Wafanyakazi wapya iogopeni PPF Kama kifo

Wafanyakazi wapya iogopeni PPF Kama kifo

GE
GEPF hawana shida na mtu wanakupa chako mapema.Wasumbufu ni PPF na NSSF.LAPF na PSPS cjui mambo yao

Lapf unachukua chako mapema ntakutumia kifungu cha sheria walichinacho kina husu fao la kujitoa wao ipo kisheria kabisa ukiacha kaz wiki unavuta chako
 
Mkuu kwani utaratibu kabla ya hapo ulikuwaje humu kuna thread kibao zinzowahusu NSSF zote nifao la kujitoa
mkuu hiko kitu kipo na watu wanachukua ela baada ya ajira/mkataba kuisha .hii kitu nimeiona NSSF KIDATU morogoro huko mkuu,kuna baadh ya vijana wamefikia ukomo wa ajira, wamechukua ela..bt sikuamin jamaa walinioneshea na cheque kbsa ila tu PPF ndo bdo wanamsimamo huu wa mpk miaka 50
 
Mmmhh Mimi pia ni victim.... Ila ndo ivoo sina jinsi
 
mkuu hiko kitu kipo na watu wanachukua ela baada ya ajira/mkataba kuisha .hii kitu nimeiona NSSF KIDATU morogoro huko mkuu,kuna baadh ya vijana wamefikia ukomo wa ajira, wamechukua ela..bt sikuamin jamaa walinioneshea na cheque kbsa ila tu PPF ndo bdo wanamsimamo huu wa mpk miaka 50
Ahsante mkuu nimekupata
 
mkuu NSSF wanatoa bhn..we mkataba ukiisha unakaa miez sita ,unapeleka maombi ya kujitoa, baada ya mwez unapata cheque yko ya helq mkuu
Hivi we umeshughulikia process za NSSF au unabisha tuu??

Kwa taarifa yako ikifika hiyo miezi sita ni unazungushwa tena kama mwendawazimu vile hupewi chochote!
 
Hivi we umeshughulikia process za NSSF au unabisha tuu??

Kwa taarifa yako ikifika hiyo miezi sita ni unazungushwa tena kama mwendawazimu vile hupewi chochote!
pole sana bt km nilivosema ktk post ya awal,ni juz tu nilikuwa morogoro kuna branch ya NSSF KIDATU inalipa iyo fao la kujitoa kwa wafanyakaz wa season waliomaliza mikataba yao. sasa ndo mana nakwambia ela wanatoa. ..PPF tu ndo wazungushaji sana.
 
Bado wanaranda randa kwenye makampuni na kuwarubuni wafanyakazi wapya wajiunge na mfuko wao ilihali wakijua kuwa wameacha kutoa fao la kujitoa hata Kwa wafanyakazi wenye ajira fupi.

Nawaasa wote mtakaosoma hapa muwaambie na wenzenu ambao hawatasoma hapa ni kiasi gani PPF ilivyo hatari.

Mimi hadi leo sh 10,000,000 zangu wamenidhulumu bila huruma, huu ni ukatili wa hali ya juu kabisa.

Mifuko ya jamii ipo mingi Sana, iogopeni PPF jamani.

Soma hapa umwambie na mwenzako.
kabisa kabisa. weka PPF mbali kabisa na watoto!
 
Hao PPF n wakuogopwa kabisaaa hawafai hata kidogo.. Kuna jamaa amefanya kaz kwny kampun binafsi kama miaka mitano hiv akaamua kufuatilia mafao yake na kukuta 54.700 tu (Elfu hamsin na nne na mia saba tu)
 
Time will tell, mtawambia hatukuchagui kwa sababu ya PPF,vinginevyo hama chama .
 
Hiyo nikwel kabisa mm kuna Dada 1hv wa mbezi beach dar,nae amelizwa stahiki zake,yani magufur akitumbua tu hana makosa mana upigaji kila kona nisheeeda
 
Bado wanaranda randa kwenye makampuni na kuwarubuni wafanyakazi wapya wajiunge na mfuko wao ilihali wakijua kuwa wameacha kutoa fao la kujitoa hata Kwa wafanyakazi wenye ajira fupi.

Nawaasa wote mtakaosoma hapa muwaambie na wenzenu ambao hawatasoma hapa ni kiasi gani PPF ilivyo hatari.

Mimi hadi leo sh 10,000,000 zangu wamenidhulumu bila huruma, huu ni ukatili wa hali ya juu kabisa.

Mifuko ya jamii ipo mingi Sana, iogopeni PPF jamani.

Soma hapa umwambie na mwenzako.
Mfuko wa PPF ni mfuko mbovu kuliko mifuko yote. Kuweka michango yako mule ni sawa na kuweka pesa kwenye mfuko uliotoboka. Mfuko haulipi wastaafu mafao yao kwa wakati. Wako bize kujenga magorofa kwa kuwa wanajua kuwa kule ndiko wanakopatia 10percent...
Aidha, mfuko wa NSSF is the best fund in East Africa. Sema wabongo tulivyo na kasumba, walimfanyia figisu figisu Dk Dau, wakamng'oa kwa fitina... Sasa sijui kama NSSF itaweza ku maintain standards za Dr Dau...
 
I wish ingekua ni hiari ya mtu kujiunga ama kutojiunga. I am sure asilimia kubwa wasingejiunga
 
Sheria za kimataifa zinataka mifuko iwe na option mbili, kuwa na fao la kujitoa au kama Huna fao la kujitoa uwe na amount ya pesa ambayo utakuwa unamlipa muhusika mpaka atakapo pata ajira mpya
Sasa kwa tz wana taka kukunyang'anya pesa zako uku ukiona
 
Jamani humu NSSF si mpo JF tunaomba mtuambie Je fao la kujitoa lipo au halipo tunaomba mje hapa
 
Baada ya kuona ujinga huo unaoasisiwa na serikali na vyama vya wafanyakazi kuwa kimya .,nkaamua kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi fastaa.
Spendagi ujinga mm.ndugu watanzania huu ni wizi kama ulivyo wizi mwingine na ni unyan`ganyi kama ulivyo unyang`anyi wa kutumia silaha.Tuamkeni ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom