Wafanyakazi wa NMB Bank!

Wafanyakazi wa NMB Bank!

Yaani tatizo langu ukishanikera, hata mia mbili sikupi. The same I aaplied kwa trafic police akinisumbua sana kwa usmbufu barabarani aisee tutaenda kituoni ntalipa makosa yote ila uniandikie ile risit yao na sikupi hata jero.

Lakini mtu akinipa huduma nzuri, sidhani kama kuna mtu kati yetu ataacha kufurahi na kumuachia japo hela ya soda ingawa sio mazoea mazuri lakini inatokea pale mtu unapohudumiwa vizuri na ukijua mtu hategemei chochote kutoka kwako ila anakujali kama mteja na anatimiza wajibu wake.

Shule yangu ni ndogo sana, I mean ni dogo(Japo sasa hivi nasoma) ila kila nilipofanya kazi, ubora wa huduma yangu emekua msaada mkubwa sana kufahamiana na watu mbalimbali na hata kupata fursa za kupata kazi sehem ambazo kwa kweli isingekua rahizi kama vigezo na masharti vingezingatiwa.

Kuna kipindi nilikua nafanya kazi na wakenya, walikua wanasema "This is kenyan guy living in TZ" sikua napenda sana hiyo kauli kwa sababu wanaona sisi wa TZ hatuwajibiki kikamilifu.

Kazi yangu ya kwanza ilikua kwnye internet cafe, si jisifu ila huduma yangu ilikua kwenye kiwango cha kuridhisha kiasi kwamba wateja walikua wanadhani ile ofisi ni ya mama yangu na kumbe alikua bosi wangu. Na kutoka hapo cafe nilipata nafasi kwenye ofisi na huo ulikua ni mwanzo wa kujenga professional yangu hadi sasa hivi.

Nakumbuka kuna kipindi mkuu wa kitengo chetu mkenya aliandika barua kwa mkurugenzi akitaka niongezwe mshahara na nipandishwe daraja japo sio graduate, alijenga hoja na hilo lilifanyika. Na siku nilipoamua kuondoka hiyo kampuni baada ya kuwatumikia kwa miaka sita (japo haikua rahisi kunikubalia ombi langu), walinifanyia kasherehe kakuniagata na kwa kweli nipata bahati ya kusikia nikisifiwa sifa ambazo mara nyingi mtu husifiwa akiwa kwenye jeneza, hilo lilitaka kunifanya nibadili maamuzi yangu ya kuondoka.

Lengo sio kujisifu ila nilikua nataka kuonyesha jinsi ukifanya kazi yako bila shurutishi inavyokuletea manufaa binafsi.

Umenena mkuu!!
 
Kweli mkuu, mabadiliko ni muhimu.Tusipende na kufurahia mafanikio yajapo bila kuwajibika na kufuata taratibu au kanuni .
 
Crdb ya chuo kikuu cha mlimani kuna mdada mweupe binti wa kimei ana huduma chafu sana
 
umenena kweli kabisa! watanzania ndivyo tulivyo.kujisikia kwingi kazi zero. mimi nilipata kuuliza hivi ni taasisi gani ya serikali inafanyakazi walau kwa kiwango cha 50%? kiukweli tupo chini sana kiutendaji.wengi tumekalia majungu na kutengeneza easy money.haya ni madhara ya ajira za upendeleo.siku moja nilienda NBC tawi la Mtwara nikawakuta wateja ka nane hivi lakini nilikaa almost one hour nasubiri kuhudumiwa. last week nikaenda TRA mtwara kubadili driving licence yangu ,tulikuwa watu wawili nikakaa dakika thelathini bila huduma huku anae takiwa kutuhudumia anaongea na simu kwa pozi utadhani ni mara yake ya kwanza kupigiwa simu na mwanamke! hao ndio watanzania bwana.ukienda bar huko waliko jaa darasa la saba ni shida kabisa customer care sifuri kabisa. ingekuwa huduma hizi zinatolewa na wazungu, mimi huku kwa watanzania nisikwenda kabisa,wanachosha.

Nani kakudanganya wahudumu wa bar ni darasa la saba pekee? Wako kila level
 
Mimi nimejifunza kwamba kuna unafuu kidogo wa huduma kwenye vibenki vidogodogo kama ACB, Mkombozi, nk

Hizi ni kwavile ni changa bado ngojea zisambae kama haya manguli watatu, NBC, CRDB na NMB uone habari yake
 
Yaani tatizo langu ukishanikera, hata mia mbili sikupi. The same I aaplied kwa trafic police akinisumbua sana kwa usmbufu barabarani aisee tutaenda kituoni ntalipa makosa yote ila uniandikie ile risit yao na sikupi hata jero.

