Wafanyabiashara Arusha wafunga Maduka ,waandamana ,kisa Machinga

Mbona hii game simple, nipo Mtwara nimeamua kupanga 3/4 ya bidhaa zangu nje ya duka, nawalipa wamachinga kwa siku wananiuzia bila EFD wala shangazi yake EFD. Maana yake 1/4 ya bidhaa zilizobaki zipo ndani kushikilia frame tu. Na ukija kama sikujui ukiuliza bidhaa nakuambia sina, hata kama unaona ipo! Mpo hapo?
Safi sana, hiyo ndio dawa, wote tuuzie bidhaa chini bila EFD, tuone sasa kama hiyo 20k ndio itaendesha nchi
 
Mbona hii game simple, nipo Mtwara nimeamua kupanga 3/4 ya bidhaa zangu nje ya duka, nawalipa wamachinga kwa siku wananiuzia bila EFD wala shangazi yake EFD. Maana yake 1/4 ya bidhaa zilizobaki zipo ndani kushikilia frame tu. Na ukija kama sikujui ukiuliza bidhaa nakuambia sina, hata kama unaona ipo! Mpo hapo?
Hongera maisha yakibadilika badilika nayo
 
Duh hapo ni mbombo ingafu 50 kwa 50 ngoja tuone movie inaendaje
 
Dah hatari sana mtu wangu hii nchi ukisema ufuate sheria utajikuta unarudi kijijini kwenu bila kupenda ila mkuu ongera sana kwa kujiongeza
Mbona hii game simple, nipo Mtwara nimeamua kupanga 3/4 ya bidhaa zangu nje ya duka, nawalipa wamachinga kwa siku wananiuzia bila EFD wala shangazi yake EFD. Maana yake 1/4 ya bidhaa zilizobaki zipo ndani kushikilia frame tu. Na ukija kama sikujui ukiuliza bidhaa nakuambia sina, hata kama unaona ipo! Mpo hapo?
 
Hivi hapa nchini wamachinga ni wengi kuliko wafanyabiashara? Kundi gani linapiga kura lipi halipigi?
 
Rais amesema wapange kila mahali hadi kwa RAS. CCM mbele kwa mbele
 
Tena mwingine kwa ukali anakugombeza utamchafulia uji wakati kaweka njiani. Mwenye sinia la karanga na maembe nae mkali,huku unakwepa gari au bodadaboda huku unakua makini usiangushe bidhaa za kwenye sinia

Hawa wauza vitumbua town baadhi huwa wananishangaza ukienda kununua kimoja au viwili ile reaction yao dharau tupu mpaka unajiuliza ule msemo wa mteja ni mfalme uliishia wapi.
Hadi wamama wengine wanakaanga mihogo, wanachoma vitumbua bila hata kuogopa kuwa wanaweza kuwaunguza waenda kwa miguu!!!
 
Mbona hii game simple, nipo Mtwara nimeamua kupanga 3/4 ya bidhaa zangu nje ya duka, nawalipa wamachinga kwa siku wananiuzia bila EFD wala shangazi yake EFD. Maana yake 1/4 ya bidhaa zilizobaki zipo ndani kushikilia frame tu. Na ukija kama sikujui ukiuliza bidhaa nakuambia sina, hata kama unaona ipo! Mpo hapo?
Nimeipenda hio. Tatizo kuna bidhaa huwezi kuuzia nje!
 
Mbona hii game simple, nipo Mtwara nimeamua kupanga 3/4 ya bidhaa zangu nje ya duka, nawalipa wamachinga kwa siku wananiuzia bila EFD wala shangazi yake EFD. Maana yake 1/4 ya bidhaa zilizobaki zipo ndani kushikilia frame tu. Na ukija kama sikujui ukiuliza bidhaa nakuambia sina, hata kama unaona ipo! Mpo hapo?
Hii akili pia inafanyika hapa k/koo.serikali inakosa mapato halali kwa kushindwa ku fix hili tatizo la machinga mjini......
 
Tena mwingine kwa ukali anakugombeza utamchafulia uji wakati kaweka njiani. Mwenye sinia la karanga na maembe nae mkali,huku unakwepa gari au bodadaboda huku unakua makini usiangushe bidhaa za kwenye sinia

Hawa wauza vitumbua town baadhi huwa wananishangaza ukienda kununua kimoja au viwili ile reaction yao dharau tupu mpaka unajiuliza ule msemo wa mteja ni mfalme uliishia wapi.
Mteja mfalme eeeh??

Nakukumbusha tu kuwa hata Mfalme Juha pia ni Mfalme
 
katika suala ambalo Magufuli amefeli ni hili la kuruhusu wamachinga sasa hivi wanapanga matango hadi kwenye njia za wapita kwa miguu
Ila angewapiga virungu wapo ambao wangemtuhumu kwa ukatili, shida ndio inaanzia hapo, wamachinga ni dilemma
 
Ila hii inawaumiza sana wafanyabiashara wakubwa. Ingebidi machinga watengewe maeneo yao au hata barabarani ila siyo mbele ya maduka ya wenzio
 
Back
Top Bottom