Wafanyakazi Tanzania ivunjeni TUCTA!!

Wafanyakazi Tanzania ivunjeni TUCTA!!

View attachment 497310

Katibu Mkuu wa TUCTA Yahya Msigwa akikabidhiwa fomu ya Kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kura ya maoni ndani ya CCM mwaka 2015. Jee litakapokuja suala la kuhatarisha maslahi ya chama chake kuendelea kubaki madarakani dhidi ya yale ya wafanyakazi atasisimama upande upi? Kwa sasa ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa.
Kwa hili namshauri huyu bwana afungashe virago kabla hajazidi kuharibu
 
Kama hujui kwa ufasaha:
1. Tamko la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, hufai kuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi.
2. Kama hujui ILO Conventions kuhusu Haki za Wafanyakazi hustahili kuwa kiongozi wao
3. Kama wewe ni mwanachama na kiongozi au kada wa chama cha siasa utakuwa na comflict of interest, hufai kuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi.
 
Wafanyakazi ndo hawajielewi.. na wala si TUKUTA.. wafanyakazi ni vimeo.. yaani na tucta inaangalia.. hakuna watu wa maana wa kuwapigania.. wako kizani achaneni nao mazwazwa hawa..
 
Chama chochote cha wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu, ni mhimili ulio kati kuangalia maslahi ya Mwajiriwa na Mwajiri. Lakini kwa kuwa vyama vya wafanyakazi hapa nchini mwetu Historia yake inafungamanishwa na siasa za nchi hii, vimekuwa kama ni sehemu ya Mwajiri na kazi yake kubwa imekuwa ni "kuwaelewesha" wafanyakazi ni kwa nini jambo fulani linashindikana kutekelezwa na Mwajiri.

TUCTA ambayo ni kama shirikisho la Vyama vya wafanyakazi Tanzania, imekuwa haionekani kama inafanya jambo lolote la maana kwa maslahi ya wafanyakazi zaidi ya kuandaa sherehe za Mei Mosi na kuandika risala ndeefu ambayo atasomewa "Mgeni Rasmi" ambaye mara nyingi kama si zote hutoka serikali na aghalabu huwa Rais wa Nchi!

Baada ya "majibu" ya Mgeni Rasmi TUCTA huondoka na kusubiri tena mwaka unaofutia kuleta tena malalamiko yao kwa "Mwajiri Mkuu" na kama kawaida hutolewa ahadi na mwisho wa siku hakuna kinachobadilika! Hivi TUCTA kazi yake ni hiyo tu ya kuandaa sikukuu ya Mei Mosi?

Msimamo wa TUCTA kuhusu kwa mfano kwa mambo kama kusimamishwa kwa wafanyakazi kutokupandishwa daraja, kuzuiwa kubadili aina yaka kazi, kutumiwa kwa fedha za mifuko ya Hifadhi ya jamii kwa miradi ambayo wafanyakazi hawafaidiki nayo, wafanyakazi wa sekta binafsi kukosa mikataba inayoeleweka na kazi zinazotakiwa kufanywa na watanzania kufanywa na watu wa nchi za nje ukoje?

Hivi leo TUCTA ikivunjwa ni kitu gani ambacho wafanyakazi wa Tanzania watakikosa kwa kutokuwepo kwa TUCTA? Wakati naangalia Mgomo wa Madaktari na Waalimu kule Kenya, nikajiuliza kama sisi Tanzania tuna vyama vya wafanyakazi imara kama vya wenzetu Kenya ambavyo vinaweza kuendesha migomo kwa siku zaidi ya 100 bila ya kutetereka!!
Wazi lako ni zuri sana lakini elewa yafuatayo.
Vyama vya wafanyakazi na jumuiya za vyama vya wafanyakazi uwepo wake si kwa matakwa ya serikali na serikali ingekuwa na mamlaka basi ingeweza kuvifuta kabisa ila kwa kuwa havikuundwa kwa hiyari ya serikali lazima viendelee kuwepo.

Serikali inachofanya kwa kuwa haina uwezo wa kuvifuta ni kuvidominate vikose nguvu na kutunga sera za mabavu pia na kudumbukiza viongozi wawatakao wao wakitumia pesa za serikali. Pia ipo mbinu ya kuwarubuni viongozi wa vyama hivyo kwa kuwaahidi vyeo serikalini iwapo watakubali kuhujumu mambo fulani kwa faida ya serikali.

