Wafanyakazi wa Posta na wizi wa mizigo ya wananchi

Sasa hii inatoa picha gani? kwamba ni vifurushi tu vinavyotoka ng'ambo ambavyo vinashawishi wafanyakazi wa posta kuwa wadokozi?

KB hapa ndipo ninapopingana na wengi, sio lazima kama kiparcel chako kimetoka ulaya kikipotea basi kiwe kimepotelea Posta za nyumbani, kinaweza kikapotelea posta za hukohuko Ulaya au US ulipo, kuna uwezekano pia kikapotelea mikononi mwa shirika la ndege, kama unatumia address ya jirani House boy wake anaweza akapiga bao vilevile and of course huko Posta nako sio kila mwajiriwa ni muaminifu 100%, mianya ya kifurushi au barua yako kupotea iko mingi kwenye hiyo chain.
 
nilijua mie tu!kumbe tupo wengi tunaugulia kimya kimya...,

in short everyone i know insists that i never use tz post!nilikuwaga mbishi several years ago,all i got was miseries,anything precious simply disappeared,and they was tracked UP to dar.after that!VAMOOSE! no where to be seen!and that was to a PRIVATE BOX.IN DAR!
nikasema ok may be nijaribu kutumia EMS...,balaa kubwa zaidi,it was just a simple,small MP4 player for bi-mkubwa,yani the whatever tax they put on that small thing which had it's Department store price tag,marked as a gift with receipt included was insane!!imagine tax sijui import duty sijui nini huko wanajua wenyewe,100,000Tshs for a 30USD MP4 player?!and look at the reason they came up with.we use current price on from dar retailers.P**baf.

sirudii tena.whatever problem,whichever reason,NEVER!not me!situmii posta tenaaa.

i send parcels on daily basis,to many other councils around the world,i buy stuffs online form so many online vendors,and they always get to my place,safe and sound.if lost..,they are always tracked,and returned and resent.if destroyed,insured as per coverage given.

itachukua miaka mingi sana kuliamini SHIRIKA LA POSTA.
 
Sidhani kama una uhakika na hili, mimi binafsi kuna parcel nilitumiwa toka bongo na sijaipata hadi leo na kwenye system za Royal Mail inaonekana kwamba ilikuwa delivered kwenye address yangu, bado nafuatilia!

Na uhakika fulani utakipata tu wanaokichelewesha ni hao FBI wanakipiga scaning ya nguvu si unajuwa mkuu tena mambo ya Osama.
 
nilijua mie tu!kumbe tupo wengi tunaugulia kimya kimya...,

in short everyone i know insists that i never use tz post!nilikuwaga mbishi several years ago,all i got was miseries,anything precious simply disappeared,and they was tracked UP to dar.after that!VAMOOSE! no where to be seen!and that was to a PRIVATE BOX.IN DAR!
nikasema ok may be nijaribu kutumia EMS...,balaa kubwa zaidi,it was just a simple,small MP4 player for bi-mkubwa,yani the whatever tax they put on that small thing which had it's Department store price tag,marked as a gift with receipt included was insane!!imagine tax sijui import duty sijui nini huko wanajua wenyewe,100,000Tshs for a 30USD MP4 player?!and look at the reason they came up with.we use current price on from dar retailers.P**baf.

sirudii tena.whatever problem,whichever reason,NEVER!not me!situmii posta tenaaa.

i send parcels on daily basis,to many other councils around the world,i buy stuffs online form so many online vendors,and they always get to my place,safe and sound.if lost..,they are always tracked,and returned and resent.if destroyed,insured as per coverage given.

itachukua miaka mingi sana kuliamini SHIRIKA LA POSTA.

Mkuu
ni utani usichukulie serious mkubwa wangu!!!
sasa inamake sense gani kutuma kitu cha usd 30 ambacho hicho kitu kinapatikana pale kwenye maduka ya wahindi? kwanini usitume pesa akanunuwa hukohuko.Unajuwa ukituma pesa unakuwa mzalendo zaidi maana hizo pesa zitaingia nchini.
 
Kana Ka nsungu mwelu/ntitu nakubaliana na wewe kuwa sio wafanyakazi wote wa posta hapa Tanzania ni wezi. kuna wengi tu sio wezi, lakini nafurahi umekubali kuwa wizi upo na mlikamata baadhi ya wezi. Lakini unapozungumzia barua zinazopitia sehemu nyingine kabla ya kufika mwisho, naweza kusema kuna upoteaji na sio wizi.

Lakini vipi kuhusu barua inatoka dar kwenda mwanza? au kifurushi kinatoka Iringa kwenda Dar, hapa transit iko wapi? Na vipi barua tunazotumia kutoka ulaya au America zipotee na tunazotuma kuelelea huko hazipotei? ukiangalia kwa undani utaona kuwa shirika/baadhi ya wafanyakazi wake ndio wanaiba. Hapa hatuwezi kukwepa ni vizuri sana kama posta ikiwa private, ingawa itakuwa kichekesho lakini itakuwa efficient na safer.
 
Mkuu
ni utani usichukulie serious mkubwa wangu!!!
sasa inamake sense gani kutuma kitu cha usd 30 ambacho hicho kitu kinapatikana pale kwenye maduka ya wahindi? kwanini usitume pesa akanunuwa hukohuko.Unajuwa ukituma pesa unakuwa mzalendo zaidi maana hizo pesa zitaingia nchini.

It was a gift!!ever heard of that my friend?!
it had an MP4 plus satellite radio,that was handy for her,as she used 2 travel a lot.
4 years ago mP4 were not in abundant in TZ.plus..,i wouldn't want her 2 use fakes would I.
even if i wished 2 send her a gift from within TZ how could i do it from ughaibuni?buy online?!
and last..,she didn't need the $30 bucks.
 
nilijua mie tu!kumbe tupo wengi tunaugulia kimya kimya...,

in short everyone i know insists that i never use tz post!nilikuwaga mbishi several years ago,all i got was miseries,anything precious simply disappeared,and they was tracked UP to dar.after that!VAMOOSE! no where to be seen!and that was to a PRIVATE BOX.IN DAR!
nikasema ok may be nijaribu kutumia EMS...,balaa kubwa zaidi,it was just a simple,small MP4 player for bi-mkubwa,yani the whatever tax they put on that small thing which had it's Department store price tag,marked as a gift with receipt included was insane!!imagine tax sijui import duty sijui nini huko wanajua wenyewe,100,000Tshs for a 30USD MP4 player?!and look at the reason they came up with.we use current price on from dar retailers.P**baf.

sirudii tena.whatever problem,whichever reason,NEVER!not me!situmii posta tenaaa.

i send parcels on daily basis,to many other councils around the world,i buy stuffs online form so many online vendors,and they always get to my place,safe and sound.if lost..,they are always tracked,and returned and resent.if destroyed,insured as per coverage given.

itachukua miaka mingi sana kuliamini SHIRIKA LA POSTA.

Tatizo lako hapa ni ushuru na hili ni suala la TRA na sio Posta, TRA wana staff wao ndani ya ofisi za posta na labda lawama hizi ungezielekeza kwao.
 
KB hapa ndipo ninapopingana na wengi, sio lazima kama kiparcel chako kimetoka ulaya kikipotea basi kiwe kimepotelea Posta za nyumbani, kinaweza kikapotelea posta za hukohuko Ulaya au US ulipo, kuna uwezekano pia kikapotelea mikononi mwa shirika la ndege, kama unatumia address ya jirani House boy wake anaweza akapiga bao vilevile and of course huko Posta nako sio kila mwajiriwa ni muaminifu 100%, mianya ya kifurushi au barua yako kupotea iko mingi kwenye hiyo chain.

