pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 4,991
- 3,807
Zaman nilikua nmb nililazimika kuachana nao kwa sababu hizihizi za huduma mbovu nikawajaribu ACB ndio hawapo vizuri sana lkn angalau wanajitahidi.Nataman wangepitia huu uzi waone wenyewe ni kwa kiasi gani watu wamewachoka
Mimi pia niliingia ACB baada ya kuzinguliwa mno na hizo benki kubwa. Kuna tofauti kubwa - na naombea hizi benki ndogo zisikue mno kufikia udunishaji wa huduma.