Wafanyakazi, mishahara ya July vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi, mishahara ya July vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mwl frank, Jul 29, 2012.

 1. mwl frank

  mwl frank Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  mishahara ya mwezi huu kwa watumishi wa umma bado hadi leo,tatizo ni nini wakuu! na ni kwa nchi nzima au kuna idara zingine wameisha uona?
   
 2. z

  zee la weza Senior Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huku iringa bado hatujapata(walimu), kwa taarifa nilizopata, wizara inasubiri upepo wa mgomo wa walimu, wakigoma tu mishahara haitatolewa. mimi ni mwalimu nitaunga huo mgomo mpaka kieleweke kwasababu nina uhakika navyeti vyangu. Walimu wengi wanaogopa kugoma kwasababu wana vyeti feki.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mwalimu kwani lazima kila mwezi ulipwe? Jitoleeni mjenge taifa lenu.
   
 4. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  July nikawaida mishahara kuchelewa kwaajili ya marekebisho na nyongeza za mishahara.Kazi hii inafanywa kwa umakini ili mtua aongezewe stahili yake bila kuchanganywa na yamtu mwingine aidha kwa kupunjwa au kuongezwa asivyostahili. Ni kazi inayohitaji umakini.
   
 5. N

  Njangula Senior Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I see it is very bad we are starving lakini mgomo usonge mbele. Kwani idara ambazo si za ualimu wamepata?
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mchumi daraja la kwanza! my ...ss!
   
 7. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,213
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280  umenena
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mimi sio mchumi, labda unanifanisha na mtu. Mimi ni nuclear scientist, nina utaalamu pia wa WMD kutoka Marekani.
   
 9. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  we unataka wakale polisi? mikopo utawalipia wewe? watoto wao utawasomesha? bill zao utawalipia? pesa za matumizi utawapa? mambo za bure hakuna siku hizi,kila kitu kinwa ni bure basi wangejitolea kufanya bure
   
 10. B

  Bulah JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  walimu wa masasi wameshalipwa mbona....! mshahara ni haki ya kila mafanyakazi.... haiusiani na mgomo
   
 11. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  CC tuliochukua mshahara wa jumla jumla,hatumo ktk kusubiria mshahara
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa sijui, kumbe hivyo? Basi walipwe.
   
 13. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Mshahara umechelewa tu mmeanza kuuliza, je hayo mafao mtaweza kweli kusubiri mpaka ufikishe miaka 55?????
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Haya ndiyo mawazo mgando ambayo tunatakiwa kuyafuta vichwani mwetu.
   
 15. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mshahara mpaka tarehe mosi agost. Kuna system mpya inaanza kutumika serikalini ... epica... kwa hiyo wanataka ianze kusoma mishahara tarehe mosi.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Vipi taasisi nyingine za umma na wizarani mshalipwa? Bora sisi yani tar 21 ushavuta mpunga wako fasta!!
   
 17. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hatujapata mkuu! hali ni mbaya kweli kweli, mshahara kiduchu na bado unacheleweshwa tena.Hivi Botswana hawahitaji Waalimu? nisaidieni jamani.
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani hiyo nyongezxa ni kitu cha ghafla? Serikali inakuwa imeshajua miezi mingi kabla kuwa itaongeza mishahara, kwa nini ichelewe kufanya hesabu. Au, kwa nini wasilipe mishahara kama kawaida na nyongeza ije kwenye mshahara wa mwezi ujao?
   
 19. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Vipi mkuu, kwenye mchakato wa uchimbaji wa Uranium umebahatika kuhusika? achilia mbali kuendelea kuibiwa kama Taifa, Afya zetu zitanusurika kweli? au Mali mbele Mauti Nyuma?
   
 20. mwl frank

  mwl frank Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  nafikiri mgomo ni wa walimu,je na idara nyingine zinaingiaje kwenye kucheleweshwa?
   
Loading...