Wafanyakazi & wanafunzi udom wadhalilishwa vibaya na uongozi kwa shinikizo la CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi & wanafunzi udom wadhalilishwa vibaya na uongozi kwa shinikizo la CCM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SMG, Oct 3, 2011.

 1. S

  SMG Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAFANYAKAZI & WANACHUO UDOM WADHALILISHWA VIBAYA NA UONGOZI.

  Katika hali isiyo ya kawaida hatimaye Wafanyakaz na Wanafunz wa UDOM Wamedhalilishwa Vibaya na Uongoz wa Chuo kwa Shinikizo la CCM, eti Kuzima Siasa Chuoni hapo. Udhalilishaj huu unathibitishwa na Tangazo la kurudi Chuoni kwa Wanachuo wa Mwaka wa Pili na Watatu pamoja na Wanafunzi wapya wa Mwaka wa Kwanza 2011/2012, linalopatikana web.ya Chuo www.udom.ac.tz ambapo linaelekeza kuwa
  15&16/10/2011
  Wanafunz wa Mwaka wa Kwanza wataripot Chuo, na kabla ya kufika Chuoni watatakiwa kujisajil Jamhuri Stadium Mjin Dodoma na ndipo waende Chuo. Vivyo hivyo Second Year na Third Year watatakiwa pia kujisajil Jamhur Stadium kuanzia
  20-23/10/2011.
  Hivyo usajil wa wanafunz UDOM utakaoendeshwa na wafanyakaz uwanjan hapo ni udhalilishaj kwa watumish kupigwa jua pamoja na wanafunzi. Hali hii itasababisha wiz wa mizigo ya wanafunz na upotevu wa vitu vingine vingi. Uwanja utabadilishwa matumiz badala ya kutumika kimichezo kwa siku zote hizo za usajil. Kama ishu ni kutumia uwanja hata Chuon vipo viwanja vya kutosha. Hvyo nahoji kwamba kama kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwa Chuo usajil hufanyikia Daima Chuon kwa nini hiv sasa usifanyikie Chuoni? Hivi kwa nini watumish na Wanafunzi UDOM wanadhalilishwa kias hiki? Mko wapi Wahadhiri na Watumishi wengine UDOM mnaokubali kudharauliwa hiv? kwa nini UDOM ionekane Chukizo la Uharibifu? Je,mnafikiri kuwa hii ni dawa ya Migomo. sasa mmeshindwa vibaya na Prof. Kikula hafai maana ni mtu wa kufuata Upepo wa CCM badala ya kutumia Elimu kutafuta Ufumbuz wa Matatizo.
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha unafiki wewe unajua maana ya kudhalilishwa? Au unalopoka 2?
  Usajiri wa wanafunzi jamuhuri na ccm vinahusiana vipi?
  By daway huwa wanaweka maturubai mbona
  hujui unachoongelea kiundani hata kukuelezea napata shida ndo tabu ya umbumbumbu
   
 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  hata me nililiona hilo tangazo,nikajuliza haya maamuzi yanatolewa na professors au kuna external forces!!!!!!!!!! anyway tuwaachie hiyo udom yao aka university of ccm magambaz!!!!!
   
 4. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,367
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Safi kabisa, nimefurahi kweli tena naomba mungu wadhalilishwe zaidi ili akili ziwarudi wapuuzi sana hawa; si ndio hawa walimchangia vasco da gama wakati anachukua fomu ya kugombea uraisi, safi sana.....
   
 5. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Chuo bado ni cha kata ndo maana hakijiamini. Hata viongozi wa chuo wamewekwa kimagumashi, kichama.
   
 6. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udom ni academic ageny ya CCM sio Chuo kikuu, wahadhiri waliopo hawana proffessional freedom kama academicians.ni jukumu lao wenyewe(wahadhiri)kujitambua kama wanataaluma ili wasiburuzwe kisiasa.VC wa pale ni kama mungu mtu analindwa na system vibaya mno
   
 7. b

  bid2015 JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi majitu majingamajinga kama hili yanatokea wapi? hv hili jamaa haliwezi kuona kuwa wanafanzi ni wengi hvo hakuna nafasi ya kuweza kuwacomodate palke chuo? wanafanzi kufanyiwa usajili jamhuri inawasaidia nini ccm au inasaidiaje ccm? acheni ugando wa fikra wajinga nyie!!!!
   
 8. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hv UDOOM ndio kinaitwaga chuo cha kata?
   
 9. soine

  soine JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Mtoa mada sio mjinga hata kidogo. Udom ina ukubwa wa eka 6000 na ktk kila College kuna viwanja vya michezo ambavyo vitatosheleza kwa zoezi la usajili. Nafikiri utawala umeshindwa kuweka mikakati na mipango makini kwani kuweka usajili ufanyike jamhuri sio jambo la busara hata kidogo-maana itasababisha usumbufu kwa wanafunzi na wafanyakazi. I think ni njia mojawapo tu ya kutafuta kula hakuna jingine. Migomo haitatuliwi kwa namna hiyo- labda wamtafute Prof. Mkandala anaweza kuwapa piece of advice ingawa hata hajafanikiwa kwa asilimia 100% ktk suala zima la kutatua migomo.

  Tusiwe malimbukeni kuwa mashibiki na wanazi mambo na hoja zisizo na tija!!!!!!
   
 10. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe hata chuo umefika?
   
 11. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasaivi tutakuwa tunawatukana inbox
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  UDOM ni chui kikuu; tatizo staff memebers wamejisahahu na kudhani wamewekwa na CCM. Cha msingi wa inabidi wajitambue na kujitenga na siasa, ni hatari kwa academic institution kuwa hivyo!!
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  napitapita tu wakuu. ntarudi baadae
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Uwanja ni wa ccm, kwahiyo Prof. Kikula ameamua kuwachangia ccm kwa kufanyia usaili kwenye uwanja wao.

  Uchaguzi wa igunga umekula pesa nyingi kwahiyo lazima ccm watafute namna ya kurudisha, na hapa wanamtumia agent wao kikula.
   
 15. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Tatizo ya serekaliyetu kilakitu lazima na siasa iwe sehemu ya , tunasafari ndefu sana kupata democrasia ya kweli
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Dah!ikipita cku bila kuona thread inayohusu udom humu jf,hyo haitaitwa cku..mambo mengne c yawe yanapotezewa 2 wajameni.
   
 17. S

  SMG Member

  #17
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina uhakika hujui unachochangia.jifunze kujenga hoja.kama miaka yote usajil hufanyika chuoni mwaka huu ishindikane na hal mwaka wa kwanza ni wachache! kama suala la maeneo udom ina eneo kubwa na kuna viwanja vya mpira 4. chamsing tujadil kuhusu kuburuzwa kwa uongoz na ccm
   
 18. S

  SMG Member

  #18
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwanja wa jamhur ni wa ccm na ccm ilitegemea wanafunz weng wangekuwa wanachama wake lakin kibao kimewageuka na sasa wameanza kutumia viongoz mabwege kama DVC kudhalilisha waliochin yao.nina mashaka pia wewe kama unauwezo wa kudai haki zako na waswas wangu zaid ni kwamba elimu ya juu kitendawil kwako maana msomi yeyote dunian ni mtu wa hoja na mtazamo wa kiharakat za ukomboz wa hak za weng.kwel wewe ni ***** na bado hujapata brain revolution.return back to join global liberalists including tz
   
 19. T

  The Priest JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  wewe acha kuvurugia wenzako perdiem...wanaposajiliwa pale jamhuri,walimu wanapata posho nzuri kuliko usajili wa chuoni..we huko ndio unaona kudhalilishwa wakati wenzako wanagombea hiyo nafasi tu ya kwenda hapo...alaaa
   
 20. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe ni pimbi nini? kupinga kila kitu ndio mawazo ya kiharakati? acha kuwa na akiri mgando wewe ndo mana nakuambia hujui unaloongea kiufupi bodi ya mikopo nw wamebadil system lazima wanafunzi wafanye registration ndo mkopo uingie lengo la kuwapeleka jamuhuri ni kwamba ili kurahisisha ilo zoezi wote kwa pamoja ndio maana wamepangwa ki miaka ukishajisajili unaandika na akount namba papo kwa papo kwa chuo waksema ki college zoezi linakuwa si rahisi na pia majina wanaleta kwa ujumla bodi ki miaka sasa unataka wachane paper?
   
Loading...