Snitchertz
Member
- Dec 15, 2014
- 26
- 13
Kuna tetesi za kiitelejensia zimedakwa sehemu,kuwa kwenye hii taasisi nyeti kuna uwekano wa kufukuzwa watu zaidi ya 100.Inasemekana watu hao walitenda kosa moja linalofanana la miaka mingi zaidi ya 5 iliopita.
Kulikuwa na master minder ndo aliyekuwa akicheza dili hilo.inasemakana hadi wenye vyeo vya juu wamo kwenye sakata hili. Tutakuja na List pale chanzo chetu kitakapokamilisha ushahidi.
Na cha kushangaza zaidi ina maana miaka yote hiyo uongozi ulikuwa wapi kutambua hili mpaka lime affect watu wengi. Ina maana system nzima imeoza.....
Wana Jamvi mwenye details zaidi hebu tusasambue....