Yaani ni kweli huyu mhuni anakula bange???Namzungumzia Koboko (Black Mamba) the most aggressive snake in the world. Turns out ni nyoka ambaye hana makuu na ndio maana anapenda kakaa sehemu tulivu, mbali kabisa na makazi ya watu.
Nipo huku mpakani mwa Kigoma na Tabora, mzee mmoja anasema kuwa ukiona Koboko ana-attack watu/vitu hovyo basi nyoka huyo either amekuwa kichaa (nadra sana koboko huweza kurukwa na akili) au amechokozwa na ameponea chupuchupu kuuawa, au itokee umkute ana/amekula chakula chake pendwa (Bangi) hapo ni vigumu kutoka salama.
Na huku wanasema ukitaka umuone panda Bangi.
Bange huu mmea mbaya sana!Mamba sehemu anayokaa hata videge vidogo uwa na wasi wasi panya ndo kabisa huwezi kuona anakatiza hiyo ni nyoka ambae kwanza hapendi kelele yeye na kelele tofauti kwasababu kunakipindi huyu nyoka anapata ukichaa kabisa sasa ukimkuta amedata ndo utajua na hao mnaowaita king cobra mamba ni zaidi ya Tatizo
Ndio chakula chake special hicho, akishakula anakuwa kama teja anahitaji utulivu wa hali ya juu, sasa Ole wako utokee ni kama vile unamtoa kwenye stim zake, hapo hakuachi maana anakuwa kama kawehuka flani.Yaani ni kweli huyu mhuni anakula bange???
Kumbe jamaa ni hatari kama ni hivyo.Ndio chakula chake special hicho, akishakula anakuwa kama teja anahitaji utulivu wa hali ya juu, sasa Ole wako utokee ni kama vile unamtoa kwenye stim zake, hapo hakuachi maana anakuwa kama kawehuka flani.
It is good then if you have a reason to keep themHapana, wakati nachukua Masters (US), nilikuwa fascinated sana na nyoka haswa nyoka hatari....there's something about them that fascinates me. Sichezi nao, wanakaa kwenye special cage....furaha yangu ni kuwaona wanavyotembea na kujaribu kukamata vijusi na wadudu wengine.
He! Yaani hutajitetea? Mimi nadhani na ninashauri ungejaribu First Aid au hata dawa za kienyeji kwa mfanoTumia jiwe jeusi n.k. Aisee, Hofu yako inaweza ikaharakisha kifo chako badala ya sumu. WAHI HOSPITALI HARAKA. Usiridhike kwamba utakufa tu.Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!
Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!
Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Nyoko umemaliza mbAngalia koboko huyu mdogo alivyomtia adabu simba.na bado amaendelea kugonga mpaka simba amekufa bado anagonga tu.akikomaa huyu hata tembo anashika adabu.
Teh teh teh! Hii ya kula ganja nilikuwa siijui, kumbe nae wamoNamzungumzia Koboko (Black Mamba) the most aggressive snake in the world. Turns out ni nyoka ambaye hana makuu na ndio maana anapenda kakaa sehemu tulivu, mbali kabisa na makazi ya watu.
Nipo huku mpakani mwa Kigoma na Tabora, mzee mmoja anasema kuwa ukiona Koboko ana-attack watu/vitu hovyo basi nyoka huyo either amekuwa kichaa (nadra sana koboko huweza kurukwa na akili) au amechokozwa na ameponea chupuchupu kuuawa, au itokee umkute ana/amekula chakula chake pendwa (Bangi) hapo ni vigumu kutoka salama. Anayeweza kukukimbiza ni yule tu aliyetumwa kuja kukudhuru, zaidi ya hapo hakuna.
Na huku wanasema ukitaka umuone panda Bangi.
Una maelezo smart sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Waswahili wanasema Ujinga ni zigo la mavi
Kwahiyo wewe akili yako inakutuma kwamba Honey burger atauwawa na koboko kwasababu ya UKUBWA AU UKOMAVU WA KOBOKO??? hiyo smart phone yako unatumia kuangalia porn tu au???
Silaha ya huyu nyoka sio Size, ni sumu yake, hiyo sumu haimdhuru honey burger, hata amgonge mara ngapi, simu inachofanikiwa kufanya ni kumchosha honey burger ila haina madhara yeyote kwake... Wakati huo huo single bite ya honey kwenye kichwa cha nyoka ni kifo
Acha uongo mkuuAngalia koboko huyu mdogo alivyomtia adabu simba.na bado amaendelea kugonga mpaka simba amekufa bado anagonga tu.akikomaa huyu hata tembo anashika adabu.
Asante Mkuu kumbe una mfahamu vizuri huyu kiumbe cyoKoboko ni nyoka mpole sana
Hua anatembea asubuhi sana na jioni kwenda usiku
Ni mpole ata ukiwa mita moja hakudhuru unaweza katiza ukamluka hana shida
Tatizo lake umguse tu hata kidogo hapo umekwisha,,tena ukimgusa mkiani ndo hatari
Koboko mpaka akudhuru labda umkanyage au awe kajeruhiwa ndo hufanya maafa
Akijeruhiwa hua anatabia ya kukaa njiani na kujitega anakatiza barabara kwa yoyote atakaekatiza anammaliza
Ni nyoka mwenye speed sana na anapotembea hua kanyooka kichwa kipo juu hata majani yakiwa marefu kichwa lazima kivuke majani aone mbele
Hua hajikunji kunji,koboko aliekomaa hua anawika kama jogoo
Hawa nyoka tumewazoea sana
View attachment 727663 Huyu amekasirika mpaka pua imekaa upande?!!au macho yangu tu.
Heat sensing pit inamaana hawa viumbe wanaona kwenye giza..duhh!!View attachment 727684
Mkuu sio pua iko pembeni, jaribu kuangalia hiyo michoro kunakitu utafahamu nimeshindwa kukuelekeza kwa maelekezo yangu, wajua tena wengine sio waalimu sisi!!!
Asee hawa viumbe ni hatari sana...Heat sensing pit inamaana hawa viumbe wanaona kwenye giza..duhh!!
It is good then if you have a reason to keep them