna chuki na imani na tamaduni zingine na hiyo mbaya roho ya umimi na usisi itawawinda siku zote
Naona hapa watu mnaropoka tuu...hakuna hapa udini au uzanzibar..ni wahalifu tuu wameua..mbona bara mnawaua albino??vibaka??tumieni busara kutoa mawazo yenu udini hauwasaidii kitu...muhimu tu kua kuna hatari wanaofanya hivi nia yao kuua biashara ya utalii ambayo kwa sasa inaingiza pesa nyingi SMZ.