Sikutegemea kuwa kuna mtu atajitokeza kutetea kwa namna moja ama nyingine wizi na uharibifu unaotokea posta, Tanzania. Pamoja na kuwa na sanduku la binafsi, nimeamua kutokutuma kitu chochote Tanzania kupitia posta. Hata posta za nje zina hii habari na hutoa tahadhari. Niliwahi kufuatilia kwa kupiga simu n.k. lakini at the end of the day nikakuta it is not worth it - ni kupoteza muda na fedha zaidi. Nashawishika kuamini kuwa unachofanya ni PR lakini wangejitokeza wote waliopoteza vitu vyao nchini Tanzania ungeshangaa. Badala ya kusema hata ulaya barua zinaibiwa, kama ungetoa pendekezo la namna ya kujaribu kutafuta suluhisho, ungekuwa umefanya jambo la maana zaidi.

Heri ya Christmas.
 
Tatizo lako hapa ni ushuru na hili ni suala la TRA na sio Posta, TRA wana staff wao ndani ya ofisi za posta na labda lawama hizi ungezielekeza kwao.

may be..,the whole thing was put out of proportions.imagine they opened the parcel,simply because MP4 player+gift on top of the packing was not enough to convince them.
HOW COULD THEY!!privacy hamna kabisa..,it was messy.to their dismay after realizing that it as just a simple gadget they were not familiar of they came up with the whole TAXING thing..,
i had to let go of that..,BUT so far,i would rather not use their services.
 
Tuichukulie hii story ya huyu mzungu hapa kama mfano, unataka kuniambia hakuna uwezekano kwenye hizo barua hapo kuna mbili tatu za wabongo? And I guess wote hapo watakuwa wana assume kwamba barua zao zimeibiwa nyumbani, jamani tisjidhalilishe kwa umaskini wetu.....

Postman admits stealing letters

A postman has pleaded guilty to stealing more than 130,000 undelivered letters and parcels in Staffordshire.
Nick Fryer, aged 31, from Audley who worked at Kidsgrove's delivery office admitted two counts of theft from Royal Mail between January 1999 and May 2004.

He also pleaded guilty to six counts of false accounting and obtaining money transfers by deception at Stoke-on-Trent Crown Court on Friday.

Fryer was granted conditional bail until he is sentenced on 17 December.

Judge William Everard said it was likely Fryer could be facing a prison sentence.

The former postman was arrested in June this year when 116,000 leaflets and 17,000 letters were found at an address in Kidsgrove.

Royal Mail sacked him after carrying out an internal investigation.

bbc.co.uk
 
may be..,the whole thing was put out of proportions.imagine they opened the parcel,simply because MP4 player+gift on top of the packing was not enough to convince them.
HOW COULD THEY!!privacy hamna kabisa..,it was messy.to their dismay after realizing that it as just a simple gadget they were not familiar of they came up with the whole TAXING thing..,
i had to let go of that..,BUT so far,i would rather not use their services.

Mkubwa
kila mzingo unapigwa X-RAY wakiona kitu tofauti na karatasi unafumuliwa.wewe jaribu kuweka tuvijiti tudodgo tu ktk bahasha uone .vitafumuliwe hadi kwa mkemia.Kwa hiyo Mps yako ilifumuliwa kutokana na uwezakano wa kuingiza madawa kwa njisi hiyo.hivyo baada ya kukosa madawa waliokuwa wametegemea kuyapata ikabidi wakutwange kodi ya nguvu.kwi kwi kwi
 
Nimefanya kazi posta kwa muda wa miaka miwili hadi nilipokuja UK kwa masomo. Ningeweza kutoa maoni ambayo wadau wengi wametoa kama ningekua sina knowledge yoyote ya postal industry. Lakini kwa kuwa nimefanya kazi huko na sasa ninaishi ughaibuni kama ambavyo majority ya watoa hoja kuhusu suala hili, naamini maoni yangu yatakua na uzito kidogo.

Watanzania wengi walioko ughaibuni wanakuwa wepesi kujump into conclusion kila mara mizigo yao inapopotea na kusema kuwa imeibiwa posta za nyumbani. Unaona wazi kuwa kuna fikra kuwa parcels/barua haziwezi kuibiwa katika posta za ‘wazungu’, kama kuna wizi wowote wanaona ni lazima utafanyika nyumbani. Hii si sahihi hata kidogo, kama kuna wizi posta zetu za nyumbani ni wa scale ndogo sana. Last year niliona kwenye news (TV and papers) sio chini ya mara moja wafanyakazi wa posta za UK wakiwa matatani kwa wizi.

Kingine ambacho wengi hawaelewi ni kwamba mashirika ya posta duniani husafirisha mizigo yao kwa kutumia vyombo mbalimbali vya usafiri, ndege in particular kama ni international mails/parcels. Kinachofanyika hapa ni kwamba wafanyakazi wa Posta watakwenda na furushi lao la barua na parcels na kuliacha mikononi mwa shirika la ndege ambalo nalo litaiacha mizigo hiyo mikononi mwa Laguage handling companies zinazo operate kwenye airports- naomba ieleweke pia kwamba kuna mianya ya wizi au upotevu katika mtiririko huu. Mwaka jana kuna CCCTV footage moja ilionekana nchi nzima hapa UK kwenye vituo mbali mbali vya TV, kuliwekwa kamera ya siri kwenye changing room baada ya tatizo la wizi kukithiri na wahusika walikamatwa.

Kunakuwa na matatizo mengi ya upotevu na wizi wa mizigo pale ambapo mzigo wenye barua na parcels unapita in transit, nikimaanisha mzigo huo unapandishwa ndege zaidi ya moja. Kama ni US utatoka huko uliko, utashushwa na kupandishwa New York, kama ndege ni Emirates zoezi hilo litafanyika tena Dubai then ndo unapandishwa ndege ya mwisho. Ni jambo la kawaida sana, kwa mfano, wafanyakazi wa language handling companies kufanya makosa na kuupeleka mzigo wa Tanzania Taiwan na utakapofika huko itategemea umefikia mikononi mwa nani.

Kuhusu uchelewesho, sina proof na hili ila nahisi pia wenzetu wa posta za nchi zilizoendelea wanazipa priority parcels/barua za kwao na zile zinazokwenda kwenye nchi zilizoendelea, wanadeal na za nchi maskini mwishoni. That is kama kuna ndege inakwenda Dubai toka New York na nafasi ni ndogo, mizigo ya UK , Germany, etc itapewa first priority na kama kuna kanafasi kadogo kakibaki baadhi ya mizigo inayokwenda Tanzania na Togo yaweza pakiwa. Hii inawezekana, lakini ni hisia zangu tu. Najua utakua unajiuliza- vipi kuhusu uchelewesho wa ndani? Ni wazi kwamba shirika la Posta bado halijawa na usafiri wa uhakika. Magari machahe ya posta yana operates katika routes za Dar- Iringa-Mbeya, Dar-Moshi- Arusha, Dar-Korogwe- Tanga, sina hakika kama kumekuwa na routes mpya tangu nimeondoka. Barua za route hizi huwa zinasafirishwa usiku wa siku zinapopokelewa. Kule ambako magari ya Posta hayafiki- usafiri wa ndege, mabasi na trains hutumika na vyombo vyoote hivyo vina matatizo yake na ukijumlisha matatizo ya mifumo yetu ya usafiri kwa ujumla-ni kawaida kusikia abiria wa traini au basi wamekwama njiani kwa siku tatu au zaidi, au majambazi wamepora abiria na mizigo ikiwemo ile ya posta kwenye basi Fulani.