Lakini mtu akinipa huduma nzuri, sidhani kama kuna mtu kati yetu ataacha kufurahi na kumuachia japo hela ya soda ingawa sio mazoea mazuri lakini inatokea pale mtu unapohudumiwa vizuri na ukijua mtu hategemei chochote kutoka kwako ila anakujali kama mteja na anatimiza wajibu wake.

Shule yangu ni ndogo sana, I mean ni dogo(Japo sasa hivi nasoma) ila kila nilipofanya kazi, ubora wa huduma yangu emekua msaada mkubwa sana kufahamiana na watu mbalimbali na hata kupata fursa za kupata kazi sehem ambazo kwa kweli isingekua rahizi kama vigezo na masharti vingezingatiwa.

Kuna kipindi nilikua nafanya kazi na wakenya, walikua wanasema "This is kenyan guy living in TZ" sikua napenda sana hiyo kauli kwa sababu wanaona sisi wa TZ hatuwajibiki kikamilifu.

Kazi yangu ya kwanza ilikua kwnye internet cafe, si jisifu ila huduma yangu ilikua kwenye kiwango cha kuridhisha kiasi kwamba wateja walikua wanadhani ile ofisi ni ya mama yangu na kumbe alikua bosi wangu. Na kutoka hapo cafe nilipata nafasi kwenye ofisi na huo ulikua ni mwanzo wa kujenga professional yangu hadi sasa hivi.

Nakumbuka kuna kipindi mkuu wa kitengo chetu mkenya aliandika barua kwa mkurugenzi akitaka niongezwe mshahara na nipandishwe daraja japo sio graduate, alijenga hoja na hilo lilifanyika. Na siku nilipoamua kuondoka hiyo kampuni baada ya kuwatumikia kwa miaka sita (japo haikua rahisi kunikubalia ombi langu), walinifanyia kasherehe kakuniagata na kwa kweli nipata bahati ya kusikia nikisifiwa sifa ambazo mara nyingi mtu husifiwa akiwa kwenye jeneza, hilo lilitaka kunifanya nibadili maamuzi yangu ya kuondoka.

Lengo sio kujisifu ila nilikua nataka kuonyesha jinsi ukifanya kazi yako bila shurutishi inavyokuletea manufaa binafsi.

Unavyosema utahakikisha police wamekupa risiti na kulipia makosa yote hujui kama kuna risiti feki na ukiangukia kwe hii feki utakuwa umewaachia dau kubwa zaidi?
 
Unavyosema utahakikisha police wamekupa risiti na kulipia makosa yote hujui kama kuna risiti feki na ukiangukia kwe hii feki utakuwa umewaachia dau kubwa zaidi?

Yaani ni lazima niende nae kituoni, na mara nyingi kadri mnavyozidi kusogea kituoni ndio anasisitiza myamalizie njiani?
I never relax around traffic police. wanaangalia na mtu wa kumbambikia risit feki bahati mbaya huwa natembea na cheki book akishaniandikia namwambia anipe account hapo ndio nawachefua kabisaaaaaaa.
 
Mkuu Kijakazi, kwa ufupi suala zima la ubora wa huduma au kusikiliza wateja (Customer service) hapa kwetu ni tatizo kubwa sana, na sio NMB tu. Nenda bar, nenda mgahawani nenda kwenye makampuni ya simu, mambo ni yaleyale.

Kiasi kwamba mtu akikuhudumia vizuri unashangaa, tena unatamai umuulize wewe ni mtanzania? We need to change
Mkuu ni kweli kabisa hakuna "customer service". Siku moja niliingia kwenye duka moja kule Kigoma, nilikoma ubishi! Nimeingia dukani hamna kitu cha karibu wala kuniuliza ninahitaji bidhaa gani! Mwenye duka alikuwa anaendelea tu na mambo yake! Ilinibidi nigeuze nijaribu duka lililofuatia!
 
Wengi wao ni watoto wa mjomba, shangazi, wa "Mshua" kazi kwa mkono mrefu n.k Tutafanyeje wakati system imeingiliwa na virus.
 
hakuna kitu kinaboa umeunga foleni unafika kaunta unaambiwa hili sio dirisha la kudeposit cheque.
 
