Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Aseee nilijua mm tuu ndio nna gundu Na hawa jamaa PPF,........PPF eeeh mtulipe bhana mafao yetuu mnazinguaaaa
Ni lazimaHivi kujiunga ni lazima kwa kila mfanyakazi au ni hiali yako????????
Watu wengi wakiambiwa tubadilishe chama oh wanakuja juu, tupigie chama gani? Wapinzani bado sisiem ndiyo inastahili mambo mengi. Bla bla kila kona.Yaani hao wote NSSF yale yale . Bado nalia na CCM ndugu zangu nimefanya kazi na miaka 30 nikaacha nifanye mambo yangu jamaa wamekatilia pesa yangu , wakati walikuwa wanakata kila mwezi leo hii hamtaki kunipa pesa yangu kisa ilani ya ccm, ipo siku maombi yangu yatajibu.
Mh baba yangu na mshahara wake wa ualimu anawadai toka 2014 alipostaafu mpaka leo wanampiga chenga. Inafikia hatua mtoto ukiona baba anapiga simu badala ya kifurahia unawaza sijui leo ntaambiwa nyumbani kuna shida gani. Mungu kama ananisikia awaadhibi wale vijana nadhani wanajijua. Yaani mzee kadunduliza vihela vyake mpaka kastaaafu mnaomba rushwa. Mh mungu anawaona endeleeni tu na ppf.M PIA NAWASHAURI MSIENDE PPF...NI WEZI WAKUBWA...TENA WAMELAANIWA KWA WIZI....MIMI KUNA NDUGU YANGU ALIFARIKI ANA MILLION 11 ...WAMETUPA MILLION 4.7...HELA NYINGINE HAZIJULIKANI ZIPO WAPI...UKIWAULIZA NYIE NI PROFIT AU NON PROFIT ORG...WANATOA MAJIBU YASIYOELEWEKA.......KAMA UNATAKA KUFA MAPEMA UKISTAAFU JIUNGE PPF
Aisee itabidi nimpeleke mzee wangu huko. Maana naona watoto wa mjini wanataka kuleta shida hapaHii mifuko yote ya jamii ipo chini ya mamlaka inayojulikana kama NATIONAL SOCIAL SECURITY REGULATIONS AUTHORITY. Na hii mamlaka inafanya kazi kwa mujibu wa shirika la kazi duniani International Labor Organization.
Kifupi mifuko yote ya jamii taratibu zao zote ni sawa, hakuna ambaye anajiamulia, wote ni Centralization System. Ukiona hutendewi haki nenda N.S.S.R.A. vinginevyo huwezi pata muafaka hapa.
NSSF, LAPF, GEPF. Mifuko iko mingi kaka...
Hao PPF mi nawaona wasengge tu.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Hivi kujiunga ni lazima kwa kila mfanyakazi au ni hiali yako????????
Ni mashetani, mbwa, makahaba na majambazi namba moja Tanzania.NSSF kidogo.. Nasikia ukianza kufatilia pesa zako ukafungua madai fasta unapata mzigo wako.
PPF wasenge sana. Ni wasenge kweli kweli
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
DuhNSSF kidogo.. Nasikia ukianza kufatilia pesa zako ukafungua madai fasta unapata mzigo wako.
PPF wasenge sana. Ni wasenge kweli kweli
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
mkuu NSSF wanatoa bhn..we mkataba ukiisha unakaa miez sita ,unapeleka maombi ya kujitoa, baada ya mwez unapata cheque yko ya helq mkuuKuna jamaa leo tulikuwa tunabishana nao kazini kwamba eti NSSF wanatoa fao la kujitoa,nikawaambia hicho kitu hakuna lakini bado wakashikiria msimamo wao,Nikajua hawa bado hata Jamiiforums hawajui kazi kushinda fb tu,Ngoja ifike siku watakuja kufa kwa pressure make mkataba wetu bado miezi minne tu
Mkuu kwani utaratibu kabla ya hapo ulikuwaje humu kuna thread kibao zinzowahusu NSSF zote nifao la kujitoamkuu NSSF wanatoa bhn..we mkataba ukiisha unakaa miez sita ,unapeleka maombi ya kujitoa, baada ya mwez unapata cheque yko ya helq mkuu