Naomba ieleweke kwamba wafanyakazi wa posta za nyumbani wanafanya kazi nzuri kwenye mazingira magumu na tunakuwa hatuwatendei haki kama kila mara tutakuwa tukiwalaumu kila kunapotokea wizi au upotevu wa vifurushi na naona its immoral kila mara kucompare na mazingira tunayoishi sasa huku ughaibuni, kwanini tunasahau tulikotoka? Tusiwe wepesi kumlaumu muhudumu kwenye restaurant chakula kinapokuwa kibaya wakati yeye kakileta mezani tu, mbona mpishi hatumgusi?

Nawasilisha kwenu wadau- siwakilishi shirika la posta katika maoni yangu, nachangia tu kama wengine. Merry Christmas to you all, akhsanteni.

muzee mbona unaandika uongo ambao wewe mwenyewe unaelewa ni uongo.
Kuhusu mizigo mingi inapotelea hapo hapo tanzania bada ya kufungua hilo bag la posta, sasa ukizungumzia bag la posta kupotea ni kitu kikubwa, hata usa au uk na nchi zingine kutokea hilo ni vigumu, bali kupotea kwa item, kabla ya kuwekwa katika bag. hilo lina weza kutokea usa au uk etc, lakini wenzetu wana taratibu ya kuandika vitu vinavyo wekwa katika bag, hivyo ni rahisi kugundua kitu kiliondoka au la. kuhusu kwenda sehemu tofauti linaweza kutokea lakini mwisho wa siku kitu kitarekebishwa na kwenda ilipotakiwa kwenda.na nafikiri si kitu kunacho ongelewa hapa.
kitu kinacho ongelewa hapa ni kupotea kwa item, sio bag, kwa sababu mimi kama mtu moja ninapo tuma kitu na tuma kama item na sio bag ambalo litajumuisha barua au vitu mbali mbali toka kwa watu mbali mbali.
nafikiri utakuwa umenielewa na wadau wengine wameelewa. kwamba kinachoongelea hapa ni item ambayo mtu binafsi anatuma kwa nduguye au rafiki na si bag, la posta ambalo lina-contain vitu mbali mbali, sasa wizi unaweza tokea kabla ya kufunga hilo bag au baada ya kufungua hilo bag kwenda stage nyingine.
 
Posta kuna wezi, pure and simple! Kama una-alternative usitumie posta yetu tumia hiyo alternative.
 
KB hapa ndipo ninapopingana na wengi, sio lazima kama kiparcel chako kimetoka ulaya kikipotea basi kiwe kimepotelea Posta za nyumbani, kinaweza kikapotelea posta za hukohuko Ulaya au US ulipo, kuna uwezekano pia kikapotelea mikononi mwa shirika la ndege, kama unatumia address ya jirani House boy wake anaweza akapiga bao vilevile and of course huko Posta nako sio kila mwajiriwa ni muaminifu 100%, mianya ya kifurushi au barua yako kupotea iko mingi kwenye hiyo chain.

kkn lakini si unajua kwamba shirika landege na posta wakikabidhiana bag kuna kuwa na documentation? na pili hilo bag si linakuwa na seal, sasa huyo staff wa ndege ataibaje? tofautisha wizi wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege kwenye mizigo ya abiria na hii ya posta, please.
 
Tutalumbana sana hapa JF, bottom line nikitaka kupoteza barua au kifurushi huwa natuma kwa kutumia posta ya Tanzania. Ikifika au kikifika huwa nashangaa. Posta Tanzania ni shirika la kusafirisha bili na post cards tu. Hata kama ni card na imetuna tuna, sahau. Ukitumia register, una uhakika zaidi. Tuwe wawazi, nimekuwa napokea barua zimefunguliwa kila mara, na wanafunga na posta seal...hata kama ni makabrasha ya mkutano lazima yafunguiwe na kuwekewa seal ya kizushi
 
Sidhani kama una uhakika na hili, mimi binafsi kuna parcel nilitumiwa toka bongo na sijaipata hadi leo na kwenye system za Royal Mail inaonekana kwamba ilikuwa delivered kwenye address yangu, bado nafuatilia!

hapo utaona atleast wamekubali kuupokea huo mzigo in one way or another, sasa tatizo ni kwenye delivery, lakini bongo hiyo ya kufika iatakuwa masimulizi au delivery. na tukifika hatua hiyo ya kuelewa atleast kitu mara ya mwisho kilionekana wapi itakuwa hatua kubwa saana.
 
