Hawa wafanyakazi wanawasumbua sanaYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Ahahha ase hii mbaya sanaMtaumizana.Unadhani watakusubiri kiboya tu?
Af ana kwambia mshahara ukitoka una toka mshahara una sema ngoja nisi msumbue astuke mwenyewe wala hastuki kabisaHawa wafanyakazi wanawasumbua sana
Ushahidi wakati ulimuamini mwenyewe?Kuwa mpole akulipe dusuradusura tu.Hakukuibia.Sure ilo nina ushahidi
Ila sasa mm pesa na shida nayo sana siipatiUshahidi wakati ulimuamini mwenyewe?Kuwa mpole akulipe dusuradusura tu.Hakukuibia.
Acha kabisa wana nisubirishaWaajiriwa wa serikalini wamepita na mashuka ya mtoa mada, hawajali kama mtaji ni wa kuungaunga
Subiri kidogo kuna michongo wanaisikilizia.Ila sasa mm pesa na shida nayo sana siipati
Ipi iyoSubiri kidogo kuna michongo wanaisikilizia.
Sio kuipata tu kwa wakati mkuu, ni vita vinainuka kabisa unapomdai.Shida unapo kuwa na shida na pesa yako hauipati kwa wakati kabisa
Mna kwazaYaani? Sema ndo hivyo Sina pesa!
Nikabebe gari lakenjia pekee ya kupata pesa yako ni kwa wewe kuwa na kitu cha mhusika
Ipi iyo
Wapate mikopo umiza ili wakulipe mkopo wako.Bandika bandua.Ipi iyo
Uyo ulimchekea una mpa jibu akikuona akuogopeSio kuipata tu kwa wakati mkuu, ni vita vinainuka kabisa unapomdai.
Mi nikawa namdai mdeni wangu fulani hivi.
Baadaye akaniuliza unatokea wapi?
Me: Mbeya.
Yeye: Nawe ni M.......(kabila)
Mi: Ndiyo.
Yeye: Hufananii yaani, kumbe ni M......., Wa.....hawapo hivo mbona.
Mi nikajua ni kijembe tu kisa namdai pesa yangu nikaishia toa tabasamu la uchungu.
Kidogo tu nimwambie sikufundwa miiko ya kabila letu kuishi na watu wa aina yenu.
Siku hizi hata kusaidia watu mmmh! Sidhani kama nitakuwa na hii tabia kwa kiwango kilekile.
Binadamu sisi mkuu ππ, kurudishana nyuma ni kwingi yaani.
Dah jau sana hiiWapate mikopo umiza ili wakulipe mkopo wako.Bandika bandua.
Tunakuwa na mikopo kwenye mabenki,tuvumilie tuu!Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa