Wafanyakazi wa NMB Bank!

Wafanyakazi wa NMB Bank!

NMB pale Bukoba mjini nilitaka kupigana mle siku moja! Yaani ile benki utafikiri wanatoa msaada!

Kwa taarifa yenu kuna crisis kubwa kwenye mabenki hasa baada ya ujio wa Tigo Pesa,Mpesa n.k watu wamekimbia urasimu na viburi!
 
Deposit kwenye mabenki zimeshuka sana! Mabenki yanachangia kuharibu uchumi.

Service ya mabenki Tanzania inatia aibu!
 
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote

Hii bank ina tatizo kwenye usimamizi i mean uongozi kwanza wanavifanyakazi vibaya kwa sura ila vina nyodo kupindukia.
 
kiboko ya huduma mbovu kwa wateja ni mkoa wa Mara bana, haijalishi ni wapi, hata kwenye viglosari, utajuta kwanni umeenda pale
Mkuu
Kijakazi,
kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer
service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar,
nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.

Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize
wewe ni mtanzania? We need to change
 
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote

Branch ya mwenge kuna mkaka mmoja white pale mapokezi ana nyodo sana, anaangalia wateja kama nyanya mbovu utadhani tumeenda kuomba undugu pale.
 
Sio kote bro,mi CRDB nawapa sifa yao.Sijawahi kuexperience mambo niliyoyaexperience NMB.

Mkuu tofauti ni ndogo sana, ukiona unaingia ofice ambayo utachangamkiwa ujue boss yupo around
 
Kuna NBC bwana dada mmoja anasaidia kuelekeza kujaza fomu wanaenda kufungua accunt usipomwelewa anakujia juu na kusema inamaana hujui kitu flani? Wakati ni jambo tu la kumwelekeza mtu tena kistaarabu huyu dada yupo tawi lililotizamana na posta ya zamani cjui ndo branch gani yani nilimchukia na sina hamu nae na account yenyewe nlijakomba hela zote na sina mpango nayo tena
 
Una mkono wa birika weye. Hebu wape elfu tano uone watakavyokuwa wanakuchangamkia

Kweli kabisa, nilianza kutoa elfu 10 kwa baadhi ya sehemu za huduma, huwezi amini ilikuwa nikifika mcity ni kama mfalme...sijasema shida yangu nishaulizwa nitakacho, yani ilikuwa ni executive service. Lakini nina hasira, kwanini usubiri kupewa hela ili utimize majukumu yako?? kwanini turuhusu utamaduni wa kupewa kitu na mteja ndio tuhudumu inavyotakiwa??
 
Hii bank ina tatizo kwenye usimamizi i mean uongozi kwanza wanavifanyakazi vibaya kwa sura ila vina nyodo kupindukia.

Uliwaumba ili uwaumbue?mhukumu mtu kwa utendaji wake ila sio kwa sura yake, wewe mwenyewe hukujiumba so usiwe kimbele mbele kuwatoa kasoro wenzako
 
Uliwaumba ili uwaumbue?mhukumu mtu kwa utendaji wake ila sio kwa sura yake, wewe mwenyewe hukujiumba so usiwe kimbele mbele kuwatoa kasoro wenzako

We ushuzi nini kafie mbele na maujinga yako ya kuuwatetea wapuuzi wenzako.
 
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote

pole sana bt hao wanapenda sana tips kuna watu hawapangi folen na wanahudumia hata wakiwa nyumban ,yaan teller akimuona jamaa anayetoa tips yupo kwenye mstari utamuona anavyotetemeka it real ni aibu sana cashier wa halmashauli kama mfalme bank
 
We ushuzi nini kafie mbele na maujinga yako ya kuuwatetea wapuuzi wenzako.

Akili zako ndio zimejaa ushuzi, sura inahusika vipi na utendaji wa mtu?kama walikuibia bwana wako sema tu, huna hoja kazi kuharisha tu hapa jukwaani!

Hoja iko mezani kwamba wana dharau kitu ambacho ni kweli, wewe badala ya kujenga hoja unakuja na ishu binafsi za mtu kuwa mbaya...huoni kwamba wewe akili yako imejaa uji wa dona badala ya ubongo? unafikiria kwa kutumia masaburi, wahi kojoa ulale
 
dah! unakuta limuhudu linakuja kukuhudumia limenuna kila ukijalibu kutabasamu angalau na lenyewe litabasamu mpate kuelezana shida ndio kwanza linavimba,majibu ya mikato,sasa usiombe ukawa hujui kitu ndio umuulize utajuta siku hiyo.yaan huwa nawaili dada mbona umenikasilikia wakati ndio kwanza nakuona leo,samahan kama nakukwaza lakini bado tu,yaan hata hamu ya kumtoa walau elf 5 inakua haipo tena
 
NMB kiboko.....nilifungua akaunti 2010 kurudi nililetewa nyodo ile mbaya nilivyotoka sijarudi tena hadi leo......
 
Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.

Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
umenena kweli kabisa! watanzania ndivyo tulivyo.kujisikia kwingi kazi zero. mimi nilipata kuuliza hivi ni taasisi gani ya serikali inafanyakazi walau kwa kiwango cha 50%? kiukweli tupo chini sana kiutendaji.wengi tumekalia majungu na kutengeneza easy money.haya ni madhara ya ajira za upendeleo.siku moja nilienda NBC tawi la Mtwara nikawakuta wateja ka nane hivi lakini nilikaa almost one hour nasubiri kuhudumiwa. last week nikaenda TRA mtwara kubadili driving licence yangu ,tulikuwa watu wawili nikakaa dakika thelathini bila huduma huku anae takiwa kutuhudumia anaongea na simu kwa pozi utadhani ni mara yake ya kwanza kupigiwa simu na mwanamke! hao ndio watanzania bwana.ukienda bar huko waliko jaa darasa la saba ni shida kabisa customer care sifuri kabisa. ingekuwa huduma hizi zinatolewa na wazungu, mimi huku kwa watanzania nisikwenda kabisa,wanachosha.
 
Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!

Hizi za kwetu choka mbaya tumezoea, kiboko ni Stanbic Bank (PSPF Bldg)............ Hasa Customer consultants
 
Mimi nimejifunza kwamba kuna unafuu kidogo wa huduma kwenye vibenki vidogodogo kama ACB, Mkombozi, nk
 
Hii inaitwa tips kaka na siiobrushwa

Yaani tatizo langu ukishanikera, hata mia mbili sikupi. The same I aaplied kwa trafic police akinisumbua sana kwa usmbufu barabarani aisee tutaenda kituoni ntalipa makosa yote ila uniandikie ile risit yao na sikupi hata jero.

Lakini mtu akinipa huduma nzuri, sidhani kama kuna mtu kati yetu ataacha kufurahi na kumuachia japo hela ya soda ingawa sio mazoea mazuri lakini inatokea pale mtu unapohudumiwa vizuri na ukijua mtu hategemei chochote kutoka kwako ila anakujali kama mteja na anatimiza wajibu wake.

Shule yangu ni ndogo sana, I mean ni dogo(Japo sasa hivi nasoma) ila kila nilipofanya kazi, ubora wa huduma yangu emekua msaada mkubwa sana kufahamiana na watu mbalimbali na hata kupata fursa za kupata kazi sehem ambazo kwa kweli isingekua rahizi kama vigezo na masharti vingezingatiwa.

Kuna kipindi nilikua nafanya kazi na wakenya, walikua wanasema "This is kenyan guy living in TZ" sikua napenda sana hiyo kauli kwa sababu wanaona sisi wa TZ hatuwajibiki kikamilifu.

Kazi yangu ya kwanza ilikua kwnye internet cafe, si jisifu ila huduma yangu ilikua kwenye kiwango cha kuridhisha kiasi kwamba wateja walikua wanadhani ile ofisi ni ya mama yangu na kumbe alikua bosi wangu. Na kutoka hapo cafe nilipata nafasi kwenye ofisi na huo ulikua ni mwanzo wa kujenga professional yangu hadi sasa hivi.

Nakumbuka kuna kipindi mkuu wa kitengo chetu mkenya aliandika barua kwa mkurugenzi akitaka niongezwe mshahara na nipandishwe daraja japo sio graduate, alijenga hoja na hilo lilifanyika. Na siku nilipoamua kuondoka hiyo kampuni baada ya kuwatumikia kwa miaka sita (japo haikua rahisi kunikubalia ombi langu), walinifanyia kasherehe kakuniagata na kwa kweli nipata bahati ya kusikia nikisifiwa sifa ambazo mara nyingi mtu husifiwa akiwa kwenye jeneza, hilo lilitaka kunifanya nibadili maamuzi yangu ya kuondoka.

Lengo sio kujisifu ila nilikua nataka kuonyesha jinsi ukifanya kazi yako bila shurutishi inavyokuletea manufaa binafsi.
 
Back
Top Bottom