Wafanyakazi & wanafunzi udom wadhalilishwa vibaya na uongozi kwa shinikizo la CCM

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
Hivi majitu majingamajinga kama hili yanatokea wapi? hv hili jamaa haliwezi kuona kuwa wanafanzi ni wengi hvo hakuna nafasi ya kuweza kuwacomodate palke chuo? wanafanzi kufanyiwa usajili jamhuri inawasaidia nini ccm au inasaidiaje ccm? acheni ugando wa fikra wajinga nyie!!!!

kwanini wasifanye registration kwa kila college ili kurahisha zoezi?.
Ndan ya college wanatenga kwe departments, itasaidia zaidi.
 
talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,964
2,000
jamani munaniumiza mtima mnapokiponda chuo cha udom kiasi hcho,hebu jaribuni kuyadisplay na mazur yake bas au ndo kina mabaya tu?!
 
COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,009
1,225
Hivi majitu majingamajinga kama hili yanatokea wapi? hv hili jamaa haliwezi kuona kuwa wanafanzi ni wengi hvo hakuna nafasi ya kuweza kuwacomodate palke chuo? wanafanzi kufanyiwa usajili jamhuri inawasaidia nini ccm au inasaidiaje ccm? acheni ugando wa fikra wajinga nyie!!!!
we ndo mjinga,miundo mbinu ya kuwa accomodate ipo ya kutosha...inaonekana hujawahi kufika udom chuo cha magamba tupu
 
Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,613
2,000
dah!kumbe?kwan vitabu vnavo2mika udsm,sua,iaa,mzumbe na ifm vko tofaut na vnavo2mika udom??

vitendea kazi vnaweza kuwa sawa,tatizo ni jinsi ya kuvitumia! Kwani sua,udsm,mzumbe n.k si kuna maprof.kama Kikula?? Mbona hawana maamuzi ya kudhalilisha taaluma zao kama yeye! Sito kubali mwanangu awe mwanasiasa kamwe!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom