Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

Bottom line is morali wa watumishi wa shirika la posta uko chini mno huku hatma ya shirika hilo ikiwa haijulikani vizuri.Yayumkinika kuhisi kuwa kuna wajanja wanalipigia mahesabu ya "kulibinafsisha"
 
muzee mbona unaandika uongo ambao wewe mwenyewe unaelewa ni uongo.
Kuhusu mizigo mingi inapotelea hapo hapo tanzania bada ya kufungua hilo bag la posta, sasa ukizungumzia bag la posta kupotea ni kitu kikubwa, hata usa au uk na nchi zingine kutokea hilo ni vigumu, bali kupotea kwa item, kabla ya kuwekwa katika bag. hilo lina weza kutokea usa au uk etc, lakini wenzetu wana taratibu ya kuandika vitu vinavyo wekwa katika bag, hivyo ni rahisi kugundua kitu kiliondoka au la. kuhusu kwenda sehemu tofauti linaweza kutokea lakini mwisho wa siku kitu kitarekebishwa na kwenda ilipotakiwa kwenda.na nafikiri si kitu kunacho ongelewa hapa.
kitu kinacho ongelewa hapa ni kupotea kwa item, sio bag, kwa sababu mimi kama mtu moja ninapo tuma kitu na tuma kama item na sio bag ambalo litajumuisha barua au vitu mbali mbali toka kwa watu mbali mbali.
nafikiri utakuwa umenielewa na wadau wengine wameelewa. kwamba kinachoongelea hapa ni item ambayo mtu binafsi anatuma kwa nduguye au rafiki na si bag, la posta ambalo lina-contain vitu mbali mbali, sasa wizi unaweza tokea kabla ya kufunga hilo bag au baada ya kufungua hilo bag kwenda stage nyingine.

Naendelea kusisitiza kwamba hiyo item yako inaweza kuibiwa/kupotea hukoko unakoipostia kabla hata haijaingizwa kwenye bag, kwanini wengi wenu mna jump kwenye conclusion tu kuwa kama kun a upotevu/wizi basi utakuwa umetokea Bongo bila hata ya kufanya uchunguzi? Si umesoma hiyo article ya huyo muingereza niliyobandika hapo?
Nashukuru pia kwamba unaelewa kuwa bag zima la barua linaweza potea, kama item yako ipo ndani nayo itakuwa imepotea! One of my job was to deal with these kind of queries and most of the time unagundua kwamba Parcels nyingi hazikuwahi hata kufika Bongo. Sikatai kuwa huu wizi upo kila mahali duniani lakini kwa nyumbani scale yake ni ndogo sana, can you imagine mtu mmoja tu aibe barua na parcel 130,000 kama huyo mzungu?
 
Kkn solution ni kuomba serikali kuwaongezea hawa watu mishahara else wataendelea kutubibia mpaka tukome
 
Serikali inafanya nini kuhusu wizi katika posta nchini Tanzania? Hata barua za kawaida zinaibiwa na kufunguliwa na wafanyakazi wa posta.

Nimewaandikia ndugu zangu mara nyingi na, kila mmoja wao, wamesema barua pamoja na picha nilizowatumia hazikuwafikia. Na wote wameniambia nisithubutu kuwatumia kitu chochote kupitia posta nchini Tanzania. Na mmoja wao amesema wananchi wengi wanasema itakuwa ni vizuri posta zikifungwa kwa sababu ya wizi huo ambao unaendelea kwa kasi.

Malalamiko hayo yanatoka sehemu zote za Tanzania. Ndugu zangu niliowaandikia wanaishi sehemu mbali mbali - Dar es Salaam, Mtwara, Iringa, Mbozi, Mwanza, Bukoba, Tabora, na Arusha.

Hakuna posta nchini ambayo haina wafanyakazi wanaoiba vitu mbali mbali - barua, vifurushi - vinavyotumwa kutoka n'gambo. Pia wana akili pungufu wanapofikiri kwamba kuna fedha katika barua hizo wanazozifungua.

Labda wananchi wakigoma kutumia posta, hatua zitachukuliwa kupambana na wizi huo.

Nimeishi n'gambo miaka michache (au mingi?) - zaidi ya kumi - na ni jambo la kukatisha tamaa kwa watu kama mimi tunaotaka kurudi nyumbani tunapoona serikali haifanyi chochote kurekebisha mambo - wizi, rushwa, mahongo, ufisadi na kadhalika.

Tutajengaje taifa letu? Kama Mwalimu alivyosema, "Tanzania itajengwa na wenye moyo."

Haitajengwa na wezi. Haitajengwa na wala rushwa au mahongo, na haitajengwa na mafisadi. Wamejaa serikalini na katika kila wizara na idara na sehemu mbali mbali kazini.

Halafu kuna viongozi wanashangaa kwa nini wananchi wengi hawataki kurudi nyumbani? Si Tanzania tu bali nchi zote katika bara letu.

POSTA za TANZANIA kuna wizi wa hali ya juu nalizungumzia hili kwa ushahidi wa macho kuviona hivyo vianyoibiwa baadhi yake kuzwa kwa marafikiau mitaani sio kipindi kirefu nilishuhudia jamaa aliyefika maliza kazi na kuja mitaani na simu ndogo zikiwemo ndani yake nguoi za ndani za kike na mafuta ya manukato akiuza kwa vile yeye ilikuwa haja yake ni pesa nimesoma mzigo huo ulikuwa unapelekwa kwa mtu kwemye shirika moja la makanisa lilokuwepo DODOMA Hawa jamaa wa posta wasilaumie nchi nzima imekumbwa na maradhi ya wizi na udanganyifu kutoka viongozi wetu wa serekali na mashika yake ni tatizo sugu
 
tatizo ni kuwa hapa kwetu huu wizi unatokea na hakuna kinachoonekana kuwa kinafanywa kukabiliana nao tofauti na huko majuu ambako wizi unatokea na inaonekana simething is being done kushughuklikia tatizo hilo, ndio maana hata mnaweza kwua na data kwua asilimia fulani ya vifurushi vinapotea. Uliza hapa kwetu kama utapata data kama hizo, hii inaamnisha kuwa hakuna anayeshughulikia tatizo hilo kwa ukamilifu
 
Kana ka Nsungu (Katoto ka Kizungu),

Bado siamini you have the audacity kuja hapa kuongopa na kutetea shirika la posta in spite of all the incontrovertible evidence there is kuhusu wizi wa wafanyakazi katika posta nchini Tanzania and knowing full well that nothing is done about it.

SIJAONA MTU ALIYETOA USHAHIDI HAPA KUHUSU BARUA AU PARCEL YAKE KUIBIWA POSTA ZA NYUMBANI.

It's more than just incompetence on the part of the postal workers - it's pure theft on their part and gross negligence by the postal administrators many of whom are thieves themselves; compounded by the unwillingness of the government itself to address the problem.

HIZI LAWAMA ZISHIISHIE KWA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA TU NA SEREKALI YETU, FOR INTERNATIONAL MAIL AMBAZO WENGI MNAZILALAMIKIA HUMU WAHUSIKA NI WENGI!

And you come here to lie for them? You've got the nerve!

I HAVE NOTHING TO GAIN, AM ONLY HERE TO SHARE MY INSIDE KNOWLEDGE WITH YOU.

Baada ya kumaliza masomo yako Uingereza na kurudi Tanzania, ikiwa hutaamuwa kubaki huko UK, you're going to be part of the problem and not part of the solution to this national crisis which is also a national scandal.

FOR THE RECORDS- NILIRESIGN SIKU NILIYOPATA VISA YA KUJA UK, AM WORKING IN A COMPLETELY DIFFERENT INDUSTRY NOW.

In this era of globalisation nchi yetu imejaa investors na watu wengi kutoka nchi za nje. And you don't think they notice this? Is this the kind of image we want to project for our country hata kama hujali hali na matatizo ya ndugu zako wanaoibiwa kila siku na wafanyakazi wa posta?

HUU WIZI/UPOTEVU KWENYE MASHIRIKA YA POSTA NI MKUBWA SANA HUKO HAO MAFOREIGN INVESTORS WANAPOTOKA,NAAMINI PARCELS ZETU ZINAIBIWA HUKO HUKO KWAO LAKINI KWA ULIMBUKENI WETU WENGI TUNAAMINI KUWA 'WAZUNGU SIO WEZI!'

Kama nilivyosema mwanzoni, niliwahi kulalamika posta, via mail, nilipomwandikia postmaster Dar. Hakunijibu. Pia nilimpa email address yangu. I was just ignored. And I'm NOT the only one who has complained to the authorities in Tanzania about theft at our post offices across the country. We all have been ignored by these arrogant, corrupt leaders.

TUMIA ZILE CONTACTS AMBAZO NIMETOA HAPA, THOSE GUYS WILL RESPOND. BADO POSTA MASTERS WENGI NI WALE WAZEE WA ENZI YA MKOLONI NA HAWAONI UMUHIMU SANA WA KUJIBU EMAIL KAMA ZAKO BUT THANKS GOD WANASTAAFU MMOJA MMOJA NA VIJANA WADOGO WAMEANZA KUCHUKUA NAFASI. POSTA YA LEO SIO ILE YA ZAMANI, ITS IMPROVING.

Kana ka Nsungu, sijiu hata ukiweza kuwasikia wananchi wote waliobiwa posta utabadilisha mawazo yako.

NAJUA WIZI UPO LAKINI NINACHOPINGA HAPA NI WATU KAMA NYIE KUSISITIZA KUWA HUO WIZI UNATOKEA BONGO TU, MASHIRIKA YA POSTA DUNIANI YANAFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA WHEN IT COMES TO INTERNATIONAL ITEMS SASA ITS UNFAIRS KUMWAGA LAWAMA ZOTE KWA MOJA TU.

Everybody who has read what you have written knows you are not telling the truth. And you know it. There's also the suspicion that you have been sent here to lie for the postal service or you're doing it on your own for future promotion when you return to Tanzania and rejoin this disgraceful corporation riddled with scandal.

SIJATUMWA NA MTU AND I HAVE NO PLANS TO GO BACK THERE, THEY CANT AFFORD TO PAY MY WAGES!

Nani amesema hakuna wizi katika posta nchi za wazungu? Tofauti, na ni tofauti kubwa, ni kwamba they do something about it. They arrest and prosecute the culprits. And they punish them severely.

THESE ISSUES ARE DEALT WITH INTERNALLY BY THE CORPORATION AND SITAKI NIANZE KUTAJA MAJINA YA WATU AMBAO WAMESHAFUKUZWA KAZI HAPA.

And you still don't see the difference kati ya nchi zao na nchi yetu in terms of what's done and what's not done to address the problem?

The government itself should be ashamed of this. Obviously it's not because it has many thieves itself at very high levels in all ministries and all departments.

KUNA POSTA MASTA GENERAL(MKUU WA SHIRIKA), KUNA WAZIRI WA MAWASILIANO, KUNA TUME YA MAWASILIANO, ETC- UTAKUWA MVIVU WA KUFIKRI KAMA UNAAMINI KABISA KWAMBA WOTE HAO WANAJUA KWAMBA KUNA WIZI KWENYE SHIRIKA LETU LA POSTA NA WAMEKAA KIMYA TU.
But we're going to pay a heavy price for this as a nation; in fact we already are.

ABOLISH THE POSTAL SERVICE! CLOSE IT DOWN!

And start afresh with a privatised postal service. If it also fails, close it down as well and use private mail delivery services - no matter what the cost.

HII KALI, TANZANIA ITAKUWA NCHI PEKEE DUNIANI ISIYOKUWA NA SHIRIKA LA POSTA! AND I DONT THINK THESE POOR TPC CHAPS ARE THAT BAD. HIZO PRIVATE COMPANIES-UPS, DHL,ETC WANAOPERATE MIJINI TU AND ALL THEY CARE ABOUT IS MAKING PROFIT WAKATI POSTA INATOA HUDUMA ZAKE HADI VIJIJINI. WEWE KWA KUWA UKO MAMTONI NA UNAJIONA UTAMUDU GHARAMA ZA DHL UNATAKA NDUGU ZAKO KULE BUSH AMBAO KWA SIKU HAWAINGIZI HATA BUKU WASHINDWE KUANDIKA AU KUANDIKIWA BARUA, IT WONT HAPPEN!
 
