WAFANYAKAZI & WANACHUO UDOM WADHALILISHWA VIBAYA NA UONGOZI.
Katika hali isiyo ya kawaida hatimaye Wafanyakaz na Wanafunz wa UDOM Wamedhalilishwa Vibaya na Uongoz wa Chuo kwa Shinikizo la CCM, eti Kuzima Siasa Chuoni hapo. Udhalilishaj huu unathibitishwa na Tangazo la kurudi Chuoni kwa Wanachuo wa Mwaka wa Pili na Watatu pamoja na Wanafunzi wapya wa Mwaka wa Kwanza 2011/2012, linalopatikana web.ya Chuo The University Of Dodoma ambapo linaelekeza kuwa
15&16/10/2011
Wanafunz wa Mwaka wa Kwanza wataripot Chuo, na kabla ya kufika Chuoni watatakiwa kujisajil Jamhuri Stadium Mjin Dodoma na ndipo waende Chuo. Vivyo hivyo Second Year na Third Year watatakiwa pia kujisajil Jamhur Stadium kuanzia
20-23/10/2011.
Hivyo usajil wa wanafunz UDOM utakaoendeshwa na wafanyakaz uwanjan hapo ni udhalilishaj kwa watumish kupigwa jua pamoja na wanafunzi. Hali hii itasababisha wiz wa mizigo ya wanafunz na upotevu wa vitu vingine vingi. Uwanja utabadilishwa matumiz badala ya kutumika kimichezo kwa siku zote hizo za usajil. Kama ishu ni kutumia uwanja hata Chuon vipo viwanja vya kutosha. Hvyo nahoji kwamba kama kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwa Chuo usajil hufanyikia Daima Chuon kwa nini hiv sasa usifanyikie Chuoni? Hivi kwa nini watumish na Wanafunzi UDOM wanadhalilishwa kias hiki? Mko wapi Wahadhiri na Watumishi wengine UDOM mnaokubali kudharauliwa hiv? kwa nini UDOM ionekane Chukizo la Uharibifu? Je,mnafikiri kuwa hii ni dawa ya Migomo. sasa mmeshindwa vibaya na Prof. Kikula hafai maana ni mtu wa kufuata Upepo wa CCM badala ya kutumia Elimu kutafuta Ufumbuz wa Matatizo.
Safi kabisa, nimefurahi kweli tena naomba mungu wadhalilishwe zaidi ili akili ziwarudi wapuuzi sana hawa; si ndio hawa walimchangia vasco da gama wakati anachukua fomu ya kugombea uraisi, safi sana.....
Chuo bado ni cha kata ndo maana hakijiamini. Hata viongozi wa chuo wamewekwa kimagumashi, kichama.
Udom ni academic ageny ya CCM sio Chuo kikuu, wahadhiri waliopo hawana proffessional freedom kama academicians.ni jukumu lao wenyewe(wahadhiri)kujitambua kama wanataaluma ili wasiburuzwe kisiasa.VC wa pale ni kama mungu mtu analindwa na system vibaya mno
acha unafiki wewe unajua maana ya kudhalilishwa? Au unalopoka 2?
Usajiri wa wanafunzi jamuhuri na ccm vinahusiana vipi?
By daway huwa wanaweka maturubai mbona
hujui unachoongelea kiundani hata kukuelezea napata shida ndo tabu ya umbumbumbu
Hivi majitu majingamajinga kama hili yanatokea wapi? hv hili jamaa haliwezi kuona kuwa wanafanzi ni wengi hvo hakuna nafasi ya kuweza kuwacomodate palke chuo? wanafanzi kufanyiwa usajili jamhuri inawasaidia nini ccm au inasaidiaje ccm? acheni ugando wa fikra wajinga nyie!!!!
acha unafiki wewe unajua maana ya kudhalilishwa? Au unalopoka 2?
Usajiri wa wanafunzi jamuhuri na ccm vinahusiana vipi?
By daway huwa wanaweka maturubai mbona
hujui unachoongelea kiundani hata kukuelezea napata shida ndo tabu ya umbumbumbu
wewe acha kuvurugia wenzako perdiem...wanaposajiliwa pale jamhuri,walimu wanapata posho nzuri kuliko usajili wa chuoni..we huko ndio unaona kudhalilishwa wakati wenzako wanagombea hiyo nafasi tu ya kwenda hapo...alaaaWAFANYAKAZI & WANACHUO UDOM WADHALILISHWA VIBAYA NA UONGOZI.
Katika hali isiyo ya kawaida hatimaye Wafanyakaz na Wanafunz wa UDOM Wamedhalilishwa Vibaya na Uongoz wa Chuo kwa Shinikizo la CCM, eti Kuzima Siasa Chuoni hapo. Udhalilishaj huu unathibitishwa na Tangazo la kurudi Chuoni kwa Wanachuo wa Mwaka wa Pili na Watatu pamoja na Wanafunzi wapya wa Mwaka wa Kwanza 2011/2012, linalopatikana web.ya Chuo The University Of Dodoma ambapo linaelekeza kuwa
15&16/10/2011
Wanafunz wa Mwaka wa Kwanza wataripot Chuo, na kabla ya kufika Chuoni watatakiwa kujisajil Jamhuri Stadium Mjin Dodoma na ndipo waende Chuo. Vivyo hivyo Second Year na Third Year watatakiwa pia kujisajil Jamhur Stadium kuanzia
20-23/10/2011.
Hivyo usajil wa wanafunz UDOM utakaoendeshwa na wafanyakaz uwanjan hapo ni udhalilishaj kwa watumish kupigwa jua pamoja na wanafunzi. Hali hii itasababisha wiz wa mizigo ya wanafunz na upotevu wa vitu vingine vingi. Uwanja utabadilishwa matumiz badala ya kutumika kimichezo kwa siku zote hizo za usajil. Kama ishu ni kutumia uwanja hata Chuon vipo viwanja vya kutosha. Hvyo nahoji kwamba kama kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwa Chuo usajil hufanyikia Daima Chuon kwa nini hiv sasa usifanyikie Chuoni? Hivi kwa nini watumish na Wanafunzi UDOM wanadhalilishwa kias hiki? Mko wapi Wahadhiri na Watumishi wengine UDOM mnaokubali kudharauliwa hiv? kwa nini UDOM ionekane Chukizo la Uharibifu? Je,mnafikiri kuwa hii ni dawa ya Migomo. sasa mmeshindwa vibaya na Prof. Kikula hafai maana ni mtu wa kufuata Upepo wa CCM badala ya kutumia Elimu kutafuta Ufumbuz wa Matatizo.
Uwanja wa jamhur ni wa ccm na ccm ilitegemea wanafunz weng wangekuwa wanachama wake lakin kibao kimewageuka na sasa wameanza kutumia viongoz mabwege kama DVC kudhalilisha waliochin yao.nina mashaka pia wewe kama unauwezo wa kudai haki zako na waswas wangu zaid ni kwamba elimu ya juu kitendawil kwako maana msomi yeyote dunian ni mtu wa hoja na mtazamo wa kiharakat za ukomboz wa hak za weng.kwel wewe ni ***** na bado hujapata brain revolution.return back to join global liberalists including tz