It's true mail theft happens all over the world. However i can't believe there are actually people on here who are running to the defence of TZ posta. Just because it happens everywhere does that mean it should be tolerated?

How many posta workers are prosecuted each year for mail theft? How many investigations are carried out? What systems do they have in place to reduce theft... etc. You will probably find the answers to these and many other question are dissapointing.

For instance the US postal service has it's own law enforcement service.

The United States Postal Inspection Service (or USPIS) is the law enforcement arm of the United States Postal Service. Its jurisdiction is defined as "crimes that may adversely affect or fraudulently use the U.S. Mail, the postal system or postal employees."

An agency with approximately 4,000 employees, 2,000 criminal investigators, an armed uniformed division with 1,000 personnel, forensic laboratories and a robust communications system, and with 1,000 technical and administrative support personnel, the USPIS is a major federal law enforcement agency that leads and assists in numerous joint federal and state investigations

Also found this little piece:

The USPIS is primarily an investigative agency comprising of plain-clothes federal criminal investigators entitled "Postal Inspectors" whose primary mission is "to protect the U.S. Postal Service, its employees and its customers from criminal attack, and protect the nation’s mail system from criminal misuse". It has responsibility for over 700,000 Postal Service employees and billions of pieces of mail transported through air, land, rail and sea world wide a year.

These guys have a lot of influence, and they routinely monitor postal employees. In major postal facilities, there is one-way glass walkways behind the postal workers so they can never know when there is an inspector watching them. In short, these guys don't mess around. It is much more likely that it got lost in the mail, or stolen from a neighbor, than stolen by a postal worker. Check out the link for more info.

Obviously We do not have the kind of money required to set up this kind of elaborate system. However with a little creativity and vision something can be done. With better security and improved service more people will use the postal service, revenues will increase and more elaborate security can be setup.

The question what is being done to combat the theft.
 
Tumeni pesa wadau Tu...tutanunua vitu Hapa hapa Bongo....Ukiwa unarudi likizo njoo na Zawadi zako...!!! POSTA ishafeli.....Na wakubwa hata kufikiri wameshindwa!!!
 
Kana ka Nsungu (Katoto ka Kizungu),

Bado siamini you have the audacity kuja hapa kuongopa na kutetea shirika la posta in spite of all the incontrovertible evidence there is kuhusu wizi wa wafanyakazi katika posta nchini Tanzania and knowing full well that nothing is done about it.

It's more than just incompetence on the part of the postal workers - it's pure theft on their part and gross negligence by the postal administrators many of whom are thieves themselves; compounded by the unwillingness of the government itself to address the problem.

And you come here to lie for them? You've got the nerve!

Baada ya kumaliza masomo yako Uingereza na kurudi Tanzania, ikiwa hutaamuwa kubaki huko UK, you're going to be part of the problem and not part of the solution to this national crisis which is also a national scandal.

In this era of globalisation nchi yetu imejaa investors na watu wengi kutoka nchi za nje. And you don't think they notice this? Is this the kind of image we want to project for our country hata kama hujali hali na matatizo ya ndugu zako wanaoibiwa kila siku na wafanyakazi wa posta?

Kama nilivyosema mwanzoni, niliwahi kulalamika posta, via mail, nilipomwandikia postmaster Dar. Hakunijibu. Pia nilimpa email address yangu. I was just ignored. And I'm NOT the only one who has complained to the authorities in Tanzania about theft at our post offices across the country. We all have been ignored by these arrogant, corrupt leaders.

Kana ka Nsungu, sijiu hata ukiweza kuwasikia wananchi wote waliobiwa posta utabadilisha mawazo yako.

