Wafanyakazi wapya iogopeni PPF Kama kifo

Wafanyakazi wapya iogopeni PPF Kama kifo

Yaan ppf.siwakubali na siwezi jiunga huu mfuko
 
mifuko yote imekuwa chanzo cha pesa ya serikali ya CCM kwaiyo hakuna mfuko ambao una unafuu yote inatukamua ili serikali ipate pato , uanze kazi miaka 27 usubili miaka 55-60 ndio ulipwe hapa ni kuibiwa waziwazi na hawa CCM
 
Bado wanaranda randa kwenye makampuni na kuwarubuni wafanyakazi wapya wajiunge na mfuko wao ilihali wakijua kuwa wameacha kutoa fao la kujitoa hata Kwa wafanyakazi wenye ajira fupi.

Nawaasa wote mtakaosoma hapa muwaambie na wenzenu ambao hawatasoma hapa ni kiasi gani PPF ilivyo hatari.

Mimi hadi leo sh 10,000,000 zangu wamenidhulumu bila huruma, huu ni ukatili wa hali ya juu kabisa.

Mifuko ya jamii ipo mingi Sana, iogopeni PPF jamani.

Soma hapa umwambie na mwenzako.
Kaka uko wapi namm nimezulumiwa kama ww sijui ndio kuishi kama mashetani
 
Back
Top Bottom