tatizo ni kuwa hapa kwetu huu wizi unatokea na hakuna kinachoonekana kuwa kinafanywa kukabiliana nao tofauti na huko majuu ambako wizi unatokea na inaonekana simething is being done kushughuklikia tatizo hilo, ndio maana hata mnaweza kwua na data kwua asilimia fulani ya vifurushi vinapotea. Uliza hapa kwetu kama utapata data kama hizo, hii inaamnisha kuwa hakuna anayeshughulikia tatizo hilo kwa ukamilifu

Data zipo mpita njia, pale Posta House kuna kitengo chao cha statistics na hizo figure utazipata hapo. Tatizo ni kwamba nchi yetu haina investigative jounalists wengi, wangeweza kujua watu wangapi wamefukuzwa kazi kwa issues kama hizo, I dont think its right kwa Shirika kumfukuza mtu kazi au kumchukulia hatua za kinidhamu na kuripoti kwenye vyombo vya habari esp kama hakuna media pressure, mambo haya yanafanywa kimyakimya, kaongee na wafanyakazi pale watakuambia.
 
Ushauri wangu wa kitaalamu kwenu ni kama ifuatavyo:

Ni vyema zaidi kwa mtumiwa kuwa na sanduku lake binafsi la barua ili kuweza kudhibiti barua ziingiazo katika sanduku lake. Gharama ya sanduku binafsi la kupokelea barua kwa mwaka ni sh. 12,000/- kwa Ofisi Kuu ya Posta Dar es Salaam, sh. 9,600/- kwa ofisi za Posta zilizoko miji mikuu, sh. 7,200/-kwa Ofisi za Posta Wakala (Franchised Post Offices) na zile zilizoko wilayani na sh. 1200/- kwa ofisi za Posta zilizoko vijijini. Uwezekano wa mzigo kupotea au kuibiwa ni mkubwa kama unatumia address ya taasisi, kijiji au jirani.

Je Shirika letu la posta lina masanduku ya kutosha kwa watanzania wote??
 
Kana ka Nsungu (Katoto ka Kizungu),

Bado siamini you have the audacity kuja hapa kuongopa na kutetea shirika la posta in spite of all the incontrovertible evidence there is kuhusu wizi wa wafanyakazi katika posta nchini Tanzania and knowing full well that nothing is done about it.
SIJAONA MTU ALIYETOA USHAHIDI HAPA KUHUSU BARUA AU PARCEL YAKE KUIBIWA POSTA ZA NYUMBANI.
It's more than just incompetence on the part of the postal workers - it's pure theft on their part and gross negligence by the postal administrators many of whom are thieves themselves; compounded by the unwillingness of the government itself to address the problem.
HIZI LAWAMA ZISHIISHIE KWA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA TU NA SEREKALI YETU, FOR INTERNATIONAL MAIL AMBAZO WENGI MNAZILALAMIKIA HUMU WAHUSIKA NI WENGI!
And you come here to lie for them? You've got the nerve!
I HAVE NOTHING TO GAIN, AM ONLY HERE TO SHARE MY INSIDE KNOWLEDGE WITH YOU.
Baada ya kumaliza masomo yako Uingereza na kurudi Tanzania, ikiwa hutaamuwa kubaki huko UK, you're going to be part of the problem and not part of the solution to this national crisis which is also a national scandal.
FOR THE RECORDS- NILIRESIGN SIKU NILIYOPATA VISA YA KUJA UK, AM WORKING IN A COMPLETELY DIFFERENT INDUSTRY NOW.
In this era of globalisation nchi yetu imejaa investors na watu wengi kutoka nchi za nje. And you don't think they notice this? Is this the kind of image we want to project for our country hata kama hujali hali na matatizo ya ndugu zako wanaoibiwa kila siku na wafanyakazi wa posta?
HUU WIZI/UPOTEVU KWENYE MASHIRIKA YA POSTA NI MKUBWA SANA HUKO HAO MAFOREIGN INVESTORS WANAPOTOKA,NAAMINI PARCELS ZETU ZINAIBIWA HUKO HUKO KWAO LAKINI KWA ULIMBUKENI WETU WENGI TUNAAMINI KUWA 'WAZUNGU SIO WEZI!'
Kama nilivyosema mwanzoni, niliwahi kulalamika posta, via mail, nilipomwandikia postmaster Dar. Hakunijibu. Pia nilimpa email address yangu. I was just ignored. And I'm NOT the only one who has complained to the authorities in Tanzania about theft at our post offices across the country. We all have been ignored by these arrogant, corrupt leaders.
TUMIA ZILE CONTACTS AMBAZO NIMETOA HAPA, THOSE GUYS WILL RESPOND. BADO POSTA MASTERS WENGI NI WALE WAZEE WA ENZI YA MKOLONI NA HAWAONI UMUHIMU SANA WA KUJIBU EMAIL KAMA ZAKO BUT THANKS GOD WANASTAAFU MMOJA MMOJA NA VIJANA WADOGO WAMEANZA KUCHUKUA NAFASI. POSTA YA LEO SIO ILE YA ZAMANI, ITS IMPROVING.
Kana ka Nsungu, sijiu hata ukiweza kuwasikia wananchi wote waliobiwa posta utabadilisha mawazo yako.
NAJUA WIZI UPO LAKINI NINACHOPINGA HAPA NI WATU KAMA NYIE KUSISITIZA KUWA HUO WIZI UNATOKEA BONGO TU, MASHIRIKA YA POSTA DUNIANI YANAFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA WHEN IT COMES TO INTERNATIONAL ITEMS SASA ITS UNFAIRS KUMWAGA LAWAMA ZOTE KWA MOJA TU.
Everybody who has read what you have written knows you are not telling the truth. And you know it. There's also the suspicion that you have been sent here to lie for the postal service or you're doing it on your own for future promotion when you return to Tanzania and rejoin this disgraceful corporation riddled with scandal.
SIJATUMWA NA MTU AND I HAVE NO PLANS TO GO BACK THERE, THEY CANT AFFORD TO PAY MY WAGES!
Nani amesema hakuna wizi katika posta nchi za wazungu? Tofauti, na ni tofauti kubwa, ni kwamba they do something about it. They arrest and prosecute the culprits. And they punish them severely.
THESE ISSUES ARE DEALT WITH INTERNALLY BY THE CORPORATION AND SITAKI NIANZE KUTAJA MAJINA YA WATU AMBAO WAMESHAFUKUZWA KAZI HAPA. And you still don't see the difference kati ya nchi zao na nchi yetu in terms of what's done and what's not done to address the problem?

