Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Shikamo Mkuu yani hadi nimekuogopa ujue ila poa tutaongea unisaidie taarifa zako kidogo nipate nyama kwenye Tafiti zangu za haya maswala
 
Sasa nini? kinasababisha hawa watu wakawa hivyo? kama upweke sio tatizo? je? ni Mungu kawaumba hivyo? au ni mawakala wa shetani?
Inawezekana malezi nayo yanachangia kihivyo...
 
Kwa hiyo hata huyu mzee naniliu naye ni kama hao?
Maana nasikiaga eti naye hana huruma kabisa.!
Mi thijui lakn maana mie mwenyewe mgeni hapa kijijini.[emoji40]
 
try to be serious kidogo mkuu, yaan research ya miaka mi-4 ndio uandike utoto kama huu kweli ?.
mtu yeyote makini mwenye access na internet anaweza aka-spend few hours huko internet na kuleta bonge la uzi kuhusiana na kile ambacho ww umekitafiti kwa miaka mi-4.
sijui ni research ya aina gani mbovu-mbovu kama hii mtu anaweza kui-present mbele ya watu wazima na awaaminishe kuwa ni utafiti. { hivi unajua maana ya neno utafiti kweli ?}
af unaulizwa maswali unakimbillia kusema unaandaa uzi mpya, sasa maana ya huu uzi ni nn ?
umeokota definition ya SOCIOPATH huko unakuja kuibandika hapa, pasipo hata fafanuzi za kueleweka af unachanganya madesa ya SOCIOPATH na PSYCHOPATH yaan ni hovyo-hovyo tu.
yaan watt mliokuja hapa JF awamu ya tano{5} mna shida sana.

MADE IN MBY CITY
 
you said it all mkuu
nashukur kwa kunielimishia kijana, maana naona bwana mdogo anaanza kuifananisha JF na FB kwa kutuletea habar zilizo na utapiamlo

MADE IN MBY CITY
 
Watu kama nyie ndio mnatakiwa dunia hii ili wachache washinde!
 
Natanguliza shukrani mkuu
 
Mkuu kuhusu makomando ur right kuna jamaa moja namfahamu mjeda sijui alipoteleaga wapi nadhani ndio huko mafunzoni yani kuna watoto wake tumekua nao walikua wanahesabu hawana dingi maana hata akirudi nikama hayupo vile mzee wa kujitenga na kusizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…