Wafahamu snippers/walenga shabaha

Sniper: (1) A skilled militaryshooter detailed to spot and pick off enemy soldiers from a concealed place.(2) One who shoots at other people from a concealed place.

Last edited by a moderator:
Technology ya sasa,naona hata kipofu anaweza kuwa a deadly sniper-kwa dunia ya leo hawa ni overated
 
Sniper: (1) A skilled militaryshooter detailed to spot and pick off enemy soldiers from a concealed place.(2) One who shoots at other people from a concealed place.

Shkamoo mama mdogo
 
Last edited by a moderator:
Hatariiiiiiiiiiiii dunia hiiiiiii jamaniiiiii!!! tunaishi tu lakiniiii tunashidaaaaa

Kama unamheshimu mwalimu kwa kufundisha, daktari kwa kutibu, muheshimu sniper kwa kazi yake murua na ya kizalendo
 
Vipi wazungu hawajaigiza muvi kupitia iyo vita kweli
 
Kama unamheshimu mwalimu kwa kufundisha, daktari kwa kutibu, muheshimu sniper kwa kazi yake murua na ya kizalendo

Mkuu kwa kutaka kujua zaidi, mara nyingi wale wanaokua na kazi maalum unakuta ana risasi moja tu na akipiga hata kama amekosa ndio anafunga ubalozi (Anaondoka) hiyo ni sheria au katika kuhakikisha unaongeza umakini?
 
Ni nchi gani mkuu funguka
 
Kama ni hivyo, kwanini hakuna bullet proof ya kichwa, naona wanavaa kifuani tu?

Kuna mzee tulikuwa naye ofisini nikawa namuuliza maswali magumu magumu kama haya, siku moja akanijibu hivi,

"Unajua soon utakuwa baba, haya maswali inabidi uwe unajua majibu yake maana watoto watakuwa wanakuuliza, mimi sitakujibu fanya homework yako mwenyewe."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…