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote

Shida ya hawa jamaa, wanadhani wateja wao wote sijui ni walimu! Manake wana dharau za kijinga sana
 
Watanzania wote tuko hivyo, sio hao tu nenda kila Ofisi mambo ni hayo hayo tu, halafu wamejaa humu wanailaumu CCM kwa kila kitu!
That is why we need M4C.... ccm italaumiwa milele kwakuwa haijawahai kuwa na uchungu na taifa hili,wakitaka wasilaumiwe waonyeshe wanachukia matatizo ya kitaifa kama hili. Nani alaumiwe kama sio kiongozi wa familia
 
tatizo ni kwamba haya matatizo utakayakuta pio ukienda kwenye Ofisi za CHADEMA, na hao wanaowatreat wateja vibaya na kuomba rushwa baadhi yao ni Wanachama wa CHADEMA, na wapo humu kutwa nzima wanamuita
Bw. Lowasa fisadi!
 
NMB NI JANGA LA KITAIFA. huduma zao niza hovyo mno
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au
mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza
wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full
nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni
yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote
 
We ushuzi nini kafie mbele na maujinga yako ya kuuwatetea wapuuzi wenzako.

Ndio yale tunayoyazungumza hapa tabia za wafanyakazi, sasa umkute mdada kama huyu dada white kwenye hizo bank zinazolalamikiwa kwa huduma mbovu kama Serikali ya Kikwete ndio utajuta.

Hata maviongozi ya hapa Tanzania nayo hovyo majeuri, maongo na majinga mengi yao kwa majibu yao ukiyasikiliza tu utayajua kuwa ni majinga jinga na utaanza kushangaa wamepataje kufikia mpaka hapo alipo kwa majibu ya dharau?
 
NMB ina wateja wengi sana ndio mana ata huduma inakuwa hafifu.Sema pamoja na yote wamesaidia watu wengi kwa ajili ya mikopo chee sawa na bure uko kwingine walikua wananichekea na kuniletea umaskini kwa matozo makubwa na riba kubwa.Mi niacheni tu NMB.Labda izi huduma za kuweka pitia mpesa na kutoa zitawasaidia.Wafanyakazi inabidi waelimishwe zaidi ila kiukwel imetoka mbali na iko pazuri kisasa zaidi ata ya zamani.matawi mapya pia inawasaidia kupunguza foleni.
 
ushawahi kwenda pale crdb mlima ukakutana na yule binti mweupeeeee...sijui wa mkurugenzi!!!
Mdada akiwa anamegwa na bosi huvaa cheo cha Bosi aliyemmega kazi kwenu wafanyakazi wenzake na wateja
 
Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote

Waafrika ndivyo walivyo. Utaumiza kichwa chako bure kufikiria akili za waafrika. Usiwalaumu, ni laana waliyopewa kutoka mbinguni baada ya kumchungulia na kumcheka mzazi mmoja enzi hizo.

Habari wadau!

Wafanyakazi wa hii Bank nimewanyooshea mikono.Haijalishi ni tawi gani au mkoa gani nitaenda nitakayo kutana nayo ni yaleyale. Naishia kujiuliza wanastress, mishara midogo au ndio hulka zao??Maana ni full nyodo+service kama amelazimishwa vile,unaweza susa na shida ni yako.Sijui ni kwangu tu au ni kwenu nyote

Of course hawajali kitu kwa sababu wanapata pesa nyingi sana kwa kutoa siri za wateja ili kutuibia amana zetu kwenye ATM!!!!!!!!!!!!!!!!
 
NMB loh sina hamu nao kabisa- always being mood-less. Nilienda kwa lengo la ku-update acount yangu wee nilikoma mwenyewe tena asubuhi - dada kanuna na kanipa liform langu huko, kumuuliza nimekosea wapi anadai ooh angalia maelezo - Nikamwambia maelezo nimesoma yote to the point shall we go through it together and u higlight the area in question, wee akasema nenda kasomee kule nina mstari mrefu. Nilipotoka hapo straight kwa customer care manager --- walau nikasikilizwa baada ya kufoka sana. Sasa ni wangapi wataenda unga foleni kwa customer care manager?

Same day I made my decision to never bank with NMB. Makampuni yetu yajifunze customer care. na mteja ukimuudhi side effect ni kubwa , maana mi nilishawishi na naendelea kushawishi wote wenye acount nmb (kazini, ndugu, rafiki) waachane nao. So the multiplier effect ya walivyonimisstreat itandelea kuwala tu.
 
Back
Top Bottom