Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Sasa hii inatoa picha gani? kwamba ni vifurushi tu vinavyotoka ng'ambo ambavyo vinashawishi wafanyakazi wa posta kuwa wadokozi?
KB hapa ndipo ninapopingana na wengi, sio lazima kama kiparcel chako kimetoka ulaya kikipotea basi kiwe kimepotelea Posta za nyumbani, kinaweza kikapotelea posta za hukohuko Ulaya au US ulipo, kuna uwezekano pia kikapotelea mikononi mwa shirika la ndege, kama unatumia address ya jirani House boy wake anaweza akapiga bao vilevile and of course huko Posta nako sio kila mwajiriwa ni muaminifu 100%, mianya ya kifurushi au barua yako kupotea iko mingi kwenye hiyo chain.