WAFANYAKAZI & WANACHUO UDOM WADHALILISHWA VIBAYA NA UONGOZI.
Katika hali isiyo ya kawaida hatimaye Wafanyakaz na Wanafunz wa UDOM Wamedhalilishwa Vibaya na Uongoz wa Chuo kwa Shinikizo la CCM, eti Kuzima Siasa Chuoni hapo. Udhalilishaj huu unathibitishwa na Tangazo la kurudi Chuoni kwa Wanachuo wa Mwaka wa Pili na Watatu pamoja na Wanafunzi wapya wa Mwaka wa Kwanza 2011/2012, linalopatikana web.ya Chuo www.udom.ac.tz ambapo linaelekeza kuwa
15&16/10/2011
Wanafunz wa Mwaka wa Kwanza wataripot Chuo, na kabla ya kufika Chuoni watatakiwa kujisajil Jamhuri Stadium Mjin Dodoma na ndipo waende Chuo. Vivyo hivyo Second Year na Third Year watatakiwa pia kujisajil Jamhur Stadium kuanzia
20-23/10/2011.
Hivyo usajil wa wanafunz UDOM utakaoendeshwa na wafanyakaz uwanjan hapo ni udhalilishaj kwa watumish kupigwa jua pamoja na wanafunzi. Hali hii itasababisha wiz wa mizigo ya wanafunz na upotevu wa vitu vingine vingi. Uwanja utabadilishwa matumiz badala ya kutumika kimichezo kwa siku zote hizo za usajil. Kama ishu ni kutumia uwanja hata Chuon vipo viwanja vya kutosha. Hvyo nahoji kwamba kama kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwa Chuo usajil hufanyikia Daima Chuon kwa nini hiv sasa usifanyikie Chuoni? Hivi kwa nini watumish na Wanafunzi UDOM wanadhalilishwa kias hiki? Mko wapi Wahadhiri na Watumishi wengine UDOM mnaokubali kudharauliwa hiv? kwa nini UDOM ionekane Chukizo la Uharibifu? Je,mnafikiri kuwa hii ni dawa ya Migomo. sasa mmeshindwa vibaya na Prof. Kikula hafai maana ni mtu wa kufuata Upepo wa CCM badala ya kutumia Elimu kutafuta Ufumbuz wa Matatizo.