The government itself should be ashamed of this. Obviously it's not because it has many thieves itself at very high levels in all ministries and all departments.
KUNA POSTA MASTA GENERAL(MKUU WA SHIRIKA), KUNA WAZIRI WA MAWASILIANO, KUNA TUME YA MAWASILIANO, ETC- UTAKUWA MVIVU WA KUFIKRI KAMA UNAAMINI KABISA KWAMBA WOTE HAO WANAJUA KWAMBA KUNA WIZI KWENYE SHIRIKA LETU LA POSTA NA WAMEKAA KIMYA TU.
But we're going to pay a heavy price for this as a nation; in fact we already are.

ABOLISH THE POSTAL SERVICE! CLOSE IT DOWN!

And start afresh with a privatised postal service. If it also fails, close it down as well and use private mail delivery services - no matter what the cost.
HII KALI, TANZANIA ITAKUWA NCHI PEKEE DUNIANI ISIYOKUWA NA SHIRIKA LA POSTA! AND I DONT THINK THESE POOR TPC CHAPS ARE THAT BAD. HIZO PRIVATE COMPANIES-UPS, DHL,ETC WANAOPERATE MIJINI TU AND ALL THEY CARE ABOUT IS MAKING PROFIT WAKATI POSTA INATOA HUDUMA ZAKE HADI VIJIJINI. WEWE KWA KUWA UKO MAMTONI NA UNAJIONA UTAMUDU GHARAMA ZA DHL UNATAKA NDUGU ZAKO KULE BUSH AMBAO KWA SIKU HAWAINGIZI HATA BUKU WASHINDWE KUANDIKA AU KUANDIKIWA BARUA, IT WONT HAPPEN!

what you say makes sense,BUT the problem is that,people are no longer confident with the "shirika la Posta".

everywhere i go i get the "don't u use "shirika la Posta" look and warning.barua za kwenda Mufindi haziibiwi kwa kuwa wanajua hazina kitu zaidi ya salamu na mengineyo.
Barua za Majuu wanajua kuwa zina "dola".
personaly i don't support puting valuables and cash in a leter.
BUT a parcel holds a lot of meaning.it should be treated with respect.ile ni mizigo ya watu jamani,kama hakuna bome au explosive it shoud be treated with same respect as a leter.only for the intended person.

when it comes to disapearing parcels yani inmost cases you can trace EMS parcels sent through online checking site.and all you get is last destination:TANZANIA,after that blanks.aaaaagh inakera bwana.mnooo.i think ni wakati muafaka some very serious reorganization.
the idea of having "shirika la posta" ni nzuri lakini the current reality for Tanzanians living abroad is very bad it resembles a nightmare.
 
