Wacheni ujinga na machuki ya kipuzi nyinyi, mnataka kusema Tanganyika hakuna mgeni aliyewahi kuuwawa.Tukiangalia haraka haraka tukio ni la kiuhalifu wa kawaida wamewauwa wamiliki wa nyumba ili wahodhi hiyo nyumba na mali nyengine za marehemu hao. Uislama utalii vina uhusianö gn na tukio hilo.? Badala kuwalaan wa husika mnawashambulia Wazanzibar wote plus na Iman yao!! Kwa chuki hz kunasiku mtawavamia kwa vifaru na ndege za kijeshi muwamalize wote.Au simuwambie kosa walio wafanyia km kuna uwezekano wawaombe RADHI.
Lakini km mauwaji ya wageni hakuna Watanzania waliouwa Uengereza Marekani Canada au hata Kenya ? Mbona hamkuzishambulia Nchi husika?
Utalii utakapokufa Zanzbar nyinyi mtafahaidika vipi. WACHENI UJINGA Kampen hizo angalau zingefanywa na KENYA tungewaelewa na si nyinyi kumbuken kwamba TRA na hapa wapo pia.
Acha ujinga wewe. Mna nini cha kuwachukia nyie? Unaongea utumbo na tunakujua hadi kwako.
Napendekeza itangazwe kimataifa kuwa zanzibar sio mahali salama kwa wageni
Si wapendi kabisa wa zanzibar na niheri wabaki ki vyao.Na yote haya yana tokana na kukosa elimu kwa wingi na hili ndio tatizo.Nimefanya utafiti na kuona hayo ktk watu mia wenye digrii ni 1,form 6 watano.madrasa 80.na wengi hawana kazi wala hawataki kujishughulisha.sasa kwa picha kama hiyo ina onyesha jamaa alifikiri atakapo waua hao.hakuto gundulika kira hisi.hivyo angechukua nyumba hiyo ndo mana kamweka mlinzi wake.
Ah wewe uliyekuja kujifunza kunawa mavi kwa maji huku pwani leo unaringa sana eeeeeh?
Si ulikuja na reli ya kati vile wakati ule ilipokuwa bado inafanya kazi? Sasa yakhe nyinyi muko mutakuja kutufanyia kazi kama vile kutulimia na kulinda nyumba zetu, ya nini dhiki?
Nafikiri umesahau kama suala la usalama wa raiya na mali zao pamoja na wageni wawe waislam na wakiristo na wadini nyingine na wasio na dini wanao kaa na wanaopita ktk Ardhi ya Jamhuri ya Mungano Wa Tanzania lipo mikononi mwa Wizara ya mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Mungano wa Tz sio suala la SMZ znz kipolisi ni kama Mara Arusha au Dsm . Hapa hapana suala la uislam wala ukiristo hapa pana suala la Uhalifu kama uhalifu unao endelea Tarime na sehemu zingine za Jamhuri yetu. Huo mtazamo wako wa kidini ni umaskini wako wa fikra na mitazamo na chuki binafsi kwa uislam na waznzr. Na kwa kawaida unaonekana hata madhebu za kikiristo ambazo sio madhehebu yako unazichukia.na unakoendea hada koo nyingine za kabila yako utazichukia.Mimi nadhani hapa hapahusiani na kumtetea allah-n mapigo.
Wala unaweza ikawa sio katika kutekeleza mafundisho ya dini ya haki yenye kuahidi wanawake sabini kama marupu rupu ukifa kazini.
Kwasababu wameua hadi kamboga ka ndugu zetu wahhehhe,hapa ni inaweza kuwa ni suala la mali tuu.
Zanziberi itakuwa salama kwa wageni wasilamu tuu kama mdau mmoja alivyosena hapo juu.
labda ndo utekelezaji wa ile sheria ya kutokuwauzia wasiokuwa wazanzibar ardhi!
matukio haya yanaweza kukomeshwa,lakini kwa sababu hawajui madhara yake kwa ka-nchi kao wanayalea,soon watajua madhara yake na kuchukua hatua.
:boink::boink::boink:
Zanzibar, the most dangerous place to be in EA.
.Kweli bora wakaishi MARA (Tarime,Bunda,Rorya)Mjinga wwZanzibar hapafai kuishi wakristu!
.Kwa sababu dhamana ya ulinzi na usalama wa Raiya upo chini ya WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA JAMHURI YA MUNGANO WA TZ. HATA WALIO MTESA ULIMBOKA NA KUBENEA HAWAJAKAMATWA. Au ww unaona damu ya Mfaransa inathani kubwa kuliko ya Muafrika anaeuwawa Tarime nasehemu nyingine za tz. Au huu uhalifu na mauwaji yanayotokea huku ubande mwingine wa muungano unayaona yanastahiki kutokea lakini kwa znz ndio haram? Au hujui hata Arusha mwaka jana yalitokea mauwaji na uporwaji wa watalii? Au Arusha wanaruhusiwa kuuwa na kunyanganya Watalii? Mm naamini haya ni matukio mabaya ambayo hayapendezi kwa kila mpenda amani lakini naamini sio tu yanatokea znz hata huku tanganyika yanatokea hata huko munako kusifia kwa kila kitu amerika na ulaya yanatokea tena zaidi ya haya au kote yanakofanyika yanafanywa na wznzr? Msiwe wepesi kushutumu nchi au jamii nzima kwa kosa la mjinga mmoja au kikundi kidogo tu.Kaka huwa najiuliza hili swali sana.hivi kwa ukubwa na populationa yao na vyombo vya ulinzi vilivyopo inakuwaje "raking" iwe ngumu!!!!!
What about where they pill human skins and kill poor albinos?
.Kwa sababu dhamana ya ulinzi na usalama wa Raiya upo chini ya WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA JAMHURI YA MUNGANO WA TZ. HATA WALIO MTESA ULIMBOKA NA KUBENEA HAWAJAKAMATWA. Au ww unaona damu ya Mfaransa inathani kubwa kuliko ya Muafrika anaeuwawa Tarime nasehemu nyingine za tz. Au huu uhalifu na mauwaji yanayotokea huku ubande mwingine wa muungano unayaona yanastahiki kutokea lakini kwa znz ndio haram? Au hujui hata Arusha mwaka jana yalitokea mauwaji na uporwaji wa watalii? Au Arusha wanaruhusiwa kuuwa na kunyanganya Watalii? Mm naamini haya ni matukio mabaya ambayo hayapendezi kwa kila mpenda amani lakini naamini sio tu yanatokea znz hata huku tanganyika yanatokea hata huko munako kusifia kwa kila kitu amerika na ulaya yanatokea tena zaidi ya haya au kote yanakofanyika yanafanywa na wznzr? Msiwe wepesi kushutumu nchi au jamii nzima kwa kosa la mjinga mmoja au kikundi kidogo tu.
Naongelea operational circumference na ratio ya raia kwa wanausalama (wote) sasa kama ni wizara mungano au zimbabwe na pemba hiyo kazi kwako unayeleta siasa!!!!!!
Nakuambia professionally hapo ni rahisi kuweka "web" much as hakuna uharamia!! Hata bara Dar es salaam ina mikoa mitatu ya kipolisi sababu ya intensity ya crime rate!!!!! Sasa una hoja au hutaki tu sababu ya uhafidhina?????!!!!
Kama una hoja twende kazi ila unipe sababu za comparison ya bara na visiwani in terms ratios!!!!