Cha kufanya baada ya kupokea last warning kutoka kwa muheshimiwa Blackmamba, kumbuka wakati huu mtakuwa mmetenganishwa umbali wa either mita mbili au tatu..Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!
Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!
Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Kioo hakidanganyi mamaa..Kuna nyoka wa huku chini nae ni hatari sana japo watu wanapenda kumtumia. Hili ndio joka hatari zaidi duniani.
Kama kuna mwenye picha yake anisaidie kuweka mie nimeshindwa tafadhali.
Ni Hatari Sana.
Ahsante.
Duuu anapendwa na kila mwanamke? Anavimbisha wowowoo nini?Nyoka makengeza, huyu akikuuma chini unavimba juu. Yeye huuma zaidi wakati wa giza. Maranyingi haonekani hadharani, na hupendelea kuuma zaidi watu wa jinsia ya K. Nyoka huyu yupo kila mahari duniani na hupendwa na kila mwanamke kwa style yake ya uumaji. Sumu yake inasemekana akiuma maramoja huweza kudhuru hadi wanawake billioni moja. Na hutoa sumu kati ya mills, 150 hadi 200.hana macho ila ana mdomo tu
Ili kuwaje mkuu?N kwel mkuu ila minina experience nilipewa warning moja Matata af wakapita zao bila kunidhur walkuwa wawil
washabiki wa papuchi ni shidaaa!!!ingekua kwa binadamu ipo hivi, ingekua shida sana, kwa siku nne
Ana sumu Kali huyu?View attachment 724131
Koboko wa kwenye miembe huyu siyo mkali kama koboko mwenyewe huyu huwa hawi mkubwa,huyu huwa mpole.
Dah! Mkuu, kitu umekitolea wapi hiki? Black Mamba wa size hiyo ni the most dangerous and deadly creature..... huyo atakua na eneo lake la kujidai(territory), tena kubwa sana na ukisogea kwenye orbit yake atakufuata kwa kasi ambayo hutaweza kumkimbia. Wazungu na wataalam waje watuambie hapa na utaalamu wao ni nyoka gani wa ukubwa huo anaweza akakukimbiza kama sio Black mamba pekee? Natamani watu wa wizara husika wawe wanapita kwenye thread kama hizi waone watu walivokua na maoni ya kuendeleza na kutunza mali asili. Unfortunately these are endangered species. Ni nadra siku hizi kumpata wa ukubwa huoView attachment 724115
Koboko aliyekomaa ni nyoka hatari duniani,walla usisikilize sijui wataalam wewe ukiona kitu saizi hii wewe kimbia
Nyoka huyu anayejadiliwa hapa ni Mamba, ambaye ktk jamii yake kuna mamba wa weusi na wa kijani. shughuli zao hao wote ndio iliyowafanya ktk tafiti washike namba tano. kuhusu mbwembwe ama sio mbwembwe endelea kutafakari upya...kumbe hivi vinyoka vya kijani mbwembwe tu havina lolote
Ugomvi wa nyoka anayepoteza timing ndiye anakuwa msosi..Mkuu. Black mamba na Cobra mafia wakikutana face to face nani anasurrender kwake?
wale wafupi wadogo wadogo..??ndo hawa waliojaa mashambani kwetu wakijani?,nilisikia hawang'ati mpaka alhamisi
na ambaye kichwa chake kimechongoka...Wataalamu wa nyoka wanasema, nyoka mwenye rangi ya kuvutia zaidi ndio hatari na sumu zaidi.
Ukiingia kwenye mitaa yake umekwisha,anasumu kali halafu huwa anagonga kichwani na mabegani.Ana sumu Kali huyu?
Ukorofi ni pale atakapojiridhisha bila shaka kwamba huna nia njema naye, vinginevyo ni wapole na wasiipenda bughudha, huchukua hatua kuepusha shari kwa kujiweka mbali nawe....Kwa ukorofi huu, ndugu zetu wa Tabora si wangekuwa wameiaha mkuu?
How comes hatujawahi kusikia hari ya hatari kutangazwa huko?(Sibishani, najaribu kufikrisha tu ubongo)
Hawa wanaojiita wataalam haswa wa kizungu kuna namna huwa wanakificha kiumbe hichi,huyu ndio nyoka mwenye kasi zaidi duniani,huyu ndio nyoka ambaye huwa anagonga zaidi ya mara moja kwa lengo la kuuwa,huyu nyoka ndiye bingwa wa ambush ukiwa umeingia kwenye eneo lake.Wazungu na wataalam waje watuambie hapa na utaalamu wao ni nyoka gani wa ukubwa huo anaweza akakukimbiza kama sio Black mamba pekee?
Mara nyingine huwa hapendi kiumbe chochote kimkaribie hata kama ni gari nyoka huyu ameshawahi kushambulia magari makubwa na madogo bila kuogopa.Ukorofi ni pale atakapojiridhisha bila shaka kwamba huna nia njema naye,
Acha ufuska wewe...[emoji28] [emoji28]na kuna yule nyoka hana macho ana mdomo tu anatema maziwa maziwa akiwa gizani
hahahahAcha ufuska wewe...[emoji28] [emoji28]
Ukikutana nae huyo uwe na mbio la sivyo umekwisha, wanakimbiza hadi gari [emoji23][emoji28][emoji23]BLACK MAMBA AU KOBOKO WANAPATIKANA KWA WINGI MKOA WA TABORA WANA KULA BANGI HATARI