munisijo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 1,127
- 944
Shida ya hawa jamaa, wanadhani wateja wao wote sijui ni walimu! Manake wana dharau za kijinga sana
Nyani aoni kundule .... acha kudharau waalimu .... so wewe waalimu umewaeka kundi gani?!
Shida ya hawa jamaa, wanadhani wateja wao wote sijui ni walimu! Manake wana dharau za kijinga sana
Kaka Kijakazi sikatai kwamba kuna waovu ndani ya chadema, ninachosema mimi ni kwamba ccm wana ridhaa ya kutuongoza katika masuala ya kitaifa, mambo kama haya hayakupewa kipaumbele sio kwakuwa hawayaoni (maana mara kadhaa nawasikia wakiyasema) ila hawajafanya kama tulivyo tarajia ili kulikomboa taifa. Tofauti na chadema,kwao ni suala la mtu mmoja mmoja. lakini suala hili lingechukuliwa kitaifa ingekuwa rahisi kuliwekea mikakati na sera kuanzia kwenye elimu,vipindi vya TV,radio na mijadala ya kitaifa n.k.tatizo ni kwamba haya matatizo utakayakuta pio ukienda kwenye Ofisi za CHADEMA, na hao wanaowatreat wateja vibaya na kuomba rushwa baadhi yao ni Wanachama wa CHADEMA, na wapo humu kutwa nzima wanamuita
Bw. Lowasa fisadi!
Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.
Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
Mimi nimejifunza kwamba kuna unafuu kidogo wa huduma kwenye vibenki vidogodogo kama ACB, Mkombozi, nk
Habari wadau!
Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
Nani kakudanganya wahudumu wa bar ni darasa la saba pekee? Wako kila level
Habari wadau!
Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
Nyani aoni kundule .... acha kudharau waalimu .... so wewe waalimu umewaeka kundi gani?!
Habari wadau!
Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
Kwa mtazamo wangu tatizo ni zaidi ya elimu ya customer service, watanzania wengi hatupendi kuwajibika kwenye maeneo yetu ya kazi. Ila kwa hali inavyoendelea na soko la ajira linavyozidi kuvamiwa na wageni tutabadilika tu.
Ushawahi kuona mzungu anasoma kitabu cha time management, au sijui how to be effective at work, anakushangaa kwa sababu hivyo ni vitu amejifunza tangu ngazi ya chini na anajua anachotakiwa kufanya na wajibu wake ni nini kama mfanyakazi/ mwajiriwa.
Sisi mtu una miaka 5 hadi 10 kazini unajigamba umehudhuria semina ya time management unabandika na cheti ofisini.
Sikatai kujifunza hivyo vitu, ila tunachelewa sana.
hawana wateja wengi, mie natumia FNB ie. first national bank ni ya south africa, hadi raha unavyohudumiwa....
Hamia Exim bank au Access bank ni full raha
Mimi nimejifunza kwamba kuna unafuu kidogo wa huduma kwenye vibenki vidogodogo kama ACB, Mkombozi, nk