Masanduku ya barua yaliyoko wazi ni mengi sana na hii inatokana na watu kupenda kutumia anuani za makazini, majirani au hata vijiji na hii inaongeza risk ya barua au kifurushi chako kupotea. Sio lazima kila mtanzania awe na sanduku lake la barua lakini ni kitu ambacho ningekipendekeza kwa kila household na taasisi.
 
Mkuu nadhani ungewapigia shirika ili letu debe ili wagawe haya mabox kwa wamiliki wa nyumba na taasisi mbali mbali kama njia moja wapo ya kuongeza pato lao na kupunguza kelele za wachangiaji hapo juu wa kupotelewa mzigo. Manake sijawahi kuona kampeni za aina hii nchini ya kuwaimiza Wananchi kumiliki masanduku ya posta.
 
Shukrani kwa aliyeleta mada.mimi nimetuma zawadi za xmas mwezi na nusu sasa na bado hawajazipata na ni private box.Nimetuma vitu vya gharama na nilikuwa na wasiwasi kabla kuwa vinaweza kuibiwa lakini wakaniambia nitume tu na hawataki pesa kwani vilivyopo kule ni fake si vizuri.Baada ya kusoma hapa nahisi hivi vitu havitafika kamwe.Sasa najuta kwa gharama nilizotumia.
 
ongea na kkn anaweza kuarrange for refund
 
ongea na kkn anaweza kuarrange for refund

Tuache ubahili- ukituma vitu vya thamani make sure vimekuwa registered na vina insurance. Lakini ni vizuri ukaanza kufanya ufuatiliaji kwenye Posta ulikotumia, wakikuambia mzigo umetua Bongo hapo ndio uanze kukabana na watu wa TPC.
 
Shukrani kwa aliyeleta mada.mimi nimetuma zawadi za xmas mwezi na nusu sasa na bado hawajazipata na ni private box.Nimetuma vitu vya gharama na nilikuwa na wasiwasi kabla kuwa vinaweza kuibiwa lakini wakaniambia nitume tu na hawataki pesa kwani vilivyopo kule ni fake si vizuri.Baada ya kusoma hapa nahisi hivi vitu havitafika kamwe.Sasa najuta kwa gharama nilizotumia.

Mtarajiwa,

Asante sana.

Bila shaka viliibiwa.

Vinauzwa hata mitaani kama mzalendo mmoja alivyosema hapa.

Ndugu zangu wameniambia nisiwatumie hata barua kupitia shirika la posta.
 
suala la wizi ni katabia ka mtu hivyo sio wote nadhani hii inatokana na mishahara midogo itolewayo na mashirika haya ya posta
 
Tatizo kubwa ni kutokuwachukulia hatua wahusika wa wizi na upotevu wa barua/mizigo ya wateja pindi unapotokea na wahusika kujulikana.

Hawafanyi hivyo kwa sababu supporting staff wengi ni ndugu wa senior staff! Hivyo kuleana hata pale uzembe/wizi wa wazi unapobainika.

Ni tatizo kubwa.
 
suala la wizi ni katabia ka mtu hivyo sio wote nadhani hii inatokana na mishahara midogo itolewayo na mashirika haya ya posta

Kusema wanaopewa mishara midogo ndio wezi hayo naona ni mawazo finyu. Unaweza kuniambia kuwa kina Mramba, Yona, Jeetu pamoja na wezi na mafisadi wengine, wamekuwa hivyo kutokana na mapato madogo? Unataka kuniambia wote tunalipwa mishahara midogo ni wezi? Ukiangalia kijuujuu unaweza kudhani hali ni hivyo , alkini ukiangalia kwa undani utakuta wezi wakubwa ni wale wenye mapato makubwa na wenye opportunities za kupata mapato.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom