[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Kuna nyoka wa huku chini nae ni hatari sana japo watu wanapenda kumtumia. Hili ndio joka hatari zaidi duniani.
Kama kuna mwenye picha yake anisaidie kuweka mie nimeshindwa tafadhali.
Ni Hatari Sana.
Ahsante.
Huyu mbona msichana tu kwa koboko.Huyo hapo.. sura yake inaonyesha hapendi masihara kabisa.. sura ya kazi. View attachment 724235
Mkuu wewe Wa dasalaaam auMimi huwa nautafutaga ujasiri wa wale wanao weka nyoka shingoni.....Mimi hata kumkanyaga na gari nimesha shindwa
Mkwara tu wa nyoka suruali huyo.Kweri mkuu.. lakini sura yake inatisha kwa kweri!
Kwa ukorofi huu, ndugu zetu wa Tabora si wangekuwa wameiaha mkuu?
How comes hatujawahi kusikia hari ya hatari kutangazwa huko?(Sibishani, najaribu kufikrisha tu ubongo)
Nyinyi watu wa pwani huwa kila kitu munachukulia simple tu kama komba tu.Acheni kuongopea watu saikolojoa ya koboko,tabia zao tunazijua hakuna koboko huyo na nyoka wa aina hio anayekimbiza watu
Nilitamani kumjibu huyo jamaa nikafikiria vinginevyo nikaghairi... almost wote tumezungumzia upole wake na pale anapohisi hatari ambush yake sio ya kawaida...Siongelei duniani, siongelei tafiti maslahi, naongelea ukweli na uhalisia wa Koboko mkubwa kama huyo alieonyeshwa na mdau katika picha. ni uhalisia wa kua nimekaa katika maeneo husika yaliyosheheni nyoka huyo. Unapokua porini ukakutana nae mara nyingi yeye ndio anakua amesogea kutoka huko alipo. Akiona ni binadamu na kama kama kuna kaumbali kiasi ata back off na kuondoka. Lakini mkikutana katika distance fupi uso kwa uso na uanze kukimbia Black mamba hasa wa ukubwa huo niliousema anakukimbiza kwa speed na hauta fikisha hata mita tano atakugonga several time na atakimbia. Anafanya hivo kw amifugo na anafanya hivo kwa binadamu, consult your books again pal
Hapo bado kuna mjadala, hivi king aliyekomaa akikutana na koboko aliyekomaa sijui itakuwaje.King cobra ni nyoka mzito sana sio mwepesi kama black mamba alafu mamba mkubwa aliyekomaa king cobra hawezi sogea
Ni hulka ya nyoka kadri anavokuwa mkubwa ndivyo anavyojiamini na mkorofi zaidi...View attachment 724186
Koboko aliyekomaa kama huyu hana mpinzani huwa analaza kundi la ng'ombe,sasa wataalam wanakuambia eti huwa akikuona anakimbia...wataalam wengi walishakufa sasa wanataka na sisi raia wema tuwafuate huko waliko.
Ila Cobra anatabia ya kula nyoka wengine so ni mzoefi wa ambush za kuviziana....King cobra ni nyoka mzito sana sio mwepesi kama black mamba alafu mamba mkubwa aliyekomaa king cobra hawezi sogea
Nyoka hatari kabisa duniani ni koboko aliyekomaa, maana wakati anashambulia hushambulia kwa kasi ya ajabu, halafu huwa anang'ata juu kuanzia kifuani kwenda kichwani ambayo ni sehemu iliyo karibu na moyo,na hung'ata zaidi ya mara tano hadi kumi kwa speed ya ajabu.Ni hulka ya nyoka kadri anavokuwa mkubwa ndivyo anavyojiamini na mkorofi zaidi...
Hapa tuko pamoja...King cobra ameitwa king sababu hio anawala cobra wenzie na nyoka wengine wenye sumu halafu king anakuwa na ukubwa kuliko nyoka wengine wote ..,puffadder na nyoka wengineo wapo kwenye diet ya king cobra
Koboko na king wapo mazingira tofauti hivyo hawawezi kukutana lakini youtube kuna video kadhaa ikionyesha king akimla koboko mkubwa wakiwa kwenye farm.
King nae sio mchezo huwa aking'ata anadunga kiasi kikubwa cha venom.Ila Cobra anatabia ya kula nyoka wengine so ni mzoefi wa ambush za kuviziana....
"Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu"???..... Hebu fananua plzHuyu ni nyoka mwenye hadithi nyingi sana na anaegopwa kuliko wote kwa sababu tofauti na nyoka wengine ambao hujihami, Black Mamba hua anashambulia. kwa Tanzania nyoka hawa wapo sana katika mapori ya Tabora na Mwanza na jina lake la asili ni Koboko. Siku zote nasema nyoka huyu angekua anapatika ulaya wazungu wangempa promo sana ila sisi waswahili tunawaua sana kiasi ambacho sasa hivi ni nadra kumpata Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu mkubwa
Labda ana maanisha urefu,lakini ukubwa wa chatu!."Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu"???..... Hebu fananua plz