Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,772
- 13,449
Sawa ila hizo package zinaendana na kaz anayoifanya, ila uamini jaribu siku moja kubaki home angalau wiki tu alaf yeye umruhusu aende likizo kwao ndio utaona hadha anayopitia tena usiombe uwe na watoto wadogo utataman ukimbie nyumbaKulingana na maisha yetu baadhi ya watanzania. Hakuna mtu anaefaidi kama dada wa kazi au kaka wa kazi. Ni baadhi sio woote.
Unakuta dada wa kazi mshahara ni kati ya elfu 30 mpaka elfu 50.
Anakula milo mitatu, anaoga maji, umeme bure wakat mwingine mavazi ama taulo za kihihufadhi(pedi) anapewa bure akitibiwa matibabu bure kama vile anabima...