Wafanyakazi wa ndani si watumwa wawe wanaheshimiwa kama binadamu aliye huru

Mimi msela wa kitaa nawapata hapa hapa mtaani tuu, tena tume wa batiza jina tuna waita kuku wa kienyeji weeee watulivu hao yani raha dunia
Hii inaitwa unyanyasaji wa ki ngono. Umempata kimapenzi huyu binti kwakua ni mfanya kazi wako.

Maisha ni siri ya Mungu, pamoja na uwezo ukionao ulishawaza mtoto wako anaweza kuwa mfanya kazi wamtu siku moja na akafanyiwa haya unayofanyia wengine.

Hii ndiyo ethics za kazi, kufanya mambo sahihi hata pale ambapo huonekani.
 
Wanyaturu wana rohombaya sana sijawai kuona aise wakati wa kuwa chumbia huwa wanajifanya ni wastarabu ngoja wafike ndani weee utaisoma namba mzeee kama huna kichwa ngum utaona mengi ya kuumiza moyo
Sasa mkuu nifanye aje na umuri hu 39 ntaanza je mchakato wa kupata mke mgine na kufanya zinaa siwezi.....inabidi nimvumilie tu.....ila Yule mama ana roho mbaya kweli kweli kuna siku almnyima cha kula kisa hakushiriki kwenye kazi alienda kwa ndg zake hapo jilani kuwajulia hali, wakati almuomba ruhsa, sijui kama Wanyaturu wote wako hivo au ni wakwangu tu?
 
Dada anapata say, 50,000/- lakini wewe hujapiga mahesabu mengi mengine;

1. Chumba anakaa roughly 50,000 kwa mwezi.

2. Chakula anakula sawa na mwanangu (sibagui kwa lolote), say 150,000 kwa mwezi.

3. Nikinunua nguo za wanangu naweka bajeti yake ndogo hapo.

4. Akiumwa ni jukumu langu kumpeleka hospitali. Siwezi kukupa estimation.

5. Akisafiri likizo nampa nauli, nampa zawadi apeleke kwa wazazi.

6. Uhuru huo unaosema sewezi kumpa coz yupo chini ya paa langu, anaweza kuwa na boyfriend lakini haruhusiwi kunjunjana ndani kwangu(atawafundisha nini watoto).

7. Siwezi kumkatia bima ya afya, ref. scales za bima kwa 18+, hata wazazi hatuziwezi sema ajira ndio zinatuokoa.

8. Wengine wanakuja na tabia mbovu (wamefunzwa shirka huko watokako) hivyo ni lazima kabla ya kwenda nae sawa ujuwe unaishi na binti wa aina gani.
Wewe mnyime uhurutu ila ujuie mabaharia tupo hapa jirani tuna vizia tumdatishe tuanze kula mzigo taratibu bila kelele
 
Wanawake ndo adui wa kuu wa wafanya kazi wa ndani.....mke wangu anatimua wafanya kazi kila baada ya miazi miwili mitatu eti hataki mazoea nao.

Nashindwa kuwakalili majina kila mda kidogo naona mpya, huyu mama (mke wangu) Ana roho mbaya sijapata kuona ningekua sijazaa nae ningemkimbia.
Ni kwa wafanyakazi tu au ndivyo alivyo?
 
Da h! hivyo ni kumruhusu angonoke ovyo na wengi walivyo wajinga sasa!
Mpaka aibu na kufundisha..unyambi watoto..

Hawa si wa kunyanyaswa ila ni wa kusimamiwa..wengi hawajielewi.. ...
Mbona ilo ni jambo dogo. Kama unajua hivyo ukimfikisga hom tu unampereka kwenye vituo vya trust ama hospital wanamuwekea njiti ili asiweze kubeba ujauzito. Kwan uwez mchunga kila siku ila unaweza kuzuia asibebe mimba
 
Huyo dawa yake endelea kumtotolesha vitoto mpaka vifike 10 akili itamkaa kichwani tuuu hakuna namna tena
Hapana Yule nimzigo hata hao watoto nisingemzalisha na jutia sina furaha mimi sipendi mtu anae nyanyasa wengine pia sipati wageni kutoka kwetu au kwao kwasabb ya roho yake mbaya watu hawakae kwangu, ile hasara tosha tu
 
Hapana Yule nimzigo hata hao watoto nisingemzalisha na jutia sina furaha mimi sipendi mtu anae nyanyasa wengine pia sipati wageni kutoka kwetu au kwao kwasabb ya roho yake mbaya watu hawakae kwangu, ile hasara tosha tu
Usione aibu kumuondoa. Sahiv unasema watoto bado wadogo ila watakapo haribika ndio utakapo sema bora ningemuondoa niwalee mwenyewe
 
Ngoja nimuite dada aje anishushie net.halafu haya mashuka alotandika nishasema no ya wageni aje achenji nilale mie
 
Kutokana na hali ya maisha wafanya kazi wa ndani wengi hukaa kwa waajiri wao. Hii hutokana na waajiri wengi kutomudu kulipa wafanyakazi kima cha chini cha mshahara. Pia kuepuka usumbufu. Fikiria mfanyakazi anaishi Mbagala awahi usafiri kufika Mbezi ili muajiri amkabidhi watoto na yeye awahi kazini si rahisi.

Kutokana na hali ya maisha si wengi pia wanaomudu kumpatia mfanyakazi quarter yake ya kuishi au hata chumba chake tu awe na faragha. Wengi wetu hulaza wafanyakazi kwenye chumba kimoja na watoto au sebuleni.

Hawa wafanyakazi wengi wana umri wa miaka 18+. Kibaiolojia umri huu binadamu anakuwa ameshapevuka. Kuna wale wanao chunguza begi au sanduku la mfanyakazi. Akikuta picha zake za marafiki wa jinsia tofauti wanakua wakali.

Kumbuka hapo umevunja haki ya faragha. Kila binadamu anahitaji sehemu ya kujistirI. Hii ni moja ya tofauti zetuna wanyama.

Kila binadamu ana haki ya kupenda na kupendwa. Kama hajaingilia ndoa yako maisha yake ya mapenzi haya kuhusu. Unaweza kumpa muongozo kama mzazi au kaka/dada mkubwa.

Wafanyakazi wa ndani si watumwa ni binadamu huru.
pole sana
 
Back
Top Bottom