Mfumo uliopo wa serikali ya sasa hata kama wewe ungekuwa kiongozi wa tucta bado ungepata taabu sana. Kiongozi wa juu anapodominate kona zote huku akiongea zaidi kuliko kutenda na kuvunja na kulitumia bunge kama mhuri tu badala ya bunge kutumika kuweka mambo sawa ya haki za watumishi ni zaidi ya uchuro.

Vyama vyote vya wafanyakazi ni vizuri na malengo yao ni mazuri kwa manufaa ya mfanyakazi. Lakini ujue viko ktk mpito. Kama umuajiri mlinzi akulindie mali zako lakini huyo huyo mlinzi akawa mwizi utafanyeje huku mkataba ukimruhusu kuendelea kuwa mlinzi.

Mfumo wa nchi na utawala unaoongoza nchi ndiyo unaoweza kuvifanya vyama vya wafanyakazi kuonekana ni bora.Unaposema nchi fulani vyama vya wafanyakazi vilivyomo viko imara na bora basi automatically sifa hizo ni sifa za bunge imara lililopo nchini humo na rais wake. Chukulia mfano Kenya.

Nikushauri tu badala ya kuilaumu tucta onesha namna ambavyo tucta wangefanya na useme kipi ambacho tucta walipaswa kufanya na hawajafanya. Ili Tucta wafanikishe mipango yao lazima wapitie bungeni sasa imagine wabunge tulionao sasa hawana utofauti na mlinzi asiye na silaha yaani ni kelele tu atamngata nani na nani atakayemuogopa. Tuna bunge bubu linaloongozwa kwa hisia tu na njaa ya tumbo. Uwe great thinker.
 
View attachment 497310

Katibu Mkuu wa TUCTA Yahya Msigwa akikabidhiwa fomu ya Kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kura ya maoni ndani ya CCM mwaka 2015. Jee litakapokuja suala la kuhatarisha maslahi ya chama chake kuendelea kubaki madarakani dhidi ya yale ya wafanyakazi atasisimama upande upi? Kwa sasa ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa.
Wazi lako ni zuri sana lakini elewa yafuatayo.
Vyama vya wafanyakazi na jumuiya za vyama vya wafanyakazi uwepo wake si kwa matakwa ya serikali na serikali ingekuwa na mamlaka basi ingeweza kuvifuta kabisa ila kwa kuwa havikuundwa kwa hiyari ya serikali lazima viendelee kuwepo.

Serikali inachofanya kwa kuwa haina uwezo wa kuvifuta ni kuvidominate vikose nguvu na kutunga sera za mabavu pia na kudumbukiza viongozi wawatakao wao wakitumia pesa za serikali. Pia ipo mbinu ya kuwarubuni viongozi wa vyama hivyo kwa kuwaahidi vyeo serikalini iwapo watakubali kuhujumu mambo fulani kwa faida ya serikali.

Mfumo uliopo wa serikali ya sasa hata kama wewe ungekuwa kiongozi wa tucta bado ungepata taabu sana. Kiongozi wa juu anapodominate kona zote huku akiongea zaidi kuliko kutenda na kuvunja na kulitumia bunge kama mhuri tu badala ya bunge kutumika kuweka mambo sawa ya haki za watumishi ni zaidi ya uchuro.

Vyama vyote vya wafanyakazi ni vizuri na malengo yao ni mazuri kwa manufaa ya mfanyakazi. Lakini ujue viko ktk mpito. Kama umuajiri mlinzi akulindie mali zako lakini huyo huyo mlinzi akawa mwizi utafanyeje huku mkataba ukimruhusu kuendelea kuwa mlinzi.

Mfumo wa nchi na utawala unaoongoza nchi ndiyo unaoweza kuvifanya vyama vya wafanyakazi kuonekana ni bora.Unaposema nchi fulani vyama vya wafanyakazi vilivyomo viko imara na bora basi automatically sifa hizo ni sifa za bunge imara lililopo nchini humo na rais wake. Chukulia mfano Kenya.

Nikushauri tu badala ya kuilaumu tucta onesha namna ambavyo tucta wangefanya na useme kipi ambacho tucta walipaswa kufanya na hawajafanya. Ili Tucta wafanikishe mipango yao lazima wapitie bungeni sasa imagine wabunge tulionao sasa hawana utofauti na mlinzi asiye na silaha yaani ni kelele tu atamngata nani na nani atakayemuogopa. Tuna bunge bubu linaloongozwa kwa hisia tu na njaa ya tumbo. Uwe great thinker.
 
View attachment 497310

Katibu Mkuu wa TUCTA Yahya Msigwa akikabidhiwa fomu ya Kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kura ya maoni ndani ya CCM mwaka 2015. Jee litakapokuja suala la kuhatarisha maslahi ya chama chake kuendelea kubaki madarakani dhidi ya yale ya wafanyakazi atasisimama upande upi? Kwa sasa ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa.
Na huyu hajaingia ktk uongozi wa tucta kwa bahati mbaya it was planned for him to be there for gvt benefit and his own profit.Ukiona vyaelea vimeundwa.Watu hawagombei uongozi kwa bahati mbaya. Na akitokea mtu mahiri ambaye hana interest za kuibeba serikali ktk kukandamiza watumishi huundiwa mizengwe ili asigombee na ikiwezekana kufukuzwa kazi kabisa (imagine yaliyomkuta Bwana Olouch aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chama cha walimu tz baada ya kuasisi na kuwatumikia walimu vyema alinyimwa kibali cha kurudi kugombea ili mwanya wa kuchomeka wanaowataka upatikane ingawaje sijui kama waliipo ni wadhaifu ama laa).
 
Waulize wafanyakazi kama kuingia kwenye vyama vya wafanyakazi ni hiyari kama kujiunga kwenye vyama vya siasa!! Uhiyari upo kinadharia tu kwani kuna mambo mengi mfanyakazi hawezi kusaidiwa bila ya kuwa kwenye chama cha wafanyakazi cha sekta husika. Ufilsikaji wa mawazo huanza kwa kutokulielewa jambo lenyewe linalojadiliwa!!
Kila chama hukatwa 1% kwenda tucta na lazima kiwe na mjumbe wake.
 
View attachment 497310

Katibu Mkuu wa TUCTA Yahya Msigwa akikabidhiwa fomu ya Kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kura ya maoni ndani ya CCM mwaka 2015. Jee litakapokuja suala la kuhatarisha maslahi ya chama chake kuendelea kubaki madarakani dhidi ya yale ya wafanyakazi atasisimama upande upi? Kwa sasa ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa.
Sasa nimeelewa kwanini May Mosi ilifanyikia Iringa
 
Hivi Kuna kauli yoyote kutoka kwa TUCTA juu ya sheria ya 25% pension au mpaka Mei mosi ndo wataijumuisha kwenye risala?
 
Chama chochote cha wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu, ni mhimili ulio kati kuangalia maslahi ya Mwajiriwa na Mwajiri. Lakini kwa kuwa vyama vya wafanyakazi hapa nchini mwetu Historia yake inafungamanishwa na siasa za nchi hii, vimekuwa kama ni sehemu ya Mwajiri na kazi yake kubwa imekuwa ni "kuwaelewesha" wafanyakazi ni kwa nini jambo fulani linashindikana kutekelezwa na Mwajiri.

TUCTA ambayo ni kama shirikisho la Vyama vya wafanyakazi Tanzania, imekuwa haionekani kama inafanya jambo lolote la maana kwa maslahi ya wafanyakazi zaidi ya kuandaa sherehe za Mei Mosi na kuandika risala ndeefu ambayo atasomewa "Mgeni Rasmi" ambaye mara nyingi kama si zote hutoka serikali na aghalabu huwa Rais wa Nchi!

Baada ya "majibu" ya Mgeni Rasmi TUCTA huondoka na kusubiri tena mwaka unaofutia kuleta tena malalamiko yao kwa "Mwajiri Mkuu" na kama kawaida hutolewa ahadi na mwisho wa siku hakuna kinachobadilika! Hivi TUCTA kazi yake ni hiyo tu ya kuandaa sikukuu ya Mei Mosi?

Msimamo wa TUCTA kuhusu kwa mfano kwa mambo kama kusimamishwa kwa wafanyakazi kutokupandishwa daraja, kuzuiwa kubadili aina yaka kazi, kutumiwa kwa fedha za mifuko ya Hifadhi ya jamii kwa miradi ambayo wafanyakazi hawafaidiki nayo, wafanyakazi wa sekta binafsi kukosa mikataba inayoeleweka na kazi zinazotakiwa kufanywa na watanzania kufanywa na watu wa nchi za nje ukoje?

Hivi leo TUCTA ikivunjwa ni kitu gani ambacho wafanyakazi wa Tanzania watakikosa kwa kutokuwepo kwa TUCTA? Wakati naangalia Mgomo wa Madaktari na Waalimu kule Kenya, nikajiuliza kama sisi Tanzania tuna vyama vya wafanyakazi imara kama vya wenzetu Kenya ambavyo vinaweza kuendesha migomo kwa siku zaidi ya 100 bila ya kutetereka!!
Toa mwongozo wanaanzaje
 
Tazama DENI la jumla ya Tsh trilioni 8 ambazo serikali ya kifisadi ya CCM wamechota kutoka mifuko hii ba kuiua halafu makada wa CCM wanaoongoza TUCTA wanakubali serikali yao ipore mafao ya wastaafu ili kufidia deni hili. Pia mkumbuke CCM imechota jumla ya Tsh milion 600+ kwa ajili ya kampeni na kununua wapinzani kutoka mifuko hiyo hiyo. Hii haikubaliki kabisa.
 
uongozi umekosa chochote hata kuwafariji wafanyakazi kwa haya yanayoendelea. kutoa neno lolote imekuwa tabu. sasa ni bora wafanyakazi wasikatwe chochote kuchangia chama cha wafanyakazi
 
Chama chochote cha wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu, ni mhimili ulio kati kuangalia maslahi ya Mwajiriwa na Mwajiri. Lakini kwa kuwa vyama vya wafanyakazi hapa nchini mwetu Historia yake inafungamanishwa na siasa za nchi hii, vimekuwa kama ni sehemu ya Mwajiri na kazi yake kubwa imekuwa ni "kuwaelewesha" wafanyakazi ni kwa nini jambo fulani linashindikana kutekelezwa na Mwajiri.

TUCTA ambayo ni kama shirikisho la Vyama vya wafanyakazi Tanzania, imekuwa haionekani kama inafanya jambo lolote la maana kwa maslahi ya wafanyakazi zaidi ya kuandaa sherehe za Mei Mosi na kuandika risala ndeefu ambayo atasomewa "Mgeni Rasmi" ambaye mara nyingi kama si zote hutoka serikali na aghalabu huwa Rais wa Nchi!

Baada ya "majibu" ya Mgeni Rasmi TUCTA huondoka na kusubiri tena mwaka unaofutia kuleta tena malalamiko yao kwa "Mwajiri Mkuu" na kama kawaida hutolewa ahadi na mwisho wa siku hakuna kinachobadilika! Hivi TUCTA kazi yake ni hiyo tu ya kuandaa sikukuu ya Mei Mosi?

Msimamo wa TUCTA kuhusu kwa mfano kwa mambo kama kusimamishwa kwa wafanyakazi kutokupandishwa daraja, kuzuiwa kubadili aina yaka kazi, kutumiwa kwa fedha za mifuko ya Hifadhi ya jamii kwa miradi ambayo wafanyakazi hawafaidiki nayo, wafanyakazi wa sekta binafsi kukosa mikataba inayoeleweka na kazi zinazotakiwa kufanywa na watanzania kufanywa na watu wa nchi za nje ukoje?

Hivi leo TUCTA ikivunjwa ni kitu gani ambacho wafanyakazi wa Tanzania watakikosa kwa kutokuwepo kwa TUCTA? Wakati naangalia Mgomo wa Madaktari na Waalimu kule Kenya, nikajiuliza kama sisi Tanzania tuna vyama vya wafanyakazi imara kama vya wenzetu Kenya ambavyo vinaweza kuendesha migomo kwa siku zaidi ya 100 bila ya kutetereka!!
Kwa kweli hakuna maana ya kua na TUCTA, THTU CWT wala RAAWU vyote havina maana wanaiba tu hela za wafanyakazi wakati hakuna cha maana wakifanyacho
 
TUCTA sio chama cha wafanyakazi. Ni shirikisho la vyama vya wafanyakazi.
Hakuna mtumishi ambaye ni mwanachama wa TUCTA.
TUGHE, TALGWU, TUICO ni baadhi ya vyama vya wafanyakazi ambavyo ni washirika wa TUCTA
Niko ni kipindi cha viongozi wa vyama vya wafanyakazi kuonesha uwezo wao wa kupigania maslahi ya Wafanyakazi
Lakini bado najiuliza. Ni kwanini Serikali yetu imeleta kanuni hizi mbaya kwa wafanyakazi wa Taifa hili?!
 
Back
Top Bottom