Everybody who has read what you have written knows you are not telling the truth. And you know it. There's also the suspicion that you have been sent here to lie for the postal service or you're doing it on your own for future promotion when you return to Tanzania and rejoin this disgraceful corporation riddled with scandal.

Nani amesema hakuna wizi katika posta nchi za wazungu? Tofauti, na ni tofauti kubwa, ni kwamba they do something about it. They arrest and prosecute the culprits. And they punish them severely.

And you still don't see the difference kati ya nchi zao na nchi yetu in terms of what's done and what's not done to address the problem?

The government itself should be ashamed of this. Obviously it's not because it has many thieves itself at very high levels in all ministries and all departments.

But we're going to pay a heavy price for this as a nation; in fact we already are.

ABOLISH THE POSTAL SERVICE! CLOSE IT DOWN!

And start afresh with a privatised postal service. If it also fails, close it down as well and use private mail delivery services - no matter what the cost.
 
It's true mail theft happens all over the world. However i can't believe there are actually people on here who are running to the defence of TZ posta. Just because it happens everywhere does that mean it should be tolerated?

How many posta workers are prosecuted each year for mail theft? How many investigations are carried out? What systems do they have in place to reduce theft... etc. You will probably find the answers to these and many other question are dissapointing.

For instance the US postal service has it's own law enforcement service.

Also found this little piece:

Obviously We do not have the kind of money required to set up this kind of elaborate system. However with a little creativity and vision something can be done. With better security and improved service more people will use the postal service, revenues will increase and more elaborate security can be setup.

The question what is being done to combat the theft.

The extent to which the culture of impunity has permeated our society, and every fibre of our social fabric, is, in this case, tragically demonstrated by the fact that many postal employees who are thieves are members of this forum and are not in the least perturbed or worried by what many of us have said here about postal thieves because they know nothing, absolutely nothing, is going to be done them. Instead, they taunt us, "Catch me, catch me!"

Well, if you were in one of the developed countries where laws are enforced, you would be trembling because the authorities would be after you and even re-open old cases to track down the thieves. But not in Tanzania. And yet you hear our leaders pleading with us, "Rudi nyumbani ili msaidie kujenga taifa letu."

Taifa gani? You're destroying the nation by condoning theft and other vices.

In fact, many government officials are members of jamiiforums or read what's posted here. They know these are legitimate complaints and are nothing new. Yet they have not done anything, absolutely nothing, to stop postal theft.

Where is national leadership on such critical issues? Are developed nations the only ones capable of providing this kind of leadership when they fight theft in their postal services and elsewhere?

If Botswana, a developing country, can maintain high standards of probity, why not Tanzania? Instead our leaders compromise standards of excellence as if integrity is an unattainable ideal. Well, they have done it in Botswana. Why not in Tanzania and in other African countries crippled by rotten leadership?

Bado tunawalaumu wakoloni? Waulize wazee kama wanakumbuka kulikuwa na wizi katika posta enzi ya ukoloni. This should not be misconstrued as justification for colonial rule but where such comparison provides a rational explanation for what's going on - so be it! And it warrants serious consideration at the highest levels of government.

It's a question of responsibility. And our leaders have failed us miserably. That's why you have millions of Africans living abroad today after fleeing their home countries or simply refusing to go back home because of what's going on in our countries.

Even an idiot would begin to wonder: if national leaders are not doing anything to combat theft that's rampant in the postal service, and which is ruthlessly public exposing Tanzania to ridicule even among foreigners who live in Tanzania, what else are they not doing? What else do they condone?

Yet, it's these same leaders who invoke Mwalimu's name and his mantra: "Tanzania itajengwa na wenye moyo."

Pia kumbuka Mwalimu alisema: "Inawezekana. Timiza wajibu wako."

That's right - "It can be done. Play your part."

What part are our leaders playing, if I may ask?
 
